Je, wajua ushindi goli Moja shirikisho sawa na Simba kufungwa 5-0 CAF champions?

Je, wajua ushindi goli Moja shirikisho sawa na Simba kufungwa 5-0 CAF champions?

Katika vitu vimenishangaza mpaka nikabaki nalia ni hili suala la wanasimba wenzangu kufurahia ushindi goli Moja dhidi ya timu dhaifu kwenye ligi dhaifu ya shirikisho ( kombe la wa wamama)[emoji32][emoji32]
Binafsi nilitegemea mnyama kumkandamiza bravos goli hata 10.

Kama Yanga ambavyo angefanya kama angekutana na timu dizaini ya hii waliokutana nayo makolo

Uchambuzi
Ushindi wa goli moja shirikisho is equivalent na Simba kupigwa goli 5_0 kama angekuwa club bingwa (kwa wanaume)

Basing on criterias such stiff competition, wachezaji wakubwa ubora wa timu uwekezaji heavyweight

NB imagine hii kolo fc iliyoshinda. Kwa penalty Kwa timu dhaifu ikutane na Constantine [emoji23][emoji23] guess what will happen

View attachment 3163999
Kwani nyie nyumamwiko mlipata goli ngapi kwa vibonde Kengold na Coastal Union tena msaada wa refa? Unapata wapi ujasiri wa kuikejeli Simba wakti na nyie mnaishi kwa mbeleko ya marefa? Mdaka mishale sasa hivi anamanua tu watu wanajipigia tu.
 
Tupo kimataifa mkuu
 
ukimtoa mzee kikwete na babaake,mliobaki wote kichwani ni -0.
watu ambao hawajui mpira wanasahau kwamba msimu huu simba wanatengeneza timu, matokeo chanya wanayoyapata ni swala lingine kabisa
 
ukimtoa mzee kikwete na babaake,mliobaki wote kichwani ni -0.
watu ambao hawajui mpira wanasahau kwamba msimu huu simba wanatengeneza timu, matokeo chanya wanayoyapata ni swala lingine kabisa
Simba- hii inayoshinda Kwa penalty
 
Wananchi sisi kama Simba Tunaomba Tuwaazime Point 3 zetu mtazirudisha mkishinda huko kwa waarabu
 
Back
Top Bottom