Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

Sisi ni wa 7, embu weka hiyo Source Mkuu. Au taja 1 mpaka 10.
 
ndege zote za kivita za uganda ziliharibiwa na wayahudi wakati wa entebe rescue
Ha ha ha ha ha ha ha sisi watanzania tunapenda kujitoa moyo kwa mambo ya kipumbavu sana. Eti tumedungua ndege za Uganda, wakati MOSSAD ndo walimaliza zile ndege pale Entebe

Moja kati ya Makosa ya UDF ni kuruhusu ndege za kivita kukaa sehemu moja na ndege za kawaida.
 
Tulisaidiwa na wapigania uhuru wa msumbiji, Zimbabwe, Angola n.k. kwa upande wa Uganda walikuwepo wakina ojoku, museveni n.k.

Vita ya Tanzania na Uganda vikipigana
Kumbe msumbiji, Angola ns Zimbabwe zilikuwa bado zinapigania uhuru

Teh teh teh
 
Uganda wana Sukhoi_30 ambazo East na Central Afrika hakuna aliyenazo, kama sikosei ni wao pekee ndio wanazo hizi ndege Afrika nzima, na zipo 6. Tukiweka unazi pembeni ni kwamba, anaweza akapiga popote pale ndani ya Tanzania.
 
Hizi nyuzi za kulemaza watu, nguvu za jeshi hazipimwi kwa history au silaha ulizo nazo, kwa mtazamo wangu binafsi

Sent from my GT-N5100 using JamiiForums mobile app
Na huo ndio uhalisia, watu wanatembea na historia za miaka ya 70, 80 na 90. JWTZ ilikuwa na nguvu kwelikweli, sio JWTZ tu hata TISS. Hivi vyombo kwa sasa ufanisi wake sio kama zamani.
 
Ile vita ya kagera tulisaidwa na majeshi mbalimbali wakiwemo waganda wenyewe, sisi peke yetu hatujawahi kupigana peke yetu
Hata kule DRC dhidi ya M23 kulikuwa na Malawi na S.Afrika.
 
gazeti la the east african la lmay 28 linasema tuna hhelicopteer 2, vifaru 30 na ndege 35. kenya helcopter 62, ndege 132 na vifaru 76. uganda vifaru 220, ndege 47 na helcopter 22.
Eti ndege 35, labda kama wamejumrisha na zile ndege za wafipa za kupaa usiku.
 
Ha ha ha ha eti tuna ndege nyingi, ndege zenyewe ni zile takataka?

Embu tazama hapa za Uganda!

 
Wakati Kenya wanatoa mamilioni ya dola kununua vifaa vya kijeshi,nyie Tanganyika mnajisifu uwongo tu
 
Acha uongo ww ile bastille day iliyofanyika majuzi hapa paris na ambayo kila mwaka hufanyika yalikuwa maonyesho ya kanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana Mkuu. Najiulizaga nchi kama USA, Germany na Russia hazinaga askari wa kujitolea kulinda amani!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo na hujitolea kwenda kuweka amani kama nchi nyengine. Lakini hawa ndugu zetu huchaguliwa kuwa mkuu wa kikosi na chini yake hufuatiwa na mhindi au mchina. Baada ya hapo ndio hawa askari wetu, ikitokea fujo wao hufuata amri ya bosi wao ambae ndio hao wazungu. Nakupa hii ilitokea Vietnam walipopigana na USA miaka ya 60s, kwasababu vita vilianza 1955 mpaka 1975. Kuna mwana jeshi mweusi alimchapa risasi mzungu(mkuu wa kikosi) sababu alikuwa akiwapeleka weusi mbele. Hata ukipata nafasi angalia vita vya civil war au vita ya wazulu na makaburu utaona weusi wapo mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh data umetoa wapi ww hizi wakati ata kwene site ya fire power tz ata top ten maskini haipo na nchi pekee iliopo africa mashariki ni Uganda ambayo nayo ni ya tisa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Utoto raha , mtoto anaamini mama yake ndie mpishi mzuri zaidi duniani na baba yake ana nguvu kuliko wanaume wote. Hata km baba wa huyo Mtoto yupo kwenye oxygen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…