Abdalla mpemba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 657
- 908
Kweli hata watu wa bara mpaka leo tarifa ya habari ktk tv wanatizama kwa pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana wanatufungulia vizibo Bar na kutuuzia kwa buku mbiliBasi hivo ndivo ilivo.
Wazaliwa wa mikoa ya pwani kihistoria wanawachukulia watu wa bara kama watu washamba tu walioukuta ustaarabu Pwani.
Kwa mfano ustaarabu wa mapishi, usafi hasa kuoga yaani hadi kuingia chooni na maji wabara inasemekana walikua hawajui maana walitumia udongo na magunzi kujitawazia.
Sasa basi mzaramo au mkwere ukijitambulisha umetoka chato au umetoka lamadi au umetoka mpitimbi akilini mwake anakuchukulia mshamba tu hata uwe umemzidi kila kitu lakini mentality yake inamweleza wewe ni mshamba.
Lakini pia watu wengi walitoka bara kwenda maeneo ya pwani kutafuta maisha kiufupi maeneo ya pwani yalianza kua miji kabla ya maeneo mengi ya bara.
Ndio maana huwezi mweleza kitu Ramadhan Dau, Sykes, JK, Mohamed Said, Rupia, hawa na wengine wengi kwanza wanafahamiana kabisa ndio maana kuna vitu ukifanya wanakuita mshamba au limbukeni.
Nadhani mlimsikia Nape akisema Boss wake mshamba au mliona polepole kujisifia v8 aliitwa mshamba, hilo kuanzia leo mlichukue.
Watu wanapenda mnanda, mchiriku watu wanapenda wacheze vanga na wanywe mnazi na huo ndio utamaduni wao.
Ndio maana hata watoto wa manzese hawachelewi kumwita vunjabei mshamba yaani pisi wanayokula watu kwa chips yeye anatumia mabilioni kuipata hapo ndio kizaazaa huanzia.
Maendeleo yalianzia Pwani pia. Kwako wewe maendeleo ni nini?Comment ya Kwanza na ya pili imebeba dharau ya Hali yaa juu sn😅..watu mnaoishi sehemu za joto kwenye maji ya chumvi mna dharau sn Ila mnachojua ni kuvaa misuli na kucheza bao la kete kwenye vijiwe vya kahawa huku maendeleo mkipishana nayo
Hapo kwenu ni issue za Kodi kuwa chini, ndio maana vitu ni bei Chee na sio sababu nyingine, ni kisiwa piaNdio maana wakija zanzibar wanauziwa tv laki tano wanaona wamepata bei rahisi wakati sisi wazawa tunanunua laki mbili tu
Tajiri zaidi alikuwa Rupia ambaye ni ngosha wa Shinyanga
- alikuwa Don, hata huelewi Historia, kipindi hicho TANU ilikuwa na wajumbe wote waislamu mostly wa Pwani, wakamchukua Mwalimu
- Nani kakwambia hao wazee ni wavivu? Uongoo, Kama unamjua Kuna Mzee wa Pwani anaitwa DOSSA Azizi huyu alikuwa tajiri Sana, alimiliki Hadi gari/ magari ya kifahari.
- Nyerere aliingia kwenye TANU huku akikuta Watu wa Pwani washaanzisha Chama kimeshasimama
Wewe usijitoe ufahamu. TAA hakikuwa chama cha kupigania uburu. Ilikuwa ni chama cha starehe tu. Alipoingia mbara toka kanda kuu ya ziwa akakibadilisha kuwa TANU na kuwa chama cha siasa hasa.
- Inaonekana humjui kinjekitile ngwale, basi kinjekitile ni WA bara si ndio kayumba?
- Kinjekitile alikuwa ni Mmatumbi wa Kilwa Kama hujui, Rudi shuleni kayumba ukapate Elimu
- Sio kweli kwamba Nyerere alikuja kufundisha kupigania Uhuru Watu wa Pwani ni Uongo, Nyerere anaingia Ndani ya TANU/TAA akikuta misingi ishawekwa na kina Abdulwahid Sykes, Kleist Sykes,Sheikh takadiri,Mshume kiate,Dosaa azizi, nk, Nyerere aliingia Ndani ya TANU/ TAA miaka ya 1954 hivi miaka michache nchi ikapata Uhuru
- hivi unajua kwamba Nyerere alishindwa kwenye uchaguzi Ndani ya TANU? busara ikatumika kumpa uenyekiti.
- Watu wamejenga AA, TAA Tangu miaka ya 1920s huko
Kwanza hao kina Sykes siyo wazaramo bali ni wakimbizi toka South Africa- Uongo kina Kleist Sykes na Abdulwahid Sykes wote hao English wanaijua vizuri Sana
Wewe toa uongo wako hapa hakuna msukuma anayedharaurika kwao. Uwe na adabu kwa kabila kuuHuu Uzi haupo sawa kabisa.
Sifa zote za wasukuma walizonazo mjini ukifika kwao huku wanaonekana si chochote si lolote na ni wavivu.
Maeneo kama shinyanga mpaka kwa wanyantuzu huku Dutwa, Lalago mpaka Itilima
Nimeenda mbeya Nako hivyo hivyo kwa wenyeji wa Mbeya mjini ambao ni Wasafwa.
Hata Tabora kwa wanyamwezi,
Kigoma kwa Waha na
ndugu zao wamanyema
Wafipa kule sumbawanga
Wapimbwe kule mpanda
Hadi wameru kule Arusha.
Hivyo ni kawaida kwa wenyeji kudharaulika
Kwa sababu wageni huja na mitaji, fursa kupata kazi pamoja na connection.
Yaani ukifika mjini bariadi mkoa wa simiyu hakuna anayedharaulika kushinda msukuma, Tena anayedharaulika zaidi ni msukuma kutoka Shinyanga na huko Geita.
Ila Mnyantuzu akigundua wewe ni mswahili utaona shobo zake.
Ninyi ni watwana Toka kale mpaka Sasa, acha kebehi ndugu.Watu wa Pwani ni watumwa wa watu wa Bara. Sisi ndio miamba ya ya Pwani yote kwa sasa.
Yaani Mimi niseme uongo ili nipate nini?Wewe toa uongo wako hapa hakuna msukuma anayedharaurika kwao. Uwe na adabu kwa kabila kuu
leta ushahidi wa ulisemalo tena sio picha za kuchorwa bali ni picha halisi hlf tuone mwarabu na mzungu nani alifanya hiyo biasharaTaja huo ustaarabu.
Tunavyojua waarabu ndio walianza kuuza waafrika kama nyanya ntole kwenye masoko, walileta ustaarabu wa kuwafanya wanawake waonekane duni mbele ya mwanaume.
Ngoja waje utawapisha humu jukwaani🏃Wapwani ndo akina AMINA , ZULFA , MUHAMMAD, nk
Kama ndo hao mbona ni washamba tu....
1.wanapenda kula kinoma anii
2.wanapenda ngono kinoma
3.wanapenda kulewa hadi so poa
4. Ni maboya tu
5.ni maboya tu
6. Mafala tu
7. Jinga jinga tu
Kwanza hao kina Sykes siyo wazaramo bali ni wakimbizi toka South Africa
Wewe usijitoe ufahamu. TAA hakikuwa chama cha kupigania uburu. Ilikuwa ni chama cha starehe tu. Alipoingia mbara toka kanda kuu ya ziwa akakibadilisha kuwa TANU na kuwa chama cha siasa hasa.