Je, Wajua? Wamarekani ni Wabaguzi wa Kichinichini. Wanaendekeza Mfumo Dume, Ubaguzi wa Jinsia, Racism na Kuwabagua Wahamiaji

Mkuu Richard ,kwanza asante kwa kuchangia uzi wangu huu, pili asante kwa objectivity yako kwenye hili la kushindwa kwa Kamala, natamani chama cha the Democrat 2028 kije kimsimamishe Michelle Obama ndipo mtanielewa, naendelea kusisitiza hawa Warekani ni majitu majinga ajabu kutomchagua mwanamke, kitendo cha the biggest democracy kuwa wabaguzi kwa kumtosa mwanamke, Tanzania yukitumie kama fursa ya kujionyesha jinsi tulivyo na akili kuliko Wamarekani kwa kuchagua rais mwanamke come 2025

P
 
Hofman kakabidhiwa wahamiaji awasaidie.Dc ni jama mhamiaji pia ama mgeni.Kwani zipo siku chache Tom Hofman anaanza uratibu wa zoezi.Usiwalaumu Wamarekani utawala ulioangukia kisogo uliwaletea wamarekani mambo meusi sana,hata kama angesimama Trump kupitia chama kilichoangukia kisogo angebwagwa vile vile.Angalia mauaji ya kimbari kwa usimamizi wa utawala uliokataliwaangalia taifa la ukraine linalo karibia kufutika,yote ufadhili wa chama kilichoangukia pua na vibaraka wa marekani watu wa ulaya.Tazama Lebanon bado unataja Wamarekani wachague chana kilichowafikisha kote huko?Labda ingekuwa taifa la giza.
 
Huu ulikuwa wakati sahihi wa Trump kuchaguliwa Tena kutokana na Sera zake
1. Hatutaki mambo ya kuhalalisha ushoga! Hapa wengi watanipinga Ila ukweli ni kwamba Obama na crue yake wame tu disappoint Sisi ma Baltazary ! Yaan mtu unapita ukurasa wa Obama unakuta kapost siku ya Mashoga duniani, mbaya zaidi hata Ikulu ambapo panatakiwa kuwa patakatifu unakuta Biden wake kaanika bendera ya mashoga siku ya mashoga duniani ! Mungu aliumba jinsia mbili ME na KE haya mengine akina Obama wanaleta upunga tu’ ndo maana hata baadhi ya wamarekani na waingereza sasa wanakataa baadhi ya mitaala kufundishwa shuleni kwao

2. Uhamiaji haramu! Sifichi Kuna madhara mengi sana ambayo yanasababishwa na wahamiaji haramu! Hasa kutoka Latin America, AFRIKA na Uarabuni (hasa hawa Waarabu wanaamia Marekani eti wanashinikiza sharia law, si upuuzi kwanini wasiende huko Lebanon au Afghanistan ?) yaan haya maarabu uwa majinga sana sana yan ndo maana katoka suala namuunga mkono Xi Ji Ping na Putin ni kuyakatalia mbali Huku Urusi hakuna haya masuala ya sijui hapa msiuze nguruwe Mara sijui kufunga mitaa eti wanasali wakati wana misikiti na Majumba yao , pia upande wa wa AFRIKA wanaoishi Marekani ja Ulaya si wastaarabu hata kidogo nimeishi Miji mingi sisi waafrika tuna mambo ya ajabu mno, hatupendi kufuata utaratibu, mtu anataka apande treni bila ticket , mtu anataka alazimishe binti wa watu kumbaka, mtu anataka ale free , mtu anataka aibe kwenye duka, pia wanaiba sana simu na pochi kwenye metros ! Hatuna ustaarabu aisee

3. Sera za nje za Trump zinaifanya dunia kuwa na ahueni Kidogo, Kwakuwa yeye alishasema nchi za NATO kila moja achangie gharama za kujilinda kwa u sawa siyo mzigo wote inabaki kwa USA, na hii ina maana kubwa sana ! Jamaa si muhumin wa vita hata kidogo !

Ntaeleza zaidi nikiwa na muda

NISISAHAU KUGUSIA MWANAMKE KUONGOZO, TAIFA KUBWA KAKA MAREKANI KUONGOZWA NA MWANAMKE HAIWEZEKANI KABISA,
WANAWAKE ACHA TUONGOZWE SISI LAKIN TAIFA LINALOSHIKA HATAMU YA DUNIA UMPE MWANAMKE NI NGUMU KUNA MAMBO MENGI NYETI YANAYOTAKA UANAUME KATIKA KUYAAMUA

ANGALIA ASILIMIA KUBWA YA MATAIFA YALIYOONGOZWA NA WANAWAKE PAMOJA NA KUWA NI MACHACHE ILA YALIANGUKIA PUA BAADAE




Britanicca
 
P anaogopa kuwasema anakuambia familia wana uraia na yeye anayo Green card.
 
Sioni hoja hapa mwanangu zaidi ya kutaka kutujuza uko Marekani. Hata wangechagua mbwa au kuku sisi inatuhusu nini wakati hiyo ndiyo demokrasia na haki yao? Naona unapiga kelele zana ili mama akuone. Tafuta njia ya kisayansi badala ya uchawa uchwara mwanangu. Nyie 'wajanja' mliyemchagua Sa100
 
Sasa bwana paskali unacholalamika nini? Unaukumbuka ui wako w kuwa rais anaweza kumeteua yeyote yule. Sasa hiki kiherehere kwa wamarekani unakitoa wapi. Hakuna wiz wa kura. Yaani mwanamke kishindwa basi inakuwa nongwa? Mbona aTrump alipoteza dhidi ya Biden na hamkuona ubaguzi?

Kamala ameshindwa si kwa sababu ya ke yake.
 
Mkuuu P, hapa umepuyanga, Trump hakugombea baada ya kuona Democrats wamesimamisha mgombea mwamamke, kwanza utambue kuwa bi Harris hakuwa kwenye plan za kusimama kama mkombea wa urais, aliyekuwepo ni Biden na ndio aliyekuwa anatakiwa kuchuana na Trump, so bi Harris alipata hiyo nafasi kwa bahati tu,,,
Nawasilisha.
 
Ila hapa kuna kitu P hatuambii ukweli kuwa mfumo wa uchaguzi wa wenzetu sii kama wetu wa kihuni.Pia hajatuambia western media ni hopeless pengine za idi ya hopless za kwetu,na kuwa zote zilikuwa against Mr.Trumpet.Ila mwamba alikomaa nazo hivyo hivyo hata akaanzisha Trump media kama Truth social,pia kwa msaada wa rafiki yake billioner Elon Mask.Na kwa uhopeless huo nafikiri hata akina sahara media wameacha yale matangazo yao. Na wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…