..Marekani ni nchi inayoundwa na Majimbo 50.
..Kuyataja kwa uchache ni New York, Texas, New Hampshire, Delaware, Alaska, Florida, North Dakota, South Dakota, n.k.
..Kati ya hayo majimbo yako majimbo makubwa sana, ya size ya kati, na mengine madogo. Hapa nazungumzia kieneo, idadi ya watu, rasilimali, n.k.
..Sasa ili kuyaweka majimbo yote katika muungano, na kuhakikisha umoja wa kitaifa, Marekani walitengeneza mfumo wa mahsusi wa uchaguzi unaotumia kitu kinaitwa ELECTORAL VOTES, badala kura moja mtu mmoja.
..Electoral votes ni kwamba kila jimbo nimepewa UZITO fulani / Electoral votes ktk maamuzi ya kumpata Raisi wa Marekani.
..Texas wana uzito / electoral college votes 40, California 54, Colorado 10, North Dakota 3, Minnesota 10, Missouri 10, Florida 30,...
..Jumla ya Electoral College Votes kwa Marekani nzima ni 538. Nusu ya idadi hiyo ni 269.
..Sasa kwasababu kuna vyama viwili vikubwa, Republican, na Democrat, basi mashindani ni mgombea Uraisi kupata zaidi ya nusu ambayo ni 269 + 1 = 270.
..Kwa hiyo mgombea akipata Electoral College votes 270 au zaidi vyombo vya habari humtangaza mshindi hapo hapo.
..Kwa hiyo ktk uchaguzi wa Marekani wagombea hupambana kushinda kura za majimbo ili atakayeshinda mchanganyika wa majimbo yenye kura nyingi atangazwe mshindi.
..Kwa hiyo kila mpigakura anakwenda ktk uchaguzi kuhakikisha mgombea anayetaka anashinda ktk jimbo lake.
..Baada ya hapo kila jimbo litatangaza mshindi ktk jimbo husika. Zoezi litakalofuatia ni kujua mgombea yupi ana Electoral College votes nyingi kumshinda mwenzake.
..Hao mtoa mada anaowaita mabwanyenye ni waidhinishaji tu wa nini kimetokea ktk majimbo husika. Hawana uwezo wa kutamka kitu tofauti na walichoamua wananchi.