Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,305
Hao 16 ukiacha Kasheku Joseph,Ali kessy na Livingstone Lusinde wengine kina nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua hata sijui Umri wa huzi huu [emoji1] [emoji1] [emoji1] .. Leo ntachungulia ili tufanye B.day party .Je wajua, Uzi huu mpaka sasa umetimiza miaka mitatu na miez mitatu tangu kuanzishwa kwake..
Kabisa broNilikua hata sijui Umri wa huzi huu [emoji1] [emoji1] [emoji1] .. Leo ntachungulia ili tufanye B.day party .
Pengine haujaiweka vizuri kauli yako.Je wajua speed ya mkojo wa mtoto wa kike mwenye Umri chini ya miaka 7 unauwezo wa kutoboa sefuria?
yeah...na mchana ni mrefu zaidiTeh teh, kwa hiyo kule kunako venus jua linachomoza Magharibi kuelekea Mashariki?
dola ndo ninini kweli kabisa, ku prove hili soma katiba ya zanzibar ibara namba moja na mbili
Je wajua speed ya mkojo wa mtoto wa kike mwenye Umri chini ya miaka 7 unauwezo wa kutoboa sefuria?
google mpemba effectMi nnavojua yaliyochemshwa lkn yapoe kwanza. Ndo yanaganda mara 1
ulijaribu?Basi ntafanya. Asaa kheri pengine itakua dawa mana macho yangu hayako fresh
duh naogopaJe wajua kwamba paka huweza kukuua endapo atapigana na wewe mkiwa ndani huku milango imefungwa?