Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

1.Chanzo.
2.Aliyekamilikaje?
A.kudindisha
B.kutungisha mimba .
C.kufikisha Kileleni.
D.kuwa na wengi
............. ?!
 
°Mwanaume aliyekamilika kila baada ya sekunde 8 huwaza ngono.
Hahaha Keep Left With This Shit But Still Life Must Go On White Man So Intelligent Mzungu Hutumia Siku Nzima Kuwaza Mapinduzi Ya Dunia Pyogyang Inawaza Jinsi Ya Kuwa Over Power Country, Chinese Wanafight Kuwa Dominant Country. Kwenye Majarida Yao Wana Publish Shit Because Wanajua Poor African Must Read It
Hivi Kweli Hata Kama Ni Ulijali Kweli 8sec Aah Never !!!
Hakuna Mtu aliyekufa Kwa Kutokuwaza Ngono Mafanikio Uliyonayo ni Ngono Tosha.
 
Si kila wanachotuambia wazungu kina ukwel.Kwa akil ya kawaida tu fikiria,unawazaje ngono tuuu...kila baada ya sekund 8??!!
 
Je wajua yule Mnyama wa kuitwa KIBOKO Maziwa yake ni rangi ya PINKI
 
1. Konokono ana uwezo wa kulala usingizi miaka mitatu mfululizo bila kuamka.

2. Yai lina vitamini zote isipokuwa vitamini C.

3. Nyangumi anaweza kuishi miezi sita bila kula.

4. Dictionary ya kwanza ya Kiingere za iliandikwa Mwaka 1755.

5. Mtu mzima mwenye Afya nzuri ana damu Lita 6.5 hadi 7.0.

6. Duniani kuna Lugha 6800, India peke yake ina jumla ya Lugha 846

7. Katika Wanyama wote wanaofurahia Mapenzi Duniani, Ni Binadamu na Samaki aina ya Pomboo pekee ndio wanaofurahia Mapenzi.

8. Mbu 1,200,000 wakikunyonya damu mara Moja, wanauwezo wa kukukausha damu Kabisa.

9. Sayari ya Saturn ina uzito mdogo Kuliko maji, kiasi kwamba maji yakiwekwa humo, yanaweza yakaelea (density of Saturn is less than density of water ?).

10. Kampuni ya SONNY wametengeneza jokofu(Fridge) ambalo ukitabasamu tu !, Mlango wake hufunguka ili kuruhusu kuchukua chochote.

Source :Radio Free Africa, kipindi cha Je, wajua ?. na Gazeti la Mwananchi (tar.24.04.2012). Karibuni tupeane ELIMU ya mambo mbalimbali.
 
Je wajua kuwa Tanzania ndiyo nchi pekee duniani ambapo dereva wa mbunge anatakiwa kuwa na cheti cha kidato cha nne wakati mtunga sheria(mbunge) anatakiwa ajue kusoma na kuandika tu inatosha
 
1. Konokono ana uwezo wa kulala usingizi miaka mitatu mfululizo bila kuamka.

2. Yai lina vitamini zote isipokuwa vitamini C.

3. Nyangumi anaweza kuishi miezi sita bila kula.

4. Dictionary ya kwanza ya Kiingere za iliandikwa Mwaka 1755.

5. Mtu mzima mwenye Afya nzuri ana damu Lita 6.5 hadi 7.0.

6. Duniani kuna Lugha 6800, India peke yake ina jumla ya Lugha 846

7. Katika Wanyama wote wanaofurahia Mapenzi Duniani, Ni Binadamu na Samaki aina ya Pomboo pekee ndio wanaofurahia Mapenzi.

8. Mbu 1,200,000 wakikunyonya damu mara Moja, wanauwezo wa kukukausha damu Kabisa.

9. Sayari ya Saturn ina uzito mdogo Kuliko maji, kiasi kwamba maji yakiwekwa humo, yanaweza yakaelea (density of Saturn is less than density of water ?).

10. Kampuni ya SONNY wametengeneza jokofu(Fridge) ambalo ukitabasamu tu !, Mlango wake hufunguka ili kuruhusu kuchukua chochote.

Source :Radio Free Africa, kipindi cha Je, wajua ?. na Gazeti la Mwananchi (tar.24.04.2012). Karibuni tupeane ELIMU ya mambo mbalimbali.
Namba saba (7) umetudanganya, wapo wanyama wengi wanaofurahia mapenzi
 
bced58ad214cf7e3e0d2c1baa4bbaa68.jpg
38638c4ed1af3cca9566832eac045b84.jpg
7e10c44d77c49fac79de74a97a5e65e5.jpg
4f1d9008685357d2bac27e57ed526a07.jpg
673b2f63b50b17586de4eeb2be49ddaf.jpg
6e0ebdc2845855dc830fd78b6c48f137.jpg
377efba899e181a51e65804e301f905f.jpg
20dbda5496ab07907351d3dca8e3aaa1.jpg
95a94486c72c3d774be60f2ea78092c2.jpg
e0fdfd003627d90b0b94970f7843d040.jpg
2759486fcb3c975efb1a057df36f353e.jpg
8b79a2aced7ba122616626207dd27af2.jpg
25cdb0944ea1a87abd15472eb957919d.jpg
cd2d945b809f4debc0e3546fbbaf9a91.jpg
87c1873f3e8f01508698f2364b0461a1.jpg
f815c38853246ced3082bc70a411a592.jpg
53d686f3b9a19d03121279d2ba7c5e69.jpg
2a3f0daad21ee3630c324163f0690746.jpg
47f18730146099eb488c9f3d479ed170.jpg
9faee5bb96519312951fc62875b756ef.jpg
 
Back
Top Bottom