Je, wajua wananchi wa Marekani hawaamui matokeo ya Rais wa Marekani?

Brother usinifanya nikaonekana nipo against my mother lovely Country….

Cz even my ruling party wanatumia ushawish mkubwa wa sera na hoja ku win mioyo ya wapiga kura…..

Vitenge, kofia, vijola, zoa zoa, kugawa mapikipiki hizi pilika pilika huwa naziona sn kwny vyama vya upinzani huko kwetu
Hapana ndugu mwananchi,
mbona hoja yako iko short and clear sana na wala haina mawaa.

Infact,
ni darasa and shule muhimu sana ya kuongeza ufahamu na uelewa wa wengi juu ya namna Rais wa marikani anavyopatikani 🐒
 
Punguza ukali wa maneno kaka, japo u have strong point to be bold here…

Ila yule kiranja wa macongress y dunia alipiga boko hatari…. (Hahaha)

Self esteem ilikuwa sakafuni kabisa, ni bora angekula buyu tuu….

Ni kama alitumia nguvu kubwa sn kuomba aheshimiwe, na achukuliwe kwny mzani wake… na vile hapendi challenge ndo balaah… labda alizani bunge lile ni km hili la akina kiemba (hahaha)
She was demanding respect, that is bad gesture as a leader, a leader cannot demand respect , a leader is honored and earned. Narudia tena, a woman was never made to lead , na ndio maana tupo kwenye bad situation kwnye historia ya nchi.

Face of goat anatumia nguvu to lead , it is a sign of low self esteem and inferiority complex HAFAI

U S walishakataa kuongozwa na mwanamke na wataendelea kukataa

Anaetegemea Kamala anashinda , must have reasoning issues

As for TZ , being under woman leadership , presidential and parliament it is because we lost our eagle sight na tulikuwa tunachukulia poa sana cheo cha makamu wa Rais, if we ever respected it , we would not lose our sight

Today everyone is crying and regret deep down inclusing fisiemu
 
Ndio, lile n taifa la vibopa bwana.

Sio wazee wa tshirt na vitenge mixer kubebwa kwny vichanja kwenda kuunga mkono juhudi.

Yani USA Mchakato wa raisi huamuliwa na vibopa 538 tuu, na bunge la congress ambao n vibopa wenzao ndo umuidhinisha rais mteule.

Hii imewekwa ili kulinda maslai y mgombea ambae atatumia visent vyake kuwanunulia vijora wale wazee wa kuunga mkono juhudi, hahahah ipo hivii.

Madigala 538 ndo uamua nani atakuwa rais

Hii inamaana kura za wananchi (popular vote) pekeyao haziamui nani atakuwa rais wa marekani bali (elector college vote) kula za wajumbe 538 kutoka majimbo yote ya marekani ndo huamua…

Rejea uchaguzi wa 2016 hirrary alimbwaga Trump kwny kura za walala hoi ( popular vote) bt kura za wajumbe au wawakilish wa majimbo (elector vote) walimpa trump so trump akawa rais…

Kwa maana hiyo, kibibi kizee cha torino hata kama atapata kula zote za walala hoi, bado Vibopa 358 ndo wataamua nani atakua rais.

Kuvumbi leoooo……

Kura chuma hicho…

View attachment 3144210
Nadhani kuna point unamiss mkuu..Ni kweli wanao amua hatma ya urais ni hao electrol college voters ... Ila unachotakiwa kujiuliza ni kuwa hao electrol college voters wanapatikanaje? In the end ni suala tu la uwakilishi lakini kura zimetoka kwa wananchi...
 
Iko vile bandugu !
 
Acha wehu, tanzania hakuna uchaguzi, hata wapinzani wanaojipeleka kugombea ni njaa tu zinawapeleka kule huku wakijua wazi kabisa kuwa wao kuambulia hata kiti cha udiwani ni fadhila za ccm tu, otherwise ccm wanaweza kuamua tu kumtangaza mgombea wao, hata kama hakupata kura mbili.
sasa huoni kwamba hao wanaoshiriki uchaguzi Tanzania na wamekupuuza wewe na wenye mihemko wenzako.

wamekuacha na shibe zako kama umeshiba madharau, kwasabb wameona ni mateso kuambatana na walalamishi wasio na maoni.

Actually,
CCM itaendelea kuongeza Tanzania bila mbambamba yoyote whether you like or not.
uwe na mihemko au vinginevyo 🐒
 
Nadhani kuna point unamiss mkuu..Ni kweli wanao amua hatma ya urais ni hao electrol college voters ... Ila unachotakiwa kujiuliza ni kuwa hao electrol college voters wanapatikanaje? In the end ni suala tu la uwakilishi lakini kura zimetoka kwa wananchi...
Kula zingetoka kwa wananchi hillary angeshinda, cz alimpita trump majority vote ya kura zaid y million 4…..

But wajuba 538 wakampa trump and case was closed….
 
She was demanding respect, that is bad gesture as a leader, a leader cannot demand respect , a leader is honored and earned. Narudia tena, a woman was never made to lead , na ndio maana tupo kwenye bad situation kwnye historia ya nchi.

Face of goat anatumia nguvu to lead , it is a sign of low self esteem and inferiority complex HAFAI

U S walishakataa kuongozwa na mwanamke na wataendelea kukataa

Anaetegemea Kamala anashinda , must have reasoning issues

As for TZ , being under woman leadership , presidential and parliament it is because we lost our eagle sight na tulikuwa tunachukulia poa sana cheo cha makamu wa Rais, if we ever respected it , we would not lose our sight

Today everyone is crying and regret deep down inclusing fisiemu
Including themselves ???!!
If true then that’s why i support her 💯 %
😅😂👍
 
Kila jimbo lina idadi fulani ya kura za wajumbe ambao huitwa electoral college votes. Ukishinda kura za wapiga kura wote (popular votes) katika jimbo fulani, unachukua kura zote za wajumbe (electoral college votes), ambazo jumla ziko 538 katika majimbo yote.

Tukumbuke kuwa kuna majimbo ambayo yana watu wengi sana, mathalani California. Waliiweka hii ili asiwepo mgombea anayeweza kupata kura nyingi (popular votes) za majimbo machache na akawa rais.

Electoral college votes zinakulazimisha ufanye kampeni majimbo mengi ili ukubalike na majimbo mengi au ukubalike sehemu kubwa kitaifa.
 
Na hapo ndo tunarudi pale pale kwny hoja kuwa majority voters au popular voters hawaamui mrith wa kiti cha rais bali elector college voters (wawakilish wa majimbo husika)…

Hii ingekuja tz usingekuta mgombea chee anapata kula 99% cz kila chama kina base yake kwny baadhi y mikoa…
 
Hapana ndugu mwananchi,
mbona hoja yako iko short and clear sana na wala haina mawaa.

Infact,
ni darasa and shule muhimu sana ya kuongeza ufahamu na uelewa wa wengi juu ya namna Rais wa marikani anavyopatikani 🐒
Kweli kaka shukrani sn kwa kuniunga mkono mwananchi mm mnyonge ninae ishi chini ya dola moja kwa siku…
 
Kula zingetoka kwa wananchi hillary angeshinda, cz alimpita trump majority vote ya kura zaid y million 4…..

But wajuba 538 wakampa trump and case was closed….
Hapana sio hivyo mkuu ... sema tu siko kwenye nafasi nzuri ya kukupa somo ... It is all about uwakilishi
 
Ila hawa ni wazee wa mwaka 1772 kweli wakati taifa la marekani linazaliwa ama ni wa baadae ? maana nawaza hawa wahenga walikuwa na akili kubwa kiasi hicho zama hizo?
Kila jimbo lina idadi fulani ya kura za wajumbe ambao huitwa electoral college votes. Ukishinda kura za wapiga kura wote (popular votes) katika jimbo fulani, unachukua kura zote za wajumbe (electoral college votes), ambazo jumla ziko 538 katika majimbo yote.

Tukumbuke kuwa kuna majimbo ambayo yana watu wengi sana, mathalani California. Waliiweka hii ili asiwepo mgombea anayeweza kupata kura nyingi (popular votes) za majimbo machache na akawa rais.

Electoral college votes zinakulazimisha ufanye kampeni majimbo mengi ili ukubalike na majimbo mengi au ukubalike sehemu kubwa kitaifa.
 
Ila hawa ni wazee wa mwaka 1772 kweli wakati taifa la marekani linazaliwa ama ni wa baadae ? maana nawaza hawa wahenga walikuwa na akili kubwa kiasi hicho zama hizo?
Kaka hawa jamaaa waliwaza mbali sn… lakini pia kumbuka ammendment zipo (kunamaboresho ya sera na miongozo inayosimamia chaguzi), zen bunge linavote rais anadondoka sign bac inakuwa sheria rasmi
 
Acha uongo. Electoral college ni majimbo aliyoshinda mgombea sio watu wanaopiga kura.
 
Kula zingetoka kwa wananchi hillary angeshinda, cz alimpita trump majority vote ya kura zaid y million 4…..

But wajuba 538 wakampa trump and case was closed….

Unakisea sio wajuba. Kila Jimbo Lina Idadi ya kura unaposhinda. Hovyo wajumbe wa kila Jimbo watakutana kudhibitisha hizo kura za kila Jimbo kwa Idadi.
 
Wao wajumbe ndo wajuba ss ndugu yangu, wala haupo mbali sn na mm…. Ukubwa wa jimbo ndo unaamua wingi wa uwakilish as (elector college voters) collect me if am wrong
 
Back
Top Bottom