Je, wajua? - Special Thread

Mkuu unaposema kufanya mapenzi mara 26 kwa huyo Kicheche ni sawa na kukimbia umbali wa km 360 kwa siku, umepiga hiyo hesabu kivipi? Hebu weka wazi hiyo calculation..maana yake inaonekana kila bao ni sawa na km 13.846
Sasa umejuaje kua bao moja ni hizo kilometa? Hebu nifahamishe mkuu.
 
Hawajamfia Jogoo wa kienyeji ambaye kwa siku hujirusha mara hamsini, akiamka tu anapiga cha kwanza na kabla hajaingia bandani anapiga cha 50. Hivi 48 vinakuwa kati ya asubuhi mpaka saa 11 jioni We mchunguze Jogoo anavyokuwa anaingia bandani saa za magharibi lazima ajipige cha mwisho hicho huwa cha 50 na cha kufungia siku.

 
Ahsante mkuu.kweli jamii forum elimu bila mipaka
 
Kama ana ejaculation...ni lita ngapi kwa siku/mwezi/mwaka?
 
Hahahah, Mkuu hayo sio matangopori kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…