Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Wabaguzi hao hao ndo waliomchagua mtoto wa Mkenya mara mbili?
Funny wakishinda, hakuna ubaguzi.
Wakishindwa, ni ubaguzi.
Funny wakishinda, hakuna ubaguzi.
Wakishindwa, ni ubaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Richard ,kwanza asante kwa kuchangia uzi wangu huu, pili asante kwa objectivity yako kwenye hili la kushindwa kwa Kamala, natamani chama cha the Democrat 2028 kije kimsimamishe Michelle Obama ndipo mtanielewa, naendelea kusisitiza hawa Warekani ni majitu majinga ajabu kutomchagua mwanamke, kitendo cha the biggest democracy kuwa wabaguzi kwa kumtosa mwanamke, Tanzania yukitumie kama fursa ya kujionyesha jinsi tulivyo na akili kuliko Wamarekani kwa kuchagua rais mwanamke come 2025Mkuu Paschal Kama ni kupigia kampeni sawa lakini uhalisia wake uchaguzi wa Matekani hauko kama ulivyouelezea.
Kuna mada niliweka siku chache nikichambua baadhi ya sababu kubwa za kushindwa kwa Kamala Harris kwenye uchaguzi.
Lakini ndani ya sababu hizo kuna sababu kubwa zaidi ndani yake khasa kwenye uchumi kuwa isoridhisha, mfumuko wa bei, bidhaa madukani kuwa na bei ya juu sana na suala la kijamii yaani nyumba za makazi kuwa na bei isoshikika.
Tatizo la chama cha Democrats likawa ni kushindwa kutafuta uvumbuzi wa matatizo hayo jambo lilopelekea wapiga kura kuwa na hasira na chama hicho. Kila wakihoji walikuwa wakiambulia matusi, kejeli na maneno ya kashfa.
Hata walipoamua kumuondoa Joe Biden na kumweka Kamala walikuwa wamechelewa ndio maana nguvu kubwa ya kuwatumia hata Barak Obama na mkewe Michelle, watu maarufu kama Beyonce na Oprah Winfrey.
Ndio maana mama Nancy Pelosi amesema kwamba wa kulaumiwa ni Joe Biden kwa kusuasua kujiondoa mapema
Hofman kakabidhiwa wahamiaji awasaidie.Dc ni jama mhamiaji pia ama mgeni.Kwani zipo siku chache Tom Hofman anaanza uratibu wa zoezi.Usiwalaumu Wamarekani utawala ulioangukia kisogo uliwaletea wamarekani mambo meusi sana,hata kama angesimama Trump kupitia chama kilichoangukia kisogo angebwagwa vile vile.Angalia mauaji ya kimbari kwa usimamizi wa utawala uliokataliwaangalia taifa la ukraine linalo karibia kufutika,yote ufadhili wa chama kilichoangukia pua na vibaraka wa marekani watu wa ulaya.Tazama Lebanon bado unataja Wamarekani wachague chana kilichowafikisha kote huko?Labda ingekuwa taifa la giza.Wanabodi,
Niko hapa jijini Washington DC, mji mkuu wa Marekani, pamoja na mambo mengine, nimepata fursa ya kuushuhudia uchaguzi wa Marekani, ambapo nchi ya Marekani inaitwa The Biggest Democracy kumaanisha ni demokrasia kubwa kwasababu ilipata uhuru wake Julai 4, mwaka 1776 lakini Wamarekani ni wabaguzi wa kichini chini, wanaendekeza mfumo dume, hawataki kutawaliwa na rais mwanamke!. Huu ni ubaguzi!. Pia wana ubaguzi wa rangi wa racism, ni ma racist fulani hivi, na wanawabagua fulani wahamiaji!.
Wagombea wakuu wa uchanguzi huu wa Marekani ni Kamala Harris wa chama cha Democrat ambaye ni makamo wa rais wa sasa, na Donald Trump wa chama cha Republican, ambaye aliwahi kuwa rais wa Marekani na akafanya vituko vingi.
Matokeo ni, pamoja na vituko vyake vyote, Wamarekani wamemchagua tena Donald Trump na kumtosa Kamala Harris.
Moja ya sababu za Wamarekani kumchagua tena Trump, licha ya vituko vyake, lakini pamoja na mambo mengine, Wamarekani wameamua kumchagua tena Trump, kwasababu ni mgombea mwanaume, kuliko kumchagua mgombea mwanamke!. Huu ni ubaguzi m-baya wa gender discrimination!.
Hivyo pamoja ni jina kubwa la nchi ya Marekani kuitwa demokrasia kubwa, lakini bado inakabiliwa na udhaifu mkubwa wa ubaguzi wa mfumo dume.
Mara ya kwanza kwa Donald Trimp kushinda urais, ni alishindana na mgombea mwanamke, Hilary Clinton, mke wa aliyekuwa rais wa Marekani, Bill Clinton.
Kwa vile hiyo ndio ilikuwa mara ya kwanza kwa mwanamke kugombea urais, Marekani, Trump alisema maneno fulani ya udhalilishaji jinsia ya kike, hivyo aliposhinda urais, Wamarekani walionyesha bado hawajawa tayari kutawaliwa na rais mwanamke.
Chama cha Democrat kilipoamua kumsimamisha tena mgombea mwanamke kwenye uchaguzi wa mwaka huu, na Donald Trump akaamua kugombea tena!, ikitegemewa safari hii, Wamarekani watamchagua rais wa kwanza mwanamke kwasababu Trump vituko vyake wanavijua.
Matokeo yalipotangazwa kwa Trimp kushinda kiukweli mimi ni miongoni mwa tuliopigwa butwaa, na kupata bumbuwazi na matokeo haya ya uchaguzi wa Marekani.
Nikajiuliza kuwa kunawezekana hawa Wamarekani nimewaona kama ni majitu majinga ya ajabu kwa kwa kumchagua tena rais mwanaume yule yule mwenye vituko vya ajabu na vituko vyake wanavijua na bado wakamchagua!.
Wamarekani wameamua, kuliko kumchagua rais mwanamke, wakaamua kumtosa mwanamke na kumchagua rais mwanaume kwasababu tuu ya kugubikwa na ubaguzi wa mfumo dume.
Japo ni demokrasia kumchagua mgombea yoyote kwa sababu yoyote au hata bila sababu yoyote, bali ni kumpenda tuu, lakini sio demokrasia ya kweli kutokumchagua mgombea fulani mwenye sifa zote, lakini hachaguliwi kutokana na jinsia yake!, huu ni ubaguzi!.
Matokeo haya ya uchaguzi wa Marekani, yanauhusiano na uchaguzi mkuu wetu wa mwaka 2025, hivyo natoa wito kwa sisi wa Tanzania, tuyapokee matokeo haya na kuyachukulia kama ni fursa kwa Tanzania kuifundisha dunia demokrasia ya kweli.
Kwa vile mwakani, 2025, Tanzania tunafanya uchaguzi mkuu wa rais na wabunge, na tayari kuna chama kimoja kimeisha tangaza nia kwa kauli na matendo ya utaratibu wake wa ndani wa mserereko, kitamsimamisha mgombea mwanamke.
Kwa vile Tanzania imepata rais mwanamke kwa kudra tuu za Mwenyezi Mungu, kufuatia lile tukio la Machi 17, 2021, lakini Watanzania walikuwa bado hawajawa tayari kuchagua rais mwanamke, hivyo uchaguzi wa 2025, macho ya dunia yatakuwa Tanzania.
Mnaonaje kama hiyo 2025, tuta ionyeshea Marekani na dunia kwa ujumla kuwa Tanzania ni wakomavu zaidi wa demokrasia, na tunaweza kufanya demokrasia ya kweli bila ya ubaguzi m-baya wa jinsia na kuutaa mfumo dume kwa Watanzania kuonyesha wanaweza kuchagua kiongozi wao bila kugubikwa na mfumo dume, na ubaguzi wa jinsia?
Hivyo Tanzania tuchangamkie fursa ya kuwa mwalimu wa demokrasia ya kweli kwa Wamarekani na dunia kwa kufanya maandalizi kamambe ya kuwaandaa Watanzania kuchagua rais mwanamke, na sababu za kuchaguliwa rais mwanamke, sio kuchaguliwa kwasababu ya gender yake, ya uanamke, bali awe amechaguliwa kwasababu ya uwezo wake wa urais na uongozi.
Sio vema kumchagua mtu hana uwezo, lakini tumchague tuu kwa kumhurumia kwa sababu ni mwanamke, lakini pia sio vema, kutokumchagua mtu ana sifa zote, na uwezo lakini kumbe ni mwanamke!
Tuyatumie matokeo ya uchaguzi wa Marekani kama shamba darasa la demokrasia ya kweli 2025
Paskali
Washington DC
Marekani.
Mimi ni US green card holder, wife and kids are American subjects。Hofman kakabidhiwa wahamiaji awasaidie.Dc ni jama mhamiaji pia ama mgeni.Kwani zipo siku chache Tom Hofman anaanza uratibu wa zoezi.
ExactlyWabaguzi hao hao ndo waliomchagua mtoto wa Mkenya mara mbili?
Funny wakishinda, hakuna ubaguzi.
Wakishindwa, ni ubaguzi.
P anaogopa kuwasema anakuambia familia wana uraia na yeye anayo Green card.Huu ulikuwa wakati sahihi wa Trump kuchaguliwa Tena kutokana na Sera zake
1. Hatutaki mambo ya kuhalalisha ushoga! Hapa wengi watanipinga Ila ukweli ni kwamba Obama na crue yake wame tu disappoint Sisi ma Baltazary ! Yaan mtu unapita ukurasa wa Obama unakuta kapost siku ya Mashoga duniani, mbaya zaidi hata Ikulu ambapo panatakiwa kuwa patakatifu unakuta Biden wake kaanika bendera ya mashoga siku ya mashoga duniani ! Mungu aliumba jinsia mbili ME na KE haya mengine akina Obama wanaleta upunga tu’ ndo maana hata baadhi ya wamarekani na waingereza sasa wanakataa baadhi ya mitaala kufundishwa shuleni kwao
2. Uhamiaji haramu! Sifichi Kuna madhara mengi sana ambayo yanasababishwa na wahamiaji haramu! Hasa kutoka Latin America, AFRIKA na Uarabuni (hasa hawa Waarabu wanaamia Marekani eti wanashinikiza sharia law, si upuuzi kwanini wasiende huko Lebanon au Afghanistan ?) yaan haya maarabu uwa majinga sana sana yan ndo maana katoka suala namuunga mkono Xi Ji Ping na Putin ni kuyakatalia mbali Huku Urusi hakuna haya masuala ya sijui hapa msiuze nguruwe Mara sijui kufunga mitaa eti wanasali wakati wana misikiti na Majumba yao , pia upande wa wa AFRIKA wanaoishi Marekani ja Ulaya si wastaarabu hata kidogo nimeishi Miji mingi sisi waafrika tuna mambo ya ajabu mno, hatupendi kufuata utaratibu, mtu anataka apande treni bila ticket , mtu anataka alazimishe binti wa watu kumbaka, mtu anataka ale free , mtu anataka aibe kwenye duka, pia wanaiba sana simu na pochi kwenye metros ! Hatuna ustaarabu aisee
3. Sera za nje za Trump zinaifanya dunia kuwa na ahueni Kidogo, Kwakuwa yeye alishasema nchi za NATO kila moja achangie gharama za kujilinda kwa u sawa siyo mzigo wote inabaki kwa USA, na hii ina maana kubwa sana ! Jamaa si muhumin wa vita hata kidogo !
Ntaeleza zaidi nikiwa na muda
NISISAHAU KUGUSIA MWANAMKE KUONGOZO, TAIFA KUBWA KAKA MAREKANI KUONGOZWA NA MWANAMKE HAIWEZEKANI KABISA,
WANAWAKE ACHA TUONGOZWE SISI LAKIN TAIFA LINALOSHIKA HATAMU YA DUNIA UMPE MWANAMKE NI NGUMU KUNA MAMBO MENGI NYETI YANAYOTAKA UANAUME KATIKA KUYAAMUA
ANGALIA ASILIMIA KUBWA YA MATAIFA YALIYOONGOZWA NA WANAWAKE PAMOJA NA KUWA NI MACHACHE ILA YALIANGUKIA PUA BAADAE
Britanicca
11 Mwanamke na ajifunze katika utulivu na unyenyekevu.Limelaaniwa Taifa linalompa mwanamke nafasi ya kuwa kiongozi wa juu kabisa.
Sasa bwana paskali unacholalamika nini? Unaukumbuka ui wako w kuwa rais anaweza kumeteua yeyote yule. Sasa hiki kiherehere kwa wamarekani unakitoa wapi. Hakuna wiz wa kura. Yaani mwanamke kishindwa basi inakuwa nongwa? Mbona aTrump alipoteza dhidi ya Biden na hamkuona ubaguzi?Wanabodi,
Niko hapa jijini Washington DC, mji mkuu wa Marekani, pamoja na mambo mengine, nimepata fursa ya kuushuhudia uchaguzi wa Marekani, ambapo nchi ya Marekani inaitwa The Biggest Democracy kumaanisha ni demokrasia kubwa kwasababu ilipata uhuru wake Julai 4, mwaka 1776 lakini Wamarekani ni wabaguzi wa kichini chini, wanaendekeza mfumo dume, hawataki kutawaliwa na rais mwanamke!. Huu ni ubaguzi!. Pia wana ubaguzi wa rangi wa racism, ni ma racist fulani hivi, na wanawabagua fulani wahamiaji!.
Wagombea wakuu wa uchanguzi huu wa Marekani ni Kamala Harris wa chama cha Democrat ambaye ni makamo wa rais wa sasa, na Donald Trump wa chama cha Republican, ambaye aliwahi kuwa rais wa Marekani na akafanya vituko vingi.
Matokeo ni, pamoja na vituko vyake vyote, Wamarekani wamemchagua tena Donald Trump na kumtosa Kamala Harris.
Moja ya sababu za Wamarekani kumchagua tena Trump, licha ya vituko vyake, lakini pamoja na mambo mengine, Wamarekani wameamua kumchagua tena Trump, kwasababu ni mgombea mwanaume, kuliko kumchagua mgombea mwanamke!. Huu ni ubaguzi m-baya wa gender discrimination!.
Hivyo pamoja ni jina kubwa la nchi ya Marekani kuitwa demokrasia kubwa, lakini bado inakabiliwa na udhaifu mkubwa wa ubaguzi wa mfumo dume.
Mara ya kwanza kwa Donald Trimp kushinda urais, ni alishindana na mgombea mwanamke, Hilary Clinton, mke wa aliyekuwa rais wa Marekani, Bill Clinton.
Kwa vile hiyo ndio ilikuwa mara ya kwanza kwa mwanamke kugombea urais, Marekani, Trump alisema maneno fulani ya udhalilishaji jinsia ya kike, hivyo aliposhinda urais, Wamarekani walionyesha bado hawajawa tayari kutawaliwa na rais mwanamke.
Chama cha Democrat kilipoamua kumsimamisha tena mgombea mwanamke kwenye uchaguzi wa mwaka huu, na Donald Trump akaamua kugombea tena!, ikitegemewa safari hii, Wamarekani watamchagua rais wa kwanza mwanamke kwasababu Trump vituko vyake wanavijua.
Matokeo yalipotangazwa kwa Trimp kushinda kiukweli mimi ni miongoni mwa tuliopigwa butwaa, na kupata bumbuwazi na matokeo haya ya uchaguzi wa Marekani.
Nikajiuliza kuwa kunawezekana hawa Wamarekani nimewaona kama ni majitu majinga ya ajabu kwa kwa kumchagua tena rais mwanaume yule yule mwenye vituko vya ajabu na vituko vyake wanavijua na bado wakamchagua!.
Wamarekani wameamua, kuliko kumchagua rais mwanamke, wakaamua kumtosa mwanamke na kumchagua rais mwanaume kwasababu tuu ya kugubikwa na ubaguzi wa mfumo dume.
Japo ni demokrasia kumchagua mgombea yoyote kwa sababu yoyote au hata bila sababu yoyote, bali ni kumpenda tuu, lakini sio demokrasia ya kweli kutokumchagua mgombea fulani mwenye sifa zote, lakini hachaguliwi kutokana na jinsia yake!, huu ni ubaguzi!.
Matokeo haya ya uchaguzi wa Marekani, yanauhusiano na uchaguzi mkuu wetu wa mwaka 2025, hivyo natoa wito kwa sisi wa Tanzania, tuyapokee matokeo haya na kuyachukulia kama ni fursa kwa Tanzania kuifundisha dunia demokrasia ya kweli.
Kwa vile mwakani, 2025, Tanzania tunafanya uchaguzi mkuu wa rais na wabunge, na tayari kuna chama kimoja kimeisha tangaza nia kwa kauli na matendo ya utaratibu wake wa ndani wa mserereko, kitamsimamisha mgombea mwanamke.
Kwa vile Tanzania imepata rais mwanamke kwa kudra tuu za Mwenyezi Mungu, kufuatia lile tukio la Machi 17, 2021, lakini Watanzania walikuwa bado hawajawa tayari kuchagua rais mwanamke, hivyo uchaguzi wa 2025, macho ya dunia yatakuwa Tanzania.
Mnaonaje kama hiyo 2025, tuta ionyeshea Marekani na dunia kwa ujumla kuwa Tanzania ni wakomavu zaidi wa demokrasia, na tunaweza kufanya demokrasia ya kweli bila ya ubaguzi m-baya wa jinsia na kuutaa mfumo dume kwa Watanzania kuonyesha wanaweza kuchagua kiongozi wao bila kugubikwa na mfumo dume, na ubaguzi wa jinsia?
Hivyo Tanzania tuchangamkie fursa ya kuwa mwalimu wa demokrasia ya kweli kwa Wamarekani na dunia kwa kufanya maandalizi kamambe ya kuwaandaa Watanzania kuchagua rais mwanamke, na sababu za kuchaguliwa rais mwanamke, sio kuchaguliwa kwasababu ya gender yake, ya uanamke, bali awe amechaguliwa kwasababu ya uwezo wake wa urais na uongozi.
Sio vema kumchagua mtu hana uwezo, lakini tumchague tuu kwa kumhurumia kwa sababu ni mwanamke, lakini pia sio vema, kutokumchagua mtu ana sifa zote, na uwezo lakini kumbe ni mwanamke!
Tuyatumie matokeo ya uchaguzi wa Marekani kama shamba darasa la demokrasia ya kweli 2025
Paskali
Washington DC
Marekani.
Ila hapa kuna kitu P hatuambii ukweli kuwa mfumo wa uchaguzi wa wenzetu sii kama wetu wa kihuni.Pia hajatuambia western media ni hopeless pengine za idi ya hopless za kwetu,na kuwa zote zilikuwa against Mr.Trumpet.Ila mwamba alikomaa nazo hivyo hivyo hata akaanzisha Trump media kama Truth social,pia kwa msaada wa rafiki yake billioner Elon Mask.Na kwa uhopeless huo nafikiri hata akina sahara media wameacha yale matangazo yao. Na wengine.Sioni hoja hapa mwanangu zaidi ya kutaka kutujuza uko Marekani. Hata wangechagua mbwa au kuku sisi inatuhusu nini wakati hiyo ndiyo demokrasia na haki yao? Naona unapiga kelele zana ili mama akuone. Tafuta njia ya kisayansi badala ya uchawa uchwara mwanangu. Nyie 'wajanja' mliyemchagua Sa100
Kumbe?.... ndio Ccm wamekataa kukupa ubunge wowote ule.Mimi ni US green card holder, wife and kids are American subjects。
p
You nailed it.11 Mwanamke na ajifunze katika utulivu na unyenyekevu.
12 Simruhusu mwanamke ye yote kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya wanaume. Mwanamke anapaswa kukaa kimya."
-- Timotheo 2:11-12