AFRICA KWANZA
Member
- Aug 24, 2015
- 14
- 4
ndege zote za kivita za uganda ziliharibiwa na wayahudi wakati wa entebe rescue3. UGANDA ikawa ngome ya jeshi la anga na hivyo ikaongoza kuwa na ndegevita.
ktk vita kati ya TZ na UG tulifanikiwa kutungua ndege nyingi za UG na hivyo wakapungukiwa ndege nyingi.
Nawewe mambo ya Usalama wa nchi yako kama Hayo eti unayapata kwenye Gazeti na unayafanyia KAZI. Pole sana .gazeti la the east african la lmay 28 linasema tuna hhelicopteer 2, vifaru 30 na ndege 35. kenya helcopter 62, ndege 132 na vifaru 76. uganda vifaru 220, ndege 47 na helcopter 22.
Jipange urudi tenaInaonekana umelalia upande mmoja bila ya kuisoma historia kamili.
Kwanza Uganda hawajashindwa (kupigwa) na Tanzania pekee. Ndege za Uganda zimeangushwa na Muingereza pia alisaidia kusema wapi wapo wanajeshi wa Uganda na jwtz kwao ilikuwa rahisi kushambulia.
Pili kumbuka Idd Amini aliwafukuza wahindi na waEurope na waIsrael kwahio ndio wao waliofanikisha mpango mzima.
Tatu Tanzania haitegemewi kwa kulinda amani kwasababu hata jeshi la Uganda lipo Lebanon na Kenya lipo Somali. Jwtz linatumiwa kwasababu wazungu hawataki majeshi wao wafe bora watoe hela mpate kuuwana wenyewe kwa wenyewe.
Mnafikiri kwa kiwango cha miaka ya sabini,ndege zote za kivita za uganda ziliharibiwa na wayahudi wakati wa entebe rescue
Mwingereza alipotawala nchi za Afrika Mashariki aligawa nguvu za kijeshi kama ifuatavyo:
1. TANZANIA ikawa ngome ya jeshi la ardhi na hivyo ikaongoza kuwa na vifaa vingi vya ardhini mf. vifaru, magari mbalimbali ya kivita na mizinga.
2. KENYA ikawa ngome ya jeshi la maji na hivyo ikaongoza kuwa na meli na boti nyingi za kivita.
3. UGANDA ikawa ngome ya jeshi la anga na hivyo ikaongoza kuwa na ndegevita.
ktk vita kati ya TZ na UG tulifanikiwa kutungua ndege nyingi za UG na hivyo wakapungukiwa ndege nyingi.
Kwa kuwa jeshi la ardhi kwa nchi nyingi maskini ndiyo dili kwani vifaa vyake vingi vina unafuu ktk kununua na kuvitunza. Pia Kenya imedhoofika sana na AL-SHAABAB ktk vita wanavyopambana.
Jeshi letu tangu vita vya UGANDA limekuwa na nafasi kubwa ya kujijenga na kujiimarisha kwa msaada wa pekee kutoka CHINA na hata nchi za ULAYA NA MAREKANI na ndiyo maana mwaka jana pale uwanja wa Taifa ilizinduliwa ndege ya kisasa ya kivita ambayo Afrika nzima tunayo TZ na SOUTH AFRICA pekee.
Ndiyo maana tunaombwa sana kulinda amani nje ya nchi kama DARFUR, CONGO DRC na LEBANON.
VIVA JWTZ
gazeti la the east african la lmay 28 linasema tuna hhelicopteer 2, vifaru 30 na ndege 35. kenya helcopter 62, ndege 132 na vifaru 76. uganda vifaru 220, ndege 47 na helcopter 22.
Siyo kwamba JK kwa sababu alitokea Jeshini alikuwa anajua zaidi mahitaji yetu kijeshi na hivyo akafanya jitihada za nakusudi za kuhakikisha kuwa anayatimiza? MImi naona kama huko nyuma kabla ya JK hautukuwa katika hali tuliyonayo leo. Tumepata hili kama faida ya kutokana na kuwa na Rais Mwanajeshi. Huko mbele sasa hata wakiendelea raia 200 hatuna shida tena.Mwingereza alipotawala nchi za Afrika Mashariki aligawa nguvu za kijeshi kama ifuatavyo:
1. TANZANIA ikawa ngome ya jeshi la ardhi na hivyo ikaongoza kuwa na vifaa vingi vya ardhini mf. vifaru, magari mbalimbali ya kivita na mizinga.
2. KENYA ikawa ngome ya jeshi la maji na hivyo ikaongoza kuwa na meli na boti nyingi za kivita.
3. UGANDA ikawa ngome ya jeshi la anga na hivyo ikaongoza kuwa na ndegevita.
ktk vita kati ya TZ na UG tulifanikiwa kutungua ndege nyingi za UG na hivyo wakapungukiwa ndege nyingi.
Kwa kuwa jeshi la ardhi kwa nchi nyingi maskini ndiyo dili kwani vifaa vyake vingi vina unafuu ktk kununua na kuvitunza. Pia Kenya imedhoofika sana na AL-SHAABAB ktk vita wanavyopambana.
Jeshi letu tangu vita vya UGANDA limekuwa na nafasi kubwa ya kujijenga na kujiimarisha kwa msaada wa pekee kutoka CHINA na hata nchi za ULAYA NA MAREKANI na ndiyo maana mwaka jana pale uwanja wa Taifa ilizinduliwa ndege ya kisasa ya kivita ambayo Afrika nzima tunayo TZ na SOUTH AFRICA pekee.
Ndiyo maana tunaombwa sana kulinda amani nje ya nchi kama DARFUR, CONGO DRC na LEBANON.
VIVA JWTZ
Anzisha thread kuzungumzia hayo unayotaka ww,Mnasema tusivyoviona. Mbona sekta nyingine tunafanya vibaya sana. Michezo, siasa nk......
Duniani hakuna anayepigana peke yake kwani hata USA anapopigana huwa na washirika pia wa ndani au nje ya nchi anayopigana nayoIle vita ya kagera tulisaidwa na majeshi mbalimbali wakiwemo waganda wenyewe, sisi peke yetu hatujawahi kupigana peke yetu
Mwingereza alipotawala nchi za Afrika Mashariki aligawa nguvu za kijeshi kama ifuatavyo:
1. TANZANIA ikawa ngome ya jeshi la ardhi na hivyo ikaongoza kuwa na vifaa vingi vya ardhini mf. vifaru, magari mbalimbali ya kivita na mizinga.
2. KENYA ikawa ngome ya jeshi la maji na hivyo ikaongoza kuwa na meli na boti nyingi za kivita.
3. UGANDA ikawa ngome ya jeshi la anga na hivyo ikaongoza kuwa na ndegevita.
ktk vita kati ya TZ na UG tulifanikiwa kutungua ndege nyingi za UG na hivyo wakapungukiwa ndege nyingi.
Kwa kuwa jeshi la ardhi kwa nchi nyingi maskini ndiyo dili kwani vifaa vyake vingi vina unafuu ktk kununua na kuvitunza. Pia Kenya imedhoofika sana na AL-SHAABAB ktk vita wanavyopambana.
Jeshi letu tangu vita vya UGANDA limekuwa na nafasi kubwa ya kujijenga na kujiimarisha kwa msaada wa pekee kutoka CHINA na hata nchi za ULAYA NA MAREKANI na ndiyo maana mwaka jana pale uwanja wa Taifa ilizinduliwa ndege ya kisasa ya kivita ambayo Afrika nzima tunayo TZ na SOUTH AFRICA pekee.
Ndiyo maana tunaombwa sana kulinda amani nje ya nchi kama DARFUR, CONGO DRC na LEBANON.
VIVA JWTZ
uthibitisho wa kitu waweza kupatikana pia kwa hoja na data zinazofahamika na public. nikikwambia fuatilia sherehe au maonyesho ya kijeshi ya nchi za EAST & CENTRAL AFRICA utaona wazi ninayosema kuwa ni kweli. achana ni mawebsite na malink mbalimbali yanakudanganya kwani yako kisiasa. pia jeshini kuna usiri mkubwa ila unaweza kuujua ukifuatilia na kujiongeza mwenyewe. narudia tena ndege iliyozinduliwa mwaka jana pale taifa tunayo sisi na SOUTH AFRICA tu, maana yake ikitumiwa kwa sasa majirani hawana pakwenda. jamani tuache chuki au kutoiamini nchi yetu pale inapoweza.
Ahsante sana Mkuu. Najiulizaga nchi kama USA, Germany na Russia hazinaga askari wa kujitolea kulinda amani!Inaonekana umelalia upande mmoja bila ya kuisoma historia kamili.
Kwanza Uganda hawajashindwa (kupigwa) na Tanzania pekee. Ndege za Uganda zimeangushwa na Muingereza pia alisaidia kusema wapi wapo wanajeshi wa Uganda na jwtz kwao ilikuwa rahisi kushambulia.
Pili kumbuka Idd Amini aliwafukuza wahindi na waEurope na waIsrael kwahio ndio wao waliofanikisha mpango mzima.
Tatu Tanzania haitegemewi kwa kulinda amani kwasababu hata jeshi la Uganda lipo Lebanon na Kenya lipo Somali. Jwtz linatumiwa kwasababu wazungu hawataki majeshi wao wafe bora watoe hela mpate kuuwana wenyewe kwa wenyewe.
Unaishi dunia gani hukumbuki Comorro?? Kiss cha Kanali Bakari aliyepindua serikali ya Comoro alitolewa na JWTZ mwaka 2008/9. Hukumbuki mwaka 2013 Congo DRC?? Waasi wa M23 walisambaratishwa na JWTZ na bila kusahau vita vya Kagera na harakati ya ukombozi kusini kwa Africa.Nguvu za kijeshi za wapi? Wamepigana na taifa gani mpaka wajiite wana nguvu za kijeshi ukanda huu wa maziwa makuu? Vibaka tu wa amboni wamewashindwa