Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Je wajua?

Marubani wa kamikaze walivaa helmets.
 
the way ulivosema kama vile ni mtoto wa kiboko tu ndie anaeweza kunyonya akiwa majini...lakini umesahau kuna watoto wa nyangumi,au kwa kiboko kuna upekee upi mdau?? ndo hapo naomba unieleweshe..wala sio ugomvi ndugu yangu...
Wapi niliposema ni mtoto wa Kiboko pekee?

Na ukumbuke kuwa mnyama Kiboko na Nyangumi ni vitu viwili tofauti.

Hebu pitia tena kwa umakini, labda kwa kukusaidia naweza kusema ulielewa vibaya basi tufunge mjadala, wewe weka vyombo vyako ili tuendelee kujuzana.

Hii mada na malumbano haiendani kabisa
 
Je wajua jengo la TAJ MAHAL hadi kukamilika ujenzi lilichukua miaka takriban 22 na kugharimu wafanyakazi kama 20,000 hivi
 
Je wajua utakapohesabu kimaandishi(sio kimatamshi) kwa lugha ya Kiingereza kuanzia namba moja hukutani na herufi A mpaka utakopofika 1000, kifupi ni kwamba kuanzia moja hadi mia tisa tisini na tisa(hakuna herufi A)

interesting...
 
Je wajua?

Platy helminthes ni viumbe wenye mdomo bila mkund*u.
 
  • Thanks
Reactions: itv
Je wajua hata mwanaume ana uwezo wa kubeba mimba na kujifungua
 
Je wajua?

Familia nyingi nchini marekani hutumia nusu ya kipato chao kwa ajili ya chakula na karibia nusu yote inayobaki hutumika kupunguzia uzito.

(Wapiga box utafiti hauwahusu)
 
je wajua ndege aina ya tai ana uwezo wa kuona mara kumi au zaidi ya uwezo wa binadamu...
 
Je wajua kuwa chura anapenda maji lakini yasiwe ya motoo?....!

Duh!,unatuletea mambo ya mashairi ya mduara yanayopatikana ktk wimbo wa Lawama uliochezwa na Shilole feat. Q-Chillah
 
Je wajua?

Familia nyingi nchini marekani hutumia nusu ya kipato chao kwa ajili ya chakula na karibia nusu yote inayobaki hutumika kupunguzia uzito.

(Wapiga box utafiti hauwahusu)

interesting
 
  • Thanks
Reactions: me1
Back
Top Bottom