RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 963
- 1,927
Hata upinzani bungeni mlisema unachelewesha maendeleo.Hayakuwa maandamano ya amani hata kidogo. Mr Mzungu alishawaambia, Atakuwa halali yetu; Hawatatuua wote, etc. Kwa hiyo hata maandamano hayo hayakuwa maslahi ya umma, ila dirisha tu la vurugu, ghasia & machafuko.
Demokrasia ingezingatiwa mngeacha wananchi wafanye maandamano ya amani. Hakuna aliyekua na silaha lakini matokeo yake vijana kadhaa walipoteza maisha. CCM haiwezi kutupangia public interest.Mkuu Kiranga, nilikujibu ila nitakujibu tena. Kipimo cha public interest ya jambo lolote, kinapimwa kwa manufaa ya jambo hilo kwa public. Ili jambo liwe ni public interest, lazima matokeo ya jambo hilo liwe na public interest,kwa kuleta manufaa kwa jamii. Hiyo Chadema na ACT, not to participate in parliament, ina public interest gani?, public inapata nini?, hao Chadema wenyewe watapata nini?.
P
Not all special interest groups a deleterious travesty to national and social security, peace and sustainable development; but their case is obviously an untenable, indefensible situation.What makes you say so?
Which foreign interests?
Are all foreign interests bad?
Some foreign governments give a lot of aid to fund social services in Tanzania, is that bad?
I am either male or femaleare you male or female or both?
I see! Case closed, right?sawa tuma salamu kwa mataga wenzako 600 popote walipo.