Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Je wajua Chelsea football club ni timu iliyochelewa kuanzishwa na yenye mafanikio kuliko timu yoyote pale Uingereza,
Imeanzishwa March 7 1905 na moja ya mafanikio ya kujivunia ni kutwaa uefa champions league.
 
Akhsante kwa wazo zuri lakini apo mwisho umeweka pumba.sintokufa bali nitaishi
 
Uliwahi kumfanananisha kitimoto na mnyama gani!? Basi leo katika je wajua! Kitimoto ukimwangalia kwa umakini halafu ukamkuza popo ukamtoa mabawa utagundua popo anafanana vibaya mno na kitimoto.

Mkuu hujui kama tumefunga Ramadhan au unataka tu shari / fujo kutoka kwa walioko katika Mfungo sasa na hawatumii kabisa hiyo kitu ya Ng'ombe Katoliki / Nguruwe / Kitimoto?
 
Back
Top Bottom