young solicitor
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,123
- 713
Ile vita ya kagera tulisaidwa na majeshi mbalimbali wakiwemo waganda wenyewe, sisi peke yetu hatujawahi kupigana peke yetu
Comoro
M23 DRC
no research no right to speak
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile vita ya kagera tulisaidwa na majeshi mbalimbali wakiwemo waganda wenyewe, sisi peke yetu hatujawahi kupigana peke yetu
Sisi ni wa 7, embu weka hiyo Source Mkuu. Au taja 1 mpaka 10.Brother huo utafiti umeutoa wapi? Tanzania Ina uwezo gani wa kumiliki ndege ambayo misri hawana? Kwa Africa sisi ni wa 7 kivifaa Kenya katuzidi sanaaa tu kwa mujibu wa takwimu Kenya ndio inaongoza Africa mashariki.
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha ha ha ha sisi watanzania tunapenda kujitoa moyo kwa mambo ya kipumbavu sana. Eti tumedungua ndege za Uganda, wakati MOSSAD ndo walimaliza zile ndege pale Entebendege zote za kivita za uganda ziliharibiwa na wayahudi wakati wa entebe rescue
Tulisaidiwa na wapigania uhuru wa msumbiji, Zimbabwe, Angola n.k. kwa upande wa Uganda walikuwepo wakina ojoku, museveni n.k.
Uganda wana Sukhoi_30 ambazo East na Central Afrika hakuna aliyenazo, kama sikosei ni wao pekee ndio wanazo hizi ndege Afrika nzima, na zipo 6. Tukiweka unazi pembeni ni kwamba, anaweza akapiga popote pale ndani ya Tanzania.Mnafikiri kwa kiwango cha miaka ya sabini,
Hivi vita ya Uganda mnaitumia km kipimo wakati kuna mavitu ya hatari ya kisasa watu wameyanunua baada ya pale,hii vita kila upande uliitumia km funzo,yaani mnataka kunambia Uganda baada ya kichapo walibaki vile vile?,
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Na huo ndio uhalisia, watu wanatembea na historia za miaka ya 70, 80 na 90. JWTZ ilikuwa na nguvu kwelikweli, sio JWTZ tu hata TISS. Hivi vyombo kwa sasa ufanisi wake sio kama zamani.Hizi nyuzi za kulemaza watu, nguvu za jeshi hazipimwi kwa history au silaha ulizo nazo, kwa mtazamo wangu binafsi
Sent from my GT-N5100 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha ha ha ha!Ahsante sana Mkuu. Najiulizaga nchi kama USA, Germany na Russia hazinaga askari wa kujitolea kulinda amani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kule DRC dhidi ya M23 kulikuwa na Malawi na S.Afrika.Ile vita ya kagera tulisaidwa na majeshi mbalimbali wakiwemo waganda wenyewe, sisi peke yetu hatujawahi kupigana peke yetu
Eti ndege 35, labda kama wamejumrisha na zile ndege za wafipa za kupaa usiku.gazeti la the east african la lmay 28 linasema tuna hhelicopteer 2, vifaru 30 na ndege 35. kenya helcopter 62, ndege 132 na vifaru 76. uganda vifaru 220, ndege 47 na helcopter 22.
Ha ha ha ha eti tuna ndege nyingi, ndege zenyewe ni zile takataka?ndugu tambua haya: wanaposema jeshi la Kenya na Uganda wana ndege kiasi hicho wasikutishe. kupima uwezo vita hatuangaalii idadi ya ndege tu bali ndege gani? wanaweza kutuzidi idadi ya ndege kumbe ni za kusafirisha askari wakati za kwetu ni za kurusha makombora(fighters). sisi tunaongoza kwa fighters na ndiyo maana kwenye maonyesho ya ndege vita kwa nchi zote tatu sisi tunaongoza kuonyesha ndege nyingi. fuatilia sherehe za uhuru za kila nchi. check hata GOOGLE
Tuna vibatari ambavyo kazi yake ni kutupigia kelele mjini.Uganda wana su-35,sie Je?
HahahahahTuna vibatari ambavyo kazi yake ni kutupigia kelele mjini.
Acha uongo ww ile bastille day iliyofanyika majuzi hapa paris na ambayo kila mwaka hufanyika yalikuwa maonyesho ya kanga?Labda nikufahamishe United States of America. Na nchi za magharibi, hua hawana hizi the so called "Maonyesho ya Kijeshi". Lakini ndio Military Mighty katika medani ya kivita duniani.
Sherehe za kijeshi ni utamaduni WA kikomunisti WA eastern. Hauna uhusiano na uwezo halisi WA kijeshi WA nchi.
Russia wanaadhimisha hadi vita ya dunia lakini wamagharibi hawana sherehe za hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo na hujitolea kwenda kuweka amani kama nchi nyengine. Lakini hawa ndugu zetu huchaguliwa kuwa mkuu wa kikosi na chini yake hufuatiwa na mhindi au mchina. Baada ya hapo ndio hawa askari wetu, ikitokea fujo wao hufuata amri ya bosi wao ambae ndio hao wazungu. Nakupa hii ilitokea Vietnam walipopigana na USA miaka ya 60s, kwasababu vita vilianza 1955 mpaka 1975. Kuna mwana jeshi mweusi alimchapa risasi mzungu(mkuu wa kikosi) sababu alikuwa akiwapeleka weusi mbele. Hata ukipata nafasi angalia vita vya civil war au vita ya wazulu na makaburu utaona weusi wapo mbele.Ahsante sana Mkuu. Najiulizaga nchi kama USA, Germany na Russia hazinaga askari wa kujitolea kulinda amani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh data umetoa wapi ww hizi wakati ata kwene site ya fire power tz ata top ten maskini haipo na nchi pekee iliopo africa mashariki ni Uganda ambayo nayo ni ya tisa....Mwingereza alipotawala nchi za Afrika Mashariki aligawa nguvu za kijeshi kama ifuatavyo:
1. TANZANIA ikawa ngome ya jeshi la ardhi na hivyo ikaongoza kuwa na vifaa vingi vya ardhini mf. vifaru, magari mbalimbali ya kivita na mizinga.
2. KENYA ikawa ngome ya jeshi la maji na hivyo ikaongoza kuwa na meli na boti nyingi za kivita.
3. UGANDA ikawa ngome ya jeshi la anga na hivyo ikaongoza kuwa na ndegevita.
ktk vita kati ya TZ na UG tulifanikiwa kutungua ndege nyingi za UG na hivyo wakapungukiwa ndege nyingi.
Kwa kuwa jeshi la ardhi kwa nchi nyingi maskini ndiyo dili kwani vifaa vyake vingi vina unafuu ktk kununua na kuvitunza. Pia Kenya imedhoofika sana na AL-SHAABAB ktk vita wanavyopambana.
Jeshi letu tangu vita vya UGANDA limekuwa na nafasi kubwa ya kujijenga na kujiimarisha kwa msaada wa pekee kutoka CHINA na hata nchi za ULAYA NA MAREKANI na ndiyo maana mwaka jana pale uwanja wa Taifa ilizinduliwa ndege ya kisasa ya kivita ambayo Afrika nzima tunayo TZ na SOUTH AFRICA pekee.
Ndiyo maana tunaombwa sana kulinda amani nje ya nchi kama DARFUR, CONGO DRC na LEBANON.
VIVA JWTZ
Mwingereza alipotawala nchi za Afrika Mashariki aligawa nguvu za kijeshi kama ifuatavyo: