Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Na mwenye masikio na asikie Maneno hayo..
Afadhali umeongeza uzito!
Kichwa cha mjinga unena nini? ..................................

Jamani mbona leo mistari ya Bible imenikaa sana kinywani?
 
"Mwanadamu mwenye heshima iwapo hana akili amefanana na mnyama apoteaye"
Wachunguze hao wanaopambana na maneno kabla ya vitendo ...
"Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo"
Kama wanapambana kabla ya kuzuiwa basi ndivyo walivyo, wamejipambanua waziwazi.
Heri kijana maskini mwenye nguvu kuliko Mfalme mzee tajiri mpmv!
Faiza foxy yupo wap jamani
 
Binadamu huzaliwa na mifupa 300, lakini mpaka anapokuwa mtu mzima anakuwa amebaki na mifupa 206 tu. Kinachosababisha mifupa ipungue ni kwamba baadhi ya mifupa huungana na kutengeneza mfupa mmoja.

Pia ndani ya sikio lako kuna mifupa midogo sana kama ulikuwa hujui pia.
 
ivi ULIMI hauna mfupa kweli au huwa wanatania tu??
 
Back
Top Bottom