Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Tajiri zaidi alikuwa Rupia ambaye ni ngosha wa Shinyanga
  • ww hujui historia kumbe, Enzi hizo za kupigania Uhuru, DOSSA Azizi alikuwa anaitwa 'The BANK' Jiulize kwa nini walimuita Hilo Jina 'BANK'
  • Maalim Mzee Mohammed Said njoo ufundishe vijana Historia hawaijui @
 
Tayari hukoo
Screenshot_20220603-082348.jpg
 
Yaani Mimi niseme uongo ili nipate nini?

Nipo huku Kanda ya ziwa najionea?

Kwanza wasukuma si wamoja, wanabaguana wenyewe kwa wenyewe

Yaani Mnyeng'weli wa mwanza anambagua Msukuma wa Maswa Ng'wananzegela.

Mnyantuzu wa bariadi, Itilima, ikungulyabashashi, Lugulu,Gambosi, Lalago mpaka hapo Nyaumata hapendani hata kidogo na msukuma wa Shinyanga.

Wale wa Shinyanga wanawabagua wa Geita

Kule Geita hawawapendi hata kidogo wanaotoka chato,

Unabisha nini Sasa?

Kama ninyi mlivyolowea huko pwani, nasi tukija huku mnatupa ufalme
Hakuna unachokijua ! Unabahatisha tu. Tangu lini Lalago wakaishi wanyantuzu. Kajifunze upya we bado sana.
 
Halafu huku watu wanaoongea kiswahili Cha kutoka Kanda ya Mashariki hasa pwani na Dar es salaam wanafikiria wote ni wasomi. Bisha na hili?

Halafu wanadhani wote ni Wazaramo kumbe Kuna wandengereko, Wanyagwata, Wanyangalio, Wakwere na Wajaja

Bila kusahau ndugu zetu Wasegeju, wabondei, wadigo, wamatumbi,na wangindo
Hivyo vikabila vidogo vidogo tunavidharau sana sisi wasukuma tunaona ni goi goi tu hawana mbele wala nyuma
 
  • Sasa unaongea Nini?
  • Ukiambiwa utaje Chimbuko la TANU utaacha kuitaja TAA na AAh?
  • Nyerere alikuja kwenye TANU wakati Mambo yashawekwa sawa na kina Sheikh takadiri, Sykes,
  • Hivi unajua kuwa Dosaa Azizi ndiye alikuwa tajiri wa kipindi hicho alifadhili harakati za kupigania Uhuru Kwa Pesa yake?
Tajiri alikuwa msukuma John Rupia hao wengine walikuwa waganga njaa tu
 
Wote wanadharauluiana.

Watu wa bara wanaona watu wa pwani kuwa ni wapenda starehe, uswahili , wavivu wa kutupa n.k.

Ndio maana wamekuja pwani wamewakuta wao na ujanja wao wakatajirika na kuwaajiri hao hao watu wa Pwani ila nadra sana ukute mzaramo ni tajiri halafu yuko Mbeya au Simiyu
 
Hakuna unachokijua ! Unabahatisha tu. Tangu lini Lalago wakaishi wanyantuzu. Kajifunze upya we bado sana.
Wacha ncheke mie[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Hapa Lalago ambapo Kuna njia panda ya kwenda kwimba na meatu kama unatokea maswa kwenye hili rough road.

Kuna masalia ya waarabu na mji uliotapakaa umasikini kweli kweli

Kuna magofu tu kila sehemu na nyumba za kizamani

Unaanza kuwakana ndugu zako

Kwanza hizi ng'ombe ni za kinyarwanda?

Watu tunatembea ndugu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]🥲
 
kitu pekee anachoweza jivunia Msukuma ni ng'ombe na Uchawi.

Maana wilaya ndogo ya meatu mkoa wa Simiyu Ina waganga 4000 waliosajiriwa na serikari.

Usisahau wilaya ya Bariadi ndio Ina kile Kijiji maarufu Cha Gambosi ila waswahili wanaita Gamboshi.

Je wasiosajiriwa ni wangapi?

Kuna wachawi wangapi?

Ukija huku utagundua hawa watu Bado hawajaendelea na jamii zao ni za kijima.

Huyo mmoja mmoja aliyefanikiwa haionyeshi hali halisi ya huku.
 
waliojenga na wenye maisha mazuri kwa asilimia kubwa Pwani ni watu kutoka Bara. Pwani ni wapuuzii sana
 
Basi hivo ndivo ilivo.

Wazaliwa wa mikoa ya pwani kihistoria wanawachukulia watu wa bara kama watu washamba tu walioukuta ustaarabu Pwani.

Kwa mfano ustaarabu wa mapishi, usafi hasa kuoga yaani hadi kuingia chooni na maji wabara inasemekana walikua hawajui maana walitumia udongo na magunzi kujitawazia.

Sasa basi mzaramo au mkwere ukijitambulisha umetoka chato au umetoka lamadi au umetoka mpitimbi akilini mwake anakuchukulia mshamba tu hata uwe umemzidi kila kitu lakini mentality yake inamweleza wewe ni mshamba.

Lakini pia watu wengi walitoka bara kwenda maeneo ya pwani kutafuta maisha kiufupi maeneo ya pwani yalianza kua miji kabla ya maeneo mengi ya bara.

Ndio maana huwezi mweleza kitu Ramadhan Dau, Sykes, JK, Mohamed Said, Rupia, hawa na wengine wengi kwanza wanafahamiana kabisa ndio maana kuna vitu ukifanya wanakuita mshamba au limbukeni.

Nadhani mlimsikia Nape akisema Boss wake mshamba au mliona polepole kujisifia v8 aliitwa mshamba, hilo kuanzia leo mlichukue.
Watu wanapenda mnanda, mchiriku watu wanapenda wacheze vanga na wanywe mnazi na huo ndio utamaduni wao.

Ndio maana hata watoto wa manzese hawachelewi kumwita vunjabei mshamba yaani pisi wanayokula watu kwa chips yeye anatumia mabilioni kuipata hapo ndio kizaazaa huanzia.
Akili za punguani hizo! Eti huyu ni wa pwani huyu ni wa bara, ustaarabu wao basi pale Kariakoo na nyumba zao za kuezeka kwa makuti enzi hizo mbona walishindwa kwenda na mabadiliko na wengi wao kusogezwa pembezoni huko.
 
waliojenga na wenye maisha mazuri kwa asilimia kubwa Pwani ni watu kutoka Bara. Pwani ni wapuuzii sana
Kwa hiyo Wasafwa pale Mbeya mjini, Mbeya vijijini ni wapuuzi maana waliojenga pale ni wageni na sio kabila mwenyeji?

Elewa wageni huenda sehemu na mitaji, fursa ya kazi, Biashara pamoja na connection.

Hawa wapo Bara, tatizo ni nini? Mji wao uendelezwe na wageni?
 
Back
Top Bottom