Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

JE wajua alikiba ndo msanii pekee ambae anachangiwa na watu sabaa kwenye game ya bongo flavor

Sent from my Linux ubuntu mobile
 
Je wajua kua panama ndio nchi pekee ambayo unaweza kuliona jua likichomozea Pacific Ocean na kuzamia Atlantic Ocean
 
Je wajua, Uzi huu mpaka sasa umetimiza miaka mitatu na miez mitatu tangu kuanzishwa kwake..
Nilikua hata sijui Umri wa huzi huu [emoji1] [emoji1] [emoji1] .. Leo ntachungulia ili tufanye B.day party .
 
je wajua kwamba wanawake wote duniani wamejaaliwa kipawa/uwezo mkubwa wa kuchanganya UKATILI NA HURUMA kwa wakati mmoja...????..
 
Je wajua speed ya mkojo wa mtoto wa kike mwenye Umri chini ya miaka 7 unauwezo wa kutoboa sefuria?
Pengine haujaiweka vizuri kauli yako.

Kwamba kasi yake ingekua imetumika na kitu kama msumari inatosha kutoboa sufuria.

Au ni mkojo wenyewe ukiwa na kasi hiyo hiyo unatoboa sufuria?

Au mkojo wenye kasi hiyo utatoboa sufuria ya makaratasi?
 
Je wajua SPIRIT mbali ya matumizi mengine tunayoyafahamu, pia inasafisha vizuri sana Kioo/Vioo.

Mwagia kwenye Kioo chochote kile, iwe cha kujiangalilia au iwe Kioo cha Mlango, Meza, N.K, kisha anza kufuta kwa Kitambaa.

Au ukipenda mwagia SPIRIT kwenye Kitambaa cha kufutia kisha endelea na zoezi lako la kusafisha.

Nakuahidi utakuja niletea marejesho hapa kwa jinsi SPIRIT inavyosafisha na kung'arisha sana
 
Back
Top Bottom