Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Kuwaita viongozi waliodhurumiwa haki zao Insane wakati wewe mwenyewe ukijijua ni Idiot ni kutojitendea haki. Jitambue kwanza Uzuzu ulionao na Ulambamwiko, kujipendekeza na kujikomba hakukusaidii zaidi ya kukushusha. Umeshiriki kura za maoni ukaongeza ujinga, safari hii unapata uteuzi ambao umeulilia kwa kutukana wenzio, utakapopata ndo utakamilisha kabisa mzunguko wa upumbavu.
Mkuu Kiranga , kipimo cha public interest kabla ya kufikia uamuzi wowo, kinapimwa kwa kujiuliza jee uamuzi huu tunaouchukua una manufaa yoyote kwa chama chetu, jee una manufaa kwa public?. Public interest ni kutanguliza mbele maslahi ya umma na sio maslahi ya chama.Who decides what is public interest and what is not?
On what criteria?
CHADEMA wakisema it is in the public interest for them to not participate in parliament, to protest the grotesquely fraudulent election, how could you dispute that?
Paskali ng'wanangwa haki ya nani ulishakuwa pumbavu wewe! Kama unatumika bora unyamaze tu, kawaambie waliokutuma kwamba wapinzani hawawezi kushiriki haramu!ACT Wazalendo, acheni ujinga wa ignorance, insanity, selfishness ya viongozi wenu insane!, pelekeni jina la Makamo wa Kwanza wa Rais kwa Dr. Mwinyi!
Chadema acheni ujinga wa ignorance, insanity, selfishness ya viongozi wenu insane!, pelekeni majina ya maalum NEC
Nawatakia Jumatatu Njema
Paskali
Mkuu Kiranga , nimecheka utadhani mazuri!.CCM wamepora kura, wamekataza maandamano, halafu wanataka kulazimisha wapinzani washiriki bungeni?
Yani umepanda daladala, mtu kakukanyaga mguuni.
Unamwambia umenikanyaga, anakuziba mdomo usiseme.
Unasema sawa, basi nataka nishuke nikuachie nafasi uendelee mwenyewe kwenye basi, anakwambia hakuna kushuka, baki humu humu niendelee kukukanyaga!
Usikariri kudhani kila video ni halisi. Hivi umesahau zile video za Iran za kuediti kwenye uzushi wenu eti ambulance za serikali zinabeba maiti wa korona kwenda kuzika usikuusiku???usikariri.
zipo video zaidi ya 4 askari wamewakamata makada wa CCM na kura zilizopigwa kwa mwenyekiti wako.
They are clearly & unmistakably working for the benefit of foreign interest groups; wala hata hawajifichi tena. Period. Fool me once, shame on you; fool me twice, shame on me.Who decides what is public interest and what is not?
On what criteria?
CHADEMA wakisema it is in the public interest for them to not participate in parliament, to protest the grotesquely fraudulent election, how could you dispute that?
Mkuu Kiranga, nilikujibu ila nitakujibu tena. Kipimo cha public interest ya jambo lolote, kinapimwa kwa manufaa ya jambo hilo kwa public. Ili jambo liwe ni public interest, lazima matokeo ya jambo hilo liwe na public interest,kwa kuleta manufaa kwa jamii. Hiyo Chadema na ACT, not to participate in parliament, ina public interest gani?, public inapata nini?, hao Chadema wenyewe watapata nini?.Naona sehemu hii ya bandiko langu umeiruka kama hujaiona.
Nimeuliza hivi:-
CHADEMA wakisema it is in the public's interest for them to not participate in parliament, to protest the grotesquely fraudulent election, how could you dispute that?
Ukiambiwa kwamba CHADEMA na wapinzani kususia bunge kutalifanya bunge la Tanzania kukosa hadhi ya mabunge ya Commonwealth yenye upinzani, na kumulika wizi wa kura wa CCM, na kuikosesha misaada serikali dhalimu ya CCM, na kuifanya serikali hiyo ifikiri mara mbili kabla ya kuiba kura tena, na kwamba hilo ni jambo lenye public interest, utakubali?Mkuu Kiranga, nilikujibu ila nitakujibu tena. Kipimo cha public interest ya jambo lolote, kinapimwa kwa manufaa ya jambo hilo kwa public. Ili jambo liwe ni public interest, lazima matokeo ya jambo hilo liwe na public interest,kwa kuleta manufaa kwa jamii. Hiyo Chadema na ACT, not to participate in parliament, ina public interest gani?, public inapata nini?, hao Chadema wenyewe watapata nini?.
P
What makes you say so?They are clearly & unmistakably working for the benefit of foreign interest groups; wala hata hawajifichi tena. Period. Fool me once, shame on you; fool me twice, shame on me.
I didn't know you are a PRO -- Public & Private Registration Officerhow old are you?
Bunge ni la Tanzania kwa ajili ya Watanzania, ikitokea ni Watanzania wenyewe, wamevikataa vyama vingi, wamekichagua chama kimoja tuu, kosa la Bunge letu ni lipi hadi lipunguziwe hiyo hadhi ya mabunge ya Commonwealth?. Huko kwa bunge letu kutambuliwa na mabunge ya Commonwealth kuna maslahi gani kwa taifa?. Hiyo misaada ya Commonwealth kwa mabunge yenye hadhi ya mabunge ya Commonwealth ina maslahi gani kwa taifa letu?.Ukiambiwa kwamba CHADEMA na wapinzani kususia bunge kutalifanya bunge la Tanzania kukosa hadhi ya mabunge ya Commonwealth yenye upinzani, na kuikosesha misaada serikali ya CCM, na kuifanya serikali hiyo ifikiri mara mbili tena, na kwamba hilo ni jambo lenye public interest, utakubali?