Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Sikua najua,now ndo naelewa why watu huitwa "VICHECHE"Kicheche ni mnyama mdogo sana lakini ana maajabu makubwa. Ana uwezo wa kumdaka kuku wa aina yoyote kwa kutumia mkia wake, lakini cha ajabu zaidi
hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, ana uwezo wa kufanya mapenzi mara 26 kwa siku pia ni sawa na kukimbia umbali wa Km 360 kwa siku.
Na ndio maana mtu malaya sana huitwa kicheche.
Najua wajua ila nakujuza zaidi.
Wewe nae?Hivi.....
Kuna tofauti gani kati ya MUHUNI na MALAYA?
Basi sawaWewe nae?
Sikutaka kusema malaya maana ni neno kali...
Nikasema muhuni instead.
Uhuni upo wa aina nyingi... Bangi, madawa, mavazi, kauli(matusi), pombe na hata mademu au wanaume, ila malaya ni waaina moja tuu nao ni wa kimapenzi
kha!kha!kha!,wa Dar wao ni mara ngapi kwani mkuu???.hao ni vicheche wa mikoani sio wa dar
Miss natafuta,unatafuta nini bibie???.duuuh nimewapenda bure
habariMiss natafuta,unatafuta nini bibie???.
Km ni hbr mimi ninazo we nicheki tu pm.habari
unauwezo wa kicheche? au wewe wa dar? mi natafuta habari kwa vicheche typeKm ni hbr mimi ninazo we nicheki tu pm.
we njoo pm,hbr zote nitakupa.unauwezo wa kicheche? au wewe wa dar? mi natafuta habari kwa vicheche type
siji hukowe njoo pm,hbr zote nitakupa.
Duuuuuuuh noma kweliiiKicheche ni mnyama mdogo sana lakini ana maajabu makubwa. Ana uwezo wa kumdaka kuku wa aina yoyote kwa kutumia mkia wake, lakini cha ajabu zaidi
hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, ana uwezo wa kufanya mapenzi mara 26 kwa siku pia ni sawa na kukimbia umbali wa Km 360 kwa siku.
Na ndio maana mtu malaya sana huitwa kicheche.
Najua wajua ila nakujuza zaidi.
Aiseeee....[emoji15]Daaah huyu kiumbe anatuabisha wanaume, mimi nikipiga goli tatu tu hoi mpaka baada ya wiki moja ndiyo napiga tena
Mwanamme anaitwa Muhuni na mwanamke anaitwa Malaya 😉Hivi.....
Kuna tofauti gani kati ya MUHUNI na MALAYA?
Ndiomaana aka Binam aliwaita Vicheche....[emoji13] [emoji13]Mwanamme anaitwa Muhuni na mwanamke anaitwa Malaya 😉
Unamfananisha na kitu gani???Duuuuuuuh noma kweliii