Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Uliwahi kumfanananisha kitimoto na mnyama gani!? Basi leo katika je wajua! Kitimoto ukimwangalia kwa umakini halafu ukamkuza popo ukamtoa mabawa utagundua popo anafanana vibaya mno na kitimoto.
Mkuu ww sema anafanana hata na mavi lakini hautabakia salama.tutakula tu
 
hakuna mtu alibaki salama kwa kumdisi mdudu.

mdudu rosti, balimi kwa pembeni huku nasoma jf huwa nabirudika sana.


kitimoto oyeeee!
[emoji23] [emoji23] true mdudu si mnyama wa sportsport... Hata hajiulizi why majini yamesanda pale?
 
Mi siku hizi muda ukifika naenda kula daku paleee. by the hapa DK nyama cheap Kitimoto, naskia bongo Kitimoto ni ghali kuliko nyama zingine zote
 
039e444223cb9c97c23021644acd8986.jpg
e1e877bff853c6d05129c881401ac1f7.jpg
 
Atamimi ni swahiba kwa braza kitimoto ila kumfananisha sura sio mbaya. Wangapi huwa tunafananishwa au kumfananisha mshikaji? Tena kuna wakati unakuta unafananishwa na jamaa ugly face baraaaa
 
Uliwahi kumfanananisha kitimoto na mnyama gani!? Basi leo katika je wajua! Kitimoto ukimwangalia kwa umakini halafu ukamkuza popo ukamtoa mabawa utagundua popo anafanana vibaya mno na kitimoto.
Popo ukimtoa mabawa anakufa.kitimoto kavu ndizi 2 kachumbali nyingi na balimi nikifika kwa shemeji yako bila 3 sijashuka
 
Achaga kulinganisha vitu vitamu na vitu vya kijinga..popo akifanana na kitimoto na panya afanane na nani
 
Back
Top Bottom