1. Konokono ana uwezo wa kulala usingizi miaka mitatu mfululizo bila kuamka.
2. Yai lina vitamini zote isipokuwa vitamini C.
3. Nyangumi anaweza kuishi miezi sita bila kula.
4. Dictionary ya kwanza ya Kiingere za iliandikwa Mwaka 1755.
5. Mtu mzima mwenye Afya nzuri ana damu Lita 6.5 hadi 7.0.
6. Duniani kuna Lugha 6800, India peke yake ina jumla ya Lugha 846
7. Katika Wanyama wote wanaofurahia Mapenzi Duniani, Ni Binadamu na Samaki aina ya Pomboo pekee ndio wanaofurahia Mapenzi.
8. Mbu 1,200,000 wakikunyonya damu mara Moja, wanauwezo wa kukukausha damu Kabisa.
9. Sayari ya Saturn ina uzito mdogo Kuliko maji, kiasi kwamba maji yakiwekwa humo, yanaweza yakaelea (density of Saturn is less than density of water ?).
10. Kampuni ya SONNY wametengeneza jokofu(Fridge) ambalo ukitabasamu tu !, Mlango wake hufunguka ili kuruhusu kuchukua chochote.
Source :Radio Free Africa, kipindi cha Je, wajua ?. na Gazeti la Mwananchi (tar.24.04.2012). Karibuni tupeane ELIMU ya mambo mbalimbali.