Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

3. UGANDA ikawa ngome ya jeshi la anga na hivyo ikaongoza kuwa na ndegevita.
ktk vita kati ya TZ na UG tulifanikiwa kutungua ndege nyingi za UG na hivyo wakapungukiwa ndege nyingi.
ndege zote za kivita za uganda ziliharibiwa na wayahudi wakati wa entebe rescue
 
Why kibiti mauaji yanaendelea au ndo ile unazima moto kwa jirani alafu kwako kunaungua?

Heavy Weight
 
gazeti la the east african la lmay 28 linasema tuna hhelicopteer 2, vifaru 30 na ndege 35. kenya helcopter 62, ndege 132 na vifaru 76. uganda vifaru 220, ndege 47 na helcopter 22.
Nawewe mambo ya Usalama wa nchi yako kama Hayo eti unayapata kwenye Gazeti na unayafanyia KAZI. Pole sana .

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana umelalia upande mmoja bila ya kuisoma historia kamili.
Kwanza Uganda hawajashindwa (kupigwa) na Tanzania pekee. Ndege za Uganda zimeangushwa na Muingereza pia alisaidia kusema wapi wapo wanajeshi wa Uganda na jwtz kwao ilikuwa rahisi kushambulia.
Pili kumbuka Idd Amini aliwafukuza wahindi na waEurope na waIsrael kwahio ndio wao waliofanikisha mpango mzima.
Tatu Tanzania haitegemewi kwa kulinda amani kwasababu hata jeshi la Uganda lipo Lebanon na Kenya lipo Somali. Jwtz linatumiwa kwasababu wazungu hawataki majeshi wao wafe bora watoe hela mpate kuuwana wenyewe kwa wenyewe.
Jipange urudi tena

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
ndege zote za kivita za uganda ziliharibiwa na wayahudi wakati wa entebe rescue
Mnafikiri kwa kiwango cha miaka ya sabini,
Hivi vita ya Uganda mnaitumia km kipimo wakati kuna mavitu ya hatari ya kisasa watu wameyanunua baada ya pale,hii vita kila upande uliitumia km funzo,yaani mnataka kunambia Uganda baada ya kichapo walibaki vile vile?,

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Mwingereza alipotawala nchi za Afrika Mashariki aligawa nguvu za kijeshi kama ifuatavyo:

1. TANZANIA ikawa ngome ya jeshi la ardhi na hivyo ikaongoza kuwa na vifaa vingi vya ardhini mf. vifaru, magari mbalimbali ya kivita na mizinga.

2. KENYA ikawa ngome ya jeshi la maji na hivyo ikaongoza kuwa na meli na boti nyingi za kivita.

3. UGANDA ikawa ngome ya jeshi la anga na hivyo ikaongoza kuwa na ndegevita.
ktk vita kati ya TZ na UG tulifanikiwa kutungua ndege nyingi za UG na hivyo wakapungukiwa ndege nyingi.

Kwa kuwa jeshi la ardhi kwa nchi nyingi maskini ndiyo dili kwani vifaa vyake vingi vina unafuu ktk kununua na kuvitunza. Pia Kenya imedhoofika sana na AL-SHAABAB ktk vita wanavyopambana.

Jeshi letu tangu vita vya UGANDA limekuwa na nafasi kubwa ya kujijenga na kujiimarisha kwa msaada wa pekee kutoka CHINA na hata nchi za ULAYA NA MAREKANI na ndiyo maana mwaka jana pale uwanja wa Taifa ilizinduliwa ndege ya kisasa ya kivita ambayo Afrika nzima tunayo TZ na SOUTH AFRICA pekee.

Ndiyo maana tunaombwa sana kulinda amani nje ya nchi kama DARFUR, CONGO DRC na LEBANON.

VIVA JWTZ

Source of information please.
 
Hizi nyuzi za kulemaza watu, nguvu za jeshi hazipimwi kwa history au silaha ulizo nazo, kwa mtazamo wangu binafsi

Sent from my GT-N5100 using JamiiForums mobile app
 
Mbona
gazeti la the east african la lmay 28 linasema tuna hhelicopteer 2, vifaru 30 na ndege 35. kenya helcopter 62, ndege 132 na vifaru 76. uganda vifaru 220, ndege 47 na helcopter 22.

umequote upuuzi waandishi hujui kuwa huandikwa kwa kupewa taarifa na mtoa taarifa kwa madhumuni Fulani?? Tanzania tupo juu sana nakubali ndio maana tuna majeshi congo na wamenyooka sana M26 kule.taarifa za idadi na aina huwa ni siri
 
Mwingereza alipotawala nchi za Afrika Mashariki aligawa nguvu za kijeshi kama ifuatavyo:

1. TANZANIA ikawa ngome ya jeshi la ardhi na hivyo ikaongoza kuwa na vifaa vingi vya ardhini mf. vifaru, magari mbalimbali ya kivita na mizinga.

2. KENYA ikawa ngome ya jeshi la maji na hivyo ikaongoza kuwa na meli na boti nyingi za kivita.

3. UGANDA ikawa ngome ya jeshi la anga na hivyo ikaongoza kuwa na ndegevita.
ktk vita kati ya TZ na UG tulifanikiwa kutungua ndege nyingi za UG na hivyo wakapungukiwa ndege nyingi.

Kwa kuwa jeshi la ardhi kwa nchi nyingi maskini ndiyo dili kwani vifaa vyake vingi vina unafuu ktk kununua na kuvitunza. Pia Kenya imedhoofika sana na AL-SHAABAB ktk vita wanavyopambana.

Jeshi letu tangu vita vya UGANDA limekuwa na nafasi kubwa ya kujijenga na kujiimarisha kwa msaada wa pekee kutoka CHINA na hata nchi za ULAYA NA MAREKANI na ndiyo maana mwaka jana pale uwanja wa Taifa ilizinduliwa ndege ya kisasa ya kivita ambayo Afrika nzima tunayo TZ na SOUTH AFRICA pekee.

Ndiyo maana tunaombwa sana kulinda amani nje ya nchi kama DARFUR, CONGO DRC na LEBANON.

VIVA JWTZ
Siyo kwamba JK kwa sababu alitokea Jeshini alikuwa anajua zaidi mahitaji yetu kijeshi na hivyo akafanya jitihada za nakusudi za kuhakikisha kuwa anayatimiza? MImi naona kama huko nyuma kabla ya JK hautukuwa katika hali tuliyonayo leo. Tumepata hili kama faida ya kutokana na kuwa na Rais Mwanajeshi. Huko mbele sasa hata wakiendelea raia 200 hatuna shida tena.
 
Kwa hili nakuunga mkono 100% maana kuna siku nilikuwa na wana kitaa sasa mganda mmoja akasema kuwa hakuna jeuri wa kumchokoza Mtz kivita sisi wnaEA tunalijua hilo kwani CV ya tz IPO juu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwingereza alipotawala nchi za Afrika Mashariki aligawa nguvu za kijeshi kama ifuatavyo:

1. TANZANIA ikawa ngome ya jeshi la ardhi na hivyo ikaongoza kuwa na vifaa vingi vya ardhini mf. vifaru, magari mbalimbali ya kivita na mizinga.

2. KENYA ikawa ngome ya jeshi la maji na hivyo ikaongoza kuwa na meli na boti nyingi za kivita.

3. UGANDA ikawa ngome ya jeshi la anga na hivyo ikaongoza kuwa na ndegevita.
ktk vita kati ya TZ na UG tulifanikiwa kutungua ndege nyingi za UG na hivyo wakapungukiwa ndege nyingi.

Kwa kuwa jeshi la ardhi kwa nchi nyingi maskini ndiyo dili kwani vifaa vyake vingi vina unafuu ktk kununua na kuvitunza. Pia Kenya imedhoofika sana na AL-SHAABAB ktk vita wanavyopambana.

Jeshi letu tangu vita vya UGANDA limekuwa na nafasi kubwa ya kujijenga na kujiimarisha kwa msaada wa pekee kutoka CHINA na hata nchi za ULAYA NA MAREKANI na ndiyo maana mwaka jana pale uwanja wa Taifa ilizinduliwa ndege ya kisasa ya kivita ambayo Afrika nzima tunayo TZ na SOUTH AFRICA pekee.

Ndiyo maana tunaombwa sana kulinda amani nje ya nchi kama DARFUR, CONGO DRC na LEBANON.

VIVA JWTZ

Mkuu kupingana na wewe,sio kwamba hatuna uzalendo.
Ila kwa mujibu WA upeo wetu, yako mambo yanahitaji kuwekwa sawa.

Kutumia jeshi kwenda kulinda Amani sio sawasawa na Ku engage in conventional Warfare. Hivyo ulinzi WA Amani taifa lolote laweza kwenda kwakua kuna kanuni za jeshi HILo kutakiwa kubakia neutral baina ya pande mbili au zaidi zilizokatika mzozo(armistice)

Vifaru vya Tangu mkoloni mwingereza kulinganisha na katika Dunia ya Leo ya Kupigana kwa kutumia vifaru vyenye laser weapons, GPs, etc visivyovunjika kwa makombora ya kawaida. Bado ni swala tete.isije ikawa tuna vifaru vya kujitoa mhanga badala ya kuleta upinzani kwenye medani ya vita.

Je nchi hizi jirani zinapata sapoti kupitia mataifa gani?.

Mbona Urusi iliwasapoti waarabu lakini wakaishia kupigwa na Israel, hata ikamlazimu atishie kuingia yeye mwenyewe? je China INA uwezo kuliko USA? china imeshiriki operations gani za kijeshi tangu WWII?

Na vipi ikiwa jeshi la Kenya yenye uchumi mkubwa zaidi yetu inapata sapoti ya USA?

Umetaja kuhusu alshabaabu vipi kuhusu kibiti . hawatudhohofishi haawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uthibitisho wa kitu waweza kupatikana pia kwa hoja na data zinazofahamika na public. nikikwambia fuatilia sherehe au maonyesho ya kijeshi ya nchi za EAST & CENTRAL AFRICA utaona wazi ninayosema kuwa ni kweli. achana ni mawebsite na malink mbalimbali yanakudanganya kwani yako kisiasa. pia jeshini kuna usiri mkubwa ila unaweza kuujua ukifuatilia na kujiongeza mwenyewe. narudia tena ndege iliyozinduliwa mwaka jana pale taifa tunayo sisi na SOUTH AFRICA tu, maana yake ikitumiwa kwa sasa majirani hawana pakwenda. jamani tuache chuki au kutoiamini nchi yetu pale inapoweza.

Labda nikufahamishe United States of America. Na nchi za magharibi, hua hawana hizi the so called "Maonyesho ya Kijeshi". Lakini ndio Military Mighty katika medani ya kivita duniani.

Sherehe za kijeshi ni utamaduni WA kikomunisti WA eastern. Hauna uhusiano na uwezo halisi WA kijeshi WA nchi.

Russia wanaadhimisha hadi vita ya dunia lakini wamagharibi hawana sherehe za hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana umelalia upande mmoja bila ya kuisoma historia kamili.
Kwanza Uganda hawajashindwa (kupigwa) na Tanzania pekee. Ndege za Uganda zimeangushwa na Muingereza pia alisaidia kusema wapi wapo wanajeshi wa Uganda na jwtz kwao ilikuwa rahisi kushambulia.
Pili kumbuka Idd Amini aliwafukuza wahindi na waEurope na waIsrael kwahio ndio wao waliofanikisha mpango mzima.
Tatu Tanzania haitegemewi kwa kulinda amani kwasababu hata jeshi la Uganda lipo Lebanon na Kenya lipo Somali. Jwtz linatumiwa kwasababu wazungu hawataki majeshi wao wafe bora watoe hela mpate kuuwana wenyewe kwa wenyewe.
Ahsante sana Mkuu. Najiulizaga nchi kama USA, Germany na Russia hazinaga askari wa kujitolea kulinda amani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguvu za kijeshi za wapi? Wamepigana na taifa gani mpaka wajiite wana nguvu za kijeshi ukanda huu wa maziwa makuu? Vibaka tu wa amboni wamewashindwa
Unaishi dunia gani hukumbuki Comorro?? Kiss cha Kanali Bakari aliyepindua serikali ya Comoro alitolewa na JWTZ mwaka 2008/9. Hukumbuki mwaka 2013 Congo DRC?? Waasi wa M23 walisambaratishwa na JWTZ na bila kusahau vita vya Kagera na harakati ya ukombozi kusini kwa Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona watu tunatembea na historia za miaka ya 1970+ mpaka 2000.
 
Back
Top Bottom