Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Sahihi kabisaYaah upo sahihi kabisa bro, hii ECV itumike pia kwny nchi zen maeneo makubwa ya kiutawala hasa yale ya kikanda, let say nigeria, congo, south africa hata huku kwetu tz….
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisaYaah upo sahihi kabisa bro, hii ECV itumike pia kwny nchi zen maeneo makubwa ya kiutawala hasa yale ya kikanda, let say nigeria, congo, south africa hata huku kwetu tz….
Unapwenti mkuu je wewe ungegombea na Kamara ungeshinda kwa kigezo kuwa wewe Ni mwanaume 😂 Kamara anaweza kuzidiwa na Tramp lakini wewe huwezi kumzidi ,, hata wewe ukigombea na Rais Samia humzidi.USA sio mafala kumpa kamala nchi, women were never made to lead, they lead only when man losses his sight
U. S Haitoweza kuongozwa na mwanamke. Tunaona kinachotokea TZ ni upuuz and nchi imepoteza heshima kama taifa.
Mwaname ni mwanamme no matter what , hata yule mama mwenye face of goat pale bungeni ni ana low self esteem and inferiory ndio maana anaiikukutumua sana
Kamala hawezi kushinda, atafeli Just as hillary did,
Usitumie fursa ya mawazo huru kupotosha watu. Uhuru wa kutoa maoni usikupe fursa ya kuandika uongo.Wewe mmarekani au?
Hao moderator wako wanahusiana nn mawazo huru ya watu?
Bro acha kujikweza sn, stay on ur thread if u gat nothing gently to contribute, hii jamii forum sio ya babaako
NI LAZIMA ASHINDE. Harris OUTTatizo Trump ni hatari zaidi kwa US na Dunia nzima.
Dingi kanasa kwenye mtego wa Urusi!