Je, wajua? - Special Thread

Tunaku-zoom tu
 
Mwezi ni satellite ya asili. Hujizungusha kwenye mhimili wake kwa kukamilisha mzunguko wake huku ikiizunguka Dunia. Ajabu ni kwamba gravity ya Dunia inaushikilia Mwezi kwa kiasi kwamba Mwezi huizunguka Dunia kwa kuiangalia sura(upande) uleule unaotizamana na Dunia siku zote.

Kwa ufupi, one side ya Moon always faces us. Kwa hiyo, the dark side of the moon hatuijui. Tafiti yake imebakia kua ya fikra, na maswali ya fikra yanajibika kwa fikra.
 
Je wajua kuna kimondo kinaitwa Psyche, ambacho kimeundwa kwa madini ya dhahabu, chuma, nikeli na platinum... Kinakadiriwa kuwa na thamani ya $700 quantillion! Ambapo kikiletwa duniani na kugawanywa kwa idadi ya watu wote takribani billion 7, kila mtu anakuwa billionea! Kipo kati ya Mars na Jupiter na wanasayansi wanategemea kupeleka satelaiti ifikapo 2022 na kuwasili 2026. Mpaka sasa hakuna project ya kuchimba vimondo ila inatarajiwa kufika 2030 kutakuwa na kampuni ya kufanya kazi hiyo (Asteroid mining company)...

manengelo
 



💃💃...Oopss....Jupiter wamenikosaaa😭
 
Dah Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…