politics observer
JF-Expert Member
- Jun 18, 2024
- 385
- 299
Ndio, lile n taifa la vibopa bwana.
Sio wazee wa tshirt na vitenge mixer kubebwa kwny vichanja kwenda kuunga mkono juhudi.
Yani USA Mchakato wa raisi huamuliwa na vibopa 538 tuu, na bunge la congress ambao n vibopa wenzao ndo umuidhinisha rais mteule.
Hii imewekwa ili kulinda maslai y mgombea ambae atatumia visent vyake kuwanunulia vijora wale wazee wa kuunga mkono juhudi, hahahah ipo hivii…..
Madigala 538 ndo uamua nani atakuwa rais
Hii inamaana kura za wananchi (popular vote) pekeyao haziamui nani atakuwa rais wa marekani bali (elector college vote) kula za wajumbe 538 kutoka majimbo yote ya marekani ndo huamua…
Rejea uchaguzi wa 2016 hirrary alimbwaga Trump kwny kura za walala hoi ( popular vote) bt kura za wajumbe au wawakilish wa majimbo (elector vote) walimpa trump so trump akawa rais…
Kwa maana hiyo, kibibi kizee cha torino hata kama atapata kula zote za walala hoi, bado Vibopa 358 ndo wataamua nani atakua rais.
Kivumbi leoooo……
Kula chuma hicho…