Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vaa Miwani mkuu SANDALAND hiyo mechi ya janaNembo haonekan mkuu
😀😀😀Enyi wa mama wa uto, jililieni nyie na na magoli yenu ya tobo
Game tatu mfululizo sio mchezoWanajangwani kama wamekuwa vichaa gafla
Kabisa.Wale Waangola ni kama Tabora United na Al-hilal.Katika vitu vimenishangaza mpaka nikabaki nalia ni hili suala la wanasimba wenzangu kufurahia ushindi goli Moja dhidi ya timu dhaifu kwenye ligi dhaifu ya shirikisho ( kombe la wa wamama)[emoji32][emoji32]
Binafsi nilitegemea mnyama kumkandamiza bravos goli hata 10.
Kama Yanga ambavyo angefanya kama angekutana na timu dizaini ya hii waliokutana nayo makolo
Uchambuzi
Ushindi wa goli moja shirikisho is equivalent na Simba kupigwa goli 5_0 kama angekuwa club bingwa (kwa wanaume)
Basing on criterias such stiff competition, wachezaji wakubwa ubora wa timu uwekezaji heavyweight
NB imagine hii kolo fc iliyoshinda. Kwa penalty Kwa timu dhaifu ikutane na Constantine [emoji23][emoji23] guess what will happen
View attachment 3163999
Kitaa ndio chama cha shirikisho gani?Hii ni ya kitaa mkuu
Tatizo lenu na injinia ni Kula msiba...[emoji23][emoji23][emoji23]
MsubaMsiba ndo nn
Ni GamondNi Nini?