Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
Lizaboni kuja pande hii umesemwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeyote ambaye hakuwahi kusoma asome na atafakari ...Lizaboni kuja pande hii umesemwa
Kitabu cha Methali hakikutaja ni nani, soma kwenye bible yapo mengi ya kukufikirisha!Kuliko mfalme gani?
Afadhali umeongeza uzito!Na mwenye masikio na asikie Maneno hayo..
Faiza foxy yupo wap jamani"Mwanadamu mwenye heshima iwapo hana akili amefanana na mnyama apoteaye"
Wachunguze hao wanaopambana na maneno kabla ya vitendo ...
"Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo"
Kama wanapambana kabla ya kuzuiwa basi ndivyo walivyo, wamejipambanua waziwazi.
Heri kijana maskini mwenye nguvu kuliko Mfalme mzee tajiri mpmv!
Usiseme masikioni mwa mpum.bavu; Maana atadharau hekima ya maneno yakoKuliko mfalme gani?
Majibu ni mlemle tu! Ahsante sana!Usiseme masikioni mwa mpum.bavu; Maana atadharau hekima ya maneno yako
ivi ULIMI hauna mfupa kweli au huwa wanatania tu??Binadamu huzaliwa na mifupa 300, lakini mpaka anapokuwa mtu mzima anakuwa amebaki na mifupa 206 tu. Kinachosababisha mifupa ipungue ni kwamba baadhi ya mifupa huungana na kutengeneza mfupa mmoja.
Pia ndani ya sikio lako kuna mifupa midogo sana kama ulikuwa hujui pia.
Viroba noma viache tuMimi iliongezeka sasa nina mifupa 400
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Viroba noma viache tu