Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Kicheche ni mnyama mdogo sana lakini ana maajabu makubwa. Ana uwezo wa kumdaka kuku wa aina yoyote kwa kutumia mkia wake, lakini cha ajabu zaidi
hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, ana uwezo wa kufanya mapenzi mara 26 kwa siku pia ni sawa na kukimbia umbali wa Km 360 kwa siku.
Na ndio maana mtu malaya sana huitwa kicheche.

Najua wajua ila nakujuza zaidi.
Sikua najua,now ndo naelewa why watu huitwa "VICHECHE"
 
Daaah huyu kiumbe anatuabisha wanaume, mimi nikipiga goli tatu tu hoi mpaka baada ya wiki moja ndiyo napiga tena
 
Kicheche ni mnyama mdogo sana lakini ana maajabu makubwa. Ana uwezo wa kumdaka kuku wa aina yoyote kwa kutumia mkia wake, lakini cha ajabu zaidi
hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, ana uwezo wa kufanya mapenzi mara 26 kwa siku pia ni sawa na kukimbia umbali wa Km 360 kwa siku.
Na ndio maana mtu malaya sana huitwa kicheche.

Najua wajua ila nakujuza zaidi.
Duuuuuuuh noma kweliii
 
Back
Top Bottom