Je, wajua ushindi goli Moja shirikisho sawa na Simba kufungwa 5-0 CAF champions?

Je, wajua ushindi goli Moja shirikisho sawa na Simba kufungwa 5-0 CAF champions?

kwamba wewe si miongoni mwa wale wawili wenye akili. Nimejaribu kuzunguka sana, ila kwa ufupi ni kwamba hauna, kwa mujibu wa msemaji wa Yanga, Haji Manara
Hapana mkuu... Mashabiki wa yanga ni well gifted mind
 
Ingekuwa ushindi kwa penati ni haramu basi Argentina wasingekuwa mabingwa wa dunia maana walishinda kwa penati....

[emoji196][emoji196][emoji196] Mnateseka sana mkiona mnyama hapotezi mechi....

Yule jamaa aliyempiga tobo Diarra alifungua magoli mawili ndani ya sekunde tu....

Hahahaaa [emoji196][emoji196] bingwa kwa bahasha na sindano ila CAFCL hakuna sindano wala bahasha huku.

Mchambuzi maandazi katika uzuzu wako
Sawa ni ushindi....lkn...ni ushindi wenye umama
 
Katika vitu vimenishangaza mpaka nikabaki nalia ni hili suala la wanasimba wenzangu kufurahia ushindi goli Moja dhidi ya timu dhaifu kwenye ligi dhaifu ya shirikisho ( kombe la wa wamama)[emoji32][emoji32]
Binafsi nilitegemea mnyama kumkandamiza bravos goli hata 10.

Kama Yanga ambavyo angefanya kama angekutana na timu dizaini ya hii waliokutana nayo makolo

Uchambuzi
Ushindi wa goli moja shirikisho is equivalent na Simba kupigwa goli 5_0 kama angekuwa club bingwa (kwa wanaume)

Basing on criterias such stiff competition, wachezaji wakubwa ubora wa timu uwekezaji heavyweight

NB imagine hii kolo fc iliyoshinda. Kwa penalty Kwa timu dhaifu ikutane na Constantine [emoji23][emoji23] guess what will happen

View attachment 3163999
Wewe lazima utakuwa Yanga Utopolo.

Wenye akili huko ni wawili tu. Sishangai kukusikia ukitapika utopolo
 
Back
Top Bottom