Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,564
Uje NYAMAGHANA TUGONGE SUPU YAKEHata ukisema anafanana na "mavi" simuachi ng'ooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uje NYAMAGHANA TUGONGE SUPU YAKEHata ukisema anafanana na "mavi" simuachi ng'ooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Mimi nilichokigundua jana huyo mnyama ana jicho linafanana na la binadamu kwa asilimia 99.999.
Na leo nimegundua huyo mnyama ana pepesa macho kama binadamu kwa asilimia 68.98989.
Mimi nilichokigundua jana huyo mnyama ana jicho linafanana na la binadamu kwa asilimia 99.999.
Na leo nimegundua huyo mnyama ana pepesa macho kama binadamu kwa asilimia 68.98989.
=====
Nikirudi kwenye mada.
Mwanzisha mada, kwa hiyo unataka kuuaminisha umma kuwa watu wa Ivory Coast yaani akina Didier Drogba walishagundua siri hii ndiyo maana waliamua kutumia popo kama mboga ili wasikinzane na imani ya dini yao walio wengi nini?
Huyo popo sijui alifurahishwa na nini! Hicho kicheko, duh
Mkuu kwa mwili wako sijui unabeba ma vyuma kilo moja na nusu inakutosha mm nusu kilo tuKilo au nusu
Duuh.. Mkuu nenda ukapime Malaria kabisa!!!Kitimoto tamu sana. Zaman nilikuwa naamini kitimoto haiwezi pikwa mchemsho. Ila dah kwa mara ya kwanza naifuma pale kimara kona nipigwa butwaaa. Ule mchemsho ulikuwa kibokoo. Niliupiga nywele zikasimama mwili mzima. Jasho likanitoka katika kila kinyweleo. Nilikuwa na mafua yakapoa. Nilikuwa na typhoid dalili zikakimbia. Ulimi ukawa mwepesi maana kuna demu nilikuwa naogopa mtokea ila nikapata ujasiri na ulimi ukawa unatokwa tuuu unatokwa maneno. Warai namkubali sana huyu jamaaa ila kafanana na popo
Duuh.. Mkuu nenda ukapime Malaria kabisa!!!
Alikuwa akivizia akina mbu[emoji23] [emoji23] [emoji15]Huyo popo sijui alifurahishwa na nini! Hicho kicheko, duh
ASILI YA TIKITI MAJI NI JANGWA LA SAHARAJe wajua asilimia tisini na mbili ya Tikiti Maji ni maji tupu