Je wajua? Nakama hujui acha nikijuze kwa haya macha toka duniani.
CHURCHILL,CANADA
Wakaazi wa mji huu wamejiwekea utaratibu wa kutokuweka lock magari yao wanapoyapaki,
Wakazi hawa wanafanya hivyo kuwaasaidia watumiaji wa miguu kupata msaada pale wanapokutana na dubu. Eneo hilo lina dubu wengi.
MALAYSIA
Kuna tabia hii maarufu ya kuwaogesha watoto wachanga na bia.
Wenyeji wanafanya hivi kuwakinga na magonjwa watoto wao.
ICELAND
Nchi hii imekuwa ni nchi ya kwanza duniani kwa unywaji wa cocacola
SAUDI ARABIA
Nchi hii haina mto hata mmoja.
AUSTRALIA
Nchi hii ina kondoo wengi kuliko binadamu.
Australia in kondoo wapatao 150m na watu 20m.
ARKANSAS,MAREKANI.
Ni kosa la kisheria kutamka vibaya jina la jimbo hili.
Sasa kwa wale wenzetu wenye kutamka da le salama wangeshakuwa vifungoni.
ICE CREAM
Unajua hiki ni chakula cha kichina.
Ni wachina ndo wakwanza kula icecream.
SHANGHAI,CHINA
Ni kosa kisheria kumiliki gari lenye rangi nyekundu.
MASSACHUSETTS,MAREKANI.
Ni kosa la kisheria kulala bila kuoga.
MUMBAI,INDIA
Wataalam wa mazingira wanasema
Kuvuta pumzi kwa siku moja katika mji huu ni sawa na kuvuta sigara mia kwa siku.
Sent using
Jamii Forums mobile app