suley wa tz
Senior Member
- Feb 14, 2017
- 116
- 138
Kweli wajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je,wajua chattle itaitwa mkoa hivi punde?
Je,wajua chattle ng'ombe na punda ________???ah..mengine sijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Je!wajua Tulia ackson ndo mbunge mwanamke mwenye roho mbaya Ukanda wa EA?
Je wajua Ndugai ndo supika mwenye vidole 7 mguuni badala ya 10!
Je wajua Tundu lissu ndo Raisi ajaye?
JE WAJUA?
Je wajua tasnia ya uandiishi wa habari imeingilia na shoga Musiba??
Jiwe ni nani mkuu?je wajua jiwe ni miongoni mwa watawala wapumbavu kuwahi kutokea Africa
Mzima madam hale yakow weye...?Rafiki yangu mambo
Madam hujaogopa hii kitu kuandika aisee?Je!wajua Tulia ackson ndo mbunge mwanamke mwenye roho mbaya Ukanda wa EA?
Je wajua Ndugai ndo supika mwenye vidole 7 mguuni badala ya 10!
Je wajua Tundu lissu ndo Raisi ajaye?
JE WAJUA?
Je wajua tasnia ya uandiishi wa habari imeingilia na shoga Musiba??
AhhhhahahhahahJe wajua, nyuki dume akifika kileleni tu na map*mbu hupasuka paaah.
Km ingekua kwa binadamu basi zero IQ tungesha mzika.
Madam hujaogopa hii kitu kuandika aisee?
Maana naisoma mara tatu tatu ni ngumu kumesa aisee...
Nimelike ila naogopaa
una haki ya kuogopa kwasababu ulikua HUJUI..mie ndo nimekujuza sasa
Ni kweli aiseee...
Huogopi lakiniiii..?[emoji4][emoji4][emoji4]
Ke wajua kwamba Mother Confessor wanaendana makamo na manengelo ...?
Je eajua kuwa
Shunie anaendana umri na Mzigua90 na Demiss na Madame B ?
Je wajua kuwa Mshana Jr anaendana makamo na Kiranga japo kuwa kiranga kazidi umri kidogo ?
Je wajua kuwa mama yetu FaizaFoxy amemzidi umri bwana mkubwa MAX wa jamiiforum ?
Je wajua kuwa WAKATI UNATOA HAJA KUBWA KAMA UNA MKOJO LSZIMA UTOKE kwa sababu ya kushirikiana baina ya misuli ya kibofu na kinyewo?
Je wajua kuwa tundu lissu ndio mtu wa mwanzo kupigwa risasi 16 na bado yu mzima mpaka leo....?
Je wajua kuwa mshahara kuongezwa kabla ya wakati wa uchaguzi ni sawa sawa na kumpa demu pesa kabla ya kumtongoza..?
Je wajua kuwa ndoa wakati mwingine inahitaji kudanganyana ili maenzio aridhike?
Je wajua kuwa you can not climb the ladder of success with your hand in your pockets...?
Dah nimebigi acha ni edit aisee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mother Confessor mtoto sana kwangu ww...hebu uwe seruous..mwenzake nna 2kids..yy najua hana!
yaan km kuoa wanangu wataoa watoto wake[emoji4]..mie napishana miez na dada Kassie mahabat
Weeee mimi kibibi gagula hata manengelo hanifikii chaaa🤣🤣Ke wajua kwamba Mother Confessor wanaendana makamo na manengelo ...?
Je eajua kuwa
Shunie anaendana umri na Mzigua90 na Demiss na Madame B ?
Je wajua kuwa Mshana Jr anaendana makamo na Kiranga japo kuwa kiranga kazidi umri kidogo ?
Je wajua kuwa mama yetu FaizaFoxy amemzidi umri bwana mkubwa MAX wa jamiiforum ?
Je wajua kuwa WAKATI UNATOA HAJA KUBWA KAMA UNA MKOJO LSZIMA UTOKE kwa sababu ya kushirikiana baina ya misuli ya kibofu na kinyewo?
Je wajua kuwa tundu lissu ndio mtu wa mwanzo kupigwa risasi 16 na bado yu mzima mpaka leo....?
Je wajua kuwa mshahara kuongezwa kabla ya wakati wa uchaguzi ni sawa sawa na kumpa demu pesa kabla ya kumtongoza..?
Je wajua kuwa ndoa wakati mwingine inahitaji kudanganyana ili maenzio aridhike?
Je wajua kuwa you can not climb the ladder of success with your hand in your pockets...?
Woiiii😆😆😆😆😆Mother Confessor mtoto sana kwangu ww...hebu uwe seruous..mwenzake nna 2kids..yy najua hana!
yaan km kuoa wanangu wataoa watoto wake😊..mie napishana miez na dada Kassie mahabat