Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

039e444223cb9c97c23021644acd8986.jpg
e1e877bff853c6d05129c881401ac1f7.jpg
 
Attachments

  • PORK-processing.jpg
    PORK-processing.jpg
    9.3 KB · Views: 68
Mimi nilichokigundua jana huyo mnyama ana jicho linafanana na la binadamu kwa asilimia 99.999.
Na leo nimegundua huyo mnyama ana pepesa macho kama binadamu kwa asilimia 68.98989.

=====
Nikirudi kwenye mada.
Mwanzisha mada, kwa hiyo unataka kuuaminisha umma kuwa watu wa Ivory Coast yaani akina Didier Drogba walishagundua siri hii ndiyo maana waliamua kutumia popo kama mboga ili wasikinzane na imani ya dini yao walio wengi nini?
 
Kama umeweza mfananisha jicho hata mimi nilimfananisha yeye na popo kwa mdomo pua maskio na meno yake.
 
Mimi nilichokigundua jana huyo mnyama ana jicho linafanana na la binadamu kwa asilimia 99.999.
Na leo nimegundua huyo mnyama ana pepesa macho kama binadamu kwa asilimia 68.98989.

=====
Nikirudi kwenye mada.
Mwanzisha mada, kwa hiyo unataka kuuaminisha umma kuwa watu wa Ivory Coast yaani akina Didier Drogba walishagundua siri hii ndiyo maana waliamua kutumia popo kama mboga ili wasikinzane na imani ya dini yao walio wengi nini?
 
Kitimoto tamu sana. Zaman nilikuwa naamini kitimoto haiwezi pikwa mchemsho. Ila dah kwa mara ya kwanza naifuma pale kimara kona nipigwa butwaaa. Ule mchemsho ulikuwa kibokoo. Niliupiga nywele zikasimama mwili mzima. Jasho likanitoka katika kila kinyweleo. Nilikuwa na mafua yakapoa. Nilikuwa na typhoid dalili zikakimbia. Ulimi ukawa mwepesi maana kuna demu nilikuwa naogopa mtokea ila nikapata ujasiri na ulimi ukawa unatokwa tuuu unatokwa maneno. Warai namkubali sana huyu jamaaa ila kafanana na popo
 
Duuh.. Mkuu nenda ukapime Malaria kabisa!!!
 
Sina dalili za ugonjwa wowote toka nimeanza kula kitimoto. Ni kweli na uwazi. Kuna wakat mwili huwa haukai poa nikopata kilo roast au kavu na bombadier mwili shwariii kabisa.
 
Je wajua? Maporomoko marefu kuliko yote Tanzania ni KALAMBO FALLS? Na ni ya pili barani Africa? (Single drop waterfall)
 
J wajua ? Kata inayoongoza kuwa na watu wengi zaidi Tanzania ni Vingunguti.

Wilaya ya Temeke ina watu wengi zaidi kuliko mkoa mzima wa Mtwara.

(Source: 2012- Sensa ya watu na makazi)
 
Back
Top Bottom