Je, wajua? - Special Thread

Mi natamani nikaishi kule mji umenunuliwa kwa ajili ya bangi

Jamii Forums mobile app
 
Saudi Arabia wanakosa mambo mengi tu mazuri kwa sababu ya sheria zao za kiislamu
Sio kila unaloliona wewe zuri likawa zuri kwa watu wote,acha kuleta upuuzi hapa,sio kila thd lazima uingize udini ukidhani kua utaonekana kua wewe ni mjanja,huo ni ujinga uliokomaa.
 
Nchi kutokua na mto ni sheria ya dini? Kwahiyo nchi ambazo hazina bahari pia ni sheria wamejiwekea kutokua na bahari? Una umri gani kijana?
 
Kumbe huna adabu wewe mama, koma kunizoea, tafuta mwanaume mwingine wa kumzoea
 
Nchi kutokua na mto ni sheria ya dini? Kwahiyo nchi ambazo hazina bahari pia ni sheria wamejiwekea kutokua na bahari? Una umri gani kijana?
Wewe mama nimekwambia koma kabisa kunizoea, nitakuzabua vibao hivyo mpaka ukome kunizoea
 
30% ya Wabunge wa Bunge la Tanzania hawajulikani walisoma wapi au wana taaluma gani; Wabunge 16 wana elimu ya shule ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…