Je, wajua? - Special Thread

Na mwenye masikio na asikie Maneno hayo..
Afadhali umeongeza uzito!
Kichwa cha mjinga unena nini? ..................................

Jamani mbona leo mistari ya Bible imenikaa sana kinywani?
 
Faiza foxy yupo wap jamani
 
Binadamu huzaliwa na mifupa 300, lakini mpaka anapokuwa mtu mzima anakuwa amebaki na mifupa 206 tu. Kinachosababisha mifupa ipungue ni kwamba baadhi ya mifupa huungana na kutengeneza mfupa mmoja.

Pia ndani ya sikio lako kuna mifupa midogo sana kama ulikuwa hujui pia.
 
ivi ULIMI hauna mfupa kweli au huwa wanatania tu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…