Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Sikua najua,now ndo naelewa why watu huitwa "VICHECHE"Kicheche ni mnyama mdogo sana lakini ana maajabu makubwa. Ana uwezo wa kumdaka kuku wa aina yoyote kwa kutumia mkia wake, lakini cha ajabu zaidi
hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, ana uwezo wa kufanya mapenzi mara 26 kwa siku pia ni sawa na kukimbia umbali wa Km 360 kwa siku.
Na ndio maana mtu malaya sana huitwa kicheche.
Najua wajua ila nakujuza zaidi.