Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Je wajua CCM inakwenda kuwa chama cha upinzani tarehe 25/10/2015?
 
Je wajua?

Timu zote unazozisikia huko instagram hazijawahi kuwa na kocha...
 

Je wajua kuwa Watanzania ndo watu pekee duniani wenye kudanganyika na vitu kama kanga na kofia katika chaguzi zake
 
Je wajua wakwere asili yao ni wanyamwezi waliolowea pwani? Mfano hata jina la mrisho ni jina asili la kinyamwezi
 
Je Wajua Watanzania wengi hutumia internet kwa ajili ya whatsapp, instagram, facebook,twitter, viber
 
Je Wajua kama Sisimizi angekuwa na ukubwa wa binadamu ki umbo angekuwa na spidi zaidi ya Gari aina ya Bhugatti?? sasa umejua.
 
Samaki aina ya Pweza ndiyo anaongoza kwa kuwa na Akili nyingi zaidi kuliko Viumbe wengine wote wasio na Uti wa Mgongo.
 
JE WAJUA,kuwa jamii ya wamasai ndiyo inayoongoza kwa kuwa na walemavu wachache mnooo na hata zeruzeru kuliko jamii zingine zote? Ni sawasawa na hawapo! "Tafiti kutoka kwa researcher muingereza aliyeishi Nairobi"

Ni kwasababu wanawaua na kuwatupa porini wakaliwe na fisi
 
Back
Top Bottom