Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

YAANI KWELI CCM MMEKOSA HATA VYA KUANDIKA,ndio nini hii sasa? Unafikiri Watanzania wanadanganyika tena? KURA YETU NI KWA LOWASSA NA VIONGOZI WA UKAWA.
 
Kimi nimekwisha piga mbizi ila tutamuuliza tu.

Ni zaidi ya kupiga mbizi, utaumiza wengi. Achana na hili wazo.
Mgombea urais wa ukawa kamsifia sana kikwete kabla hajakatwa.
Na viongozi wengi wa ukawa wamemwita "mpiga mbizi" jembe na kumsifia sana.
utachafua hali ya hewa.
 
Hii umeikosea jukwaa !
Hii kaidump kule "JOKES/UTANI/UDAKU+ GOSSIPS
 
YAANI KWELI CCM MMEKOSA HATA VYA KUANDIKA,ndio nini hii sasa? Unafikiri Watanzania wanadanganyika tena? KURA YETU NI KWA LOWASSA NA VIONGOZI WA UKAWA.

umeona eeeh!

eti birthday wakati watanzania tunataka vitu vya msingi
 
Je wajua kuwa mtu ukiota ndoto upo hewani unaelea ni kwamba roho yako kwa wakati huo ni kweli imekuacha inaelea haipo nawe na hurudi kwa kasi sana ndio maana mtu huwa anashtuka usingizini na kutokujielewa kwa muda.
 
Je wajua Kisiwa cha Mafia kilichopo bahari ya Hindi chenye kata 7 na wakazi wapatao 60,000 hakuna hata shule moja ya kidato cha sita?

Hiii.. mi nilikua sijui..

Laki mafia si ni wilaya..kumbe kuna wilaya bado hazina haigh school..

Mwaka huu tufanye mabadiliko
 
sasa kama shule nzima inawanafunz 120 kuanzia form 1-1V we unadhan form V wataenda wangap kwa ufaulu wa miaka hii?

Wa kusoma vidato vya juu si lazima watoke hapo hapo watatoka sehemu nyingine katika nchi hii! Na ndio namna ya kuchangamsha hicho kisiwa.
 
Je wajua kuwa cement waliotumia kujengea majengo America kwa muda wa miaka 100, imewachukua China miaka mitatu tu
 
Je wajua kuwa bacteria zilizopo kwenye yogurt ni sawasawa na bacteria zinazopatikana kwenye uchi wa mwanamke?
Unapokunywa yogurt ni sawa sawa na umelamba uchi wa mwanamke, tofauti ni kuwa yogurt imeongezwa ladha na sukari ila uchi hauna ladha wala sukari?

Wale wazee wa Uvinza, Habari ndio hii.
 
Kamati ya mwakyembe ilizua jambo kwamba mitambo ya Richmond ni chakavu,lakini ndio hii inayozalisha hiki kiumeme cha kututoa aibu dhidi ya mgao,mwakyembe aombe radhi na amfate lowasa akiwa hai wafanye upatanisho
 
Hii Richmond ni zaidi ya watu wanavyoijua. Kwanini hawajiulizi baada ya ile Scandal ya Richmond wale Dowans wakaingia alafu Dowans ikaenda tena kuwa Symbion ambayo kuna watu wana interest nayo kama vile Marekani na JK.
Kila Rais wa Marekani akija lazima akatembelee hiyo mitambo hapo.
 
Kamati ya mwakyembe ilizua jambo kwamba mitambo ya Richmond ni chakavu,lakini ndio hii inayozalisha hiki kiumeme cha kututoa aibu dhidi ya mgao,mwakyembe aombe radhi na amfate lowasa akiwa hai wafanye upatanisho

Mbona mahaba ya ghafla! mmeahidiwa nini nyie watoto manake hata akili zimewaruka alisema ZZK hapa mkasimamia vidole gumba kutetea wahafidhina na mabwana zenu leo mnaanza unafiki.
 
Mbona tunajuwa na mpaka kesho lowassa anaendelea kulipwa mgao wake.
 
Back
Top Bottom