Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Huu ni ukweli maeneo ambayo waarabu walikaa ustaarabu uliingia mapema Sana tofauti na maeneo Kama shinyanga
Sema ushoga ustaarabu gani??!!!mishoga kibao ipo pwani, na kama hujui wewe dar imejengwa na watu kutoka mikoani kama hujui tafuta hotel kubwa zote uliza wametokea wapi??!mbona tanga , lindi na pwani umasikini wa kumwaga kuliko bara ingia mbeya, arusha, mwanza, nk uone maendeleo kiazi wewe tena kote huko utaona waislam wengi masikini sana tembea uone wewe mfano iringa tu nenda kajionee
 
Ukweli ni huo Mkuu,

Bara ni shamba na dunia ilianza kuchangamka maeneo ya pwani tokea kitambo.

Wakati watu wa pwani wanajenga miji yao na kuishi pamoja kule sigimbi ndio kwanza watu walikuwa wanagombea mapango na mawe yaliyolainika Kwa ajili ya makazi.

Wengi wao wakiishi katika koo zao pasi na kuchanganyika na watu wengine.

Unakuta Kila ukoo na chaka lake,ustaarabu utatokea wapi. Unakuta binadamu anatoa harufu Kali ya beberu,mwili wake umefunikwa Kwa vipande vya ngozi (lubega) huyo ndo mtawala wao na wale watawaliwa wameficha pale mbele kwenye kiwanda Cha kuchakata watoto Kwa kipande Cha ngozi huku makalio yakiendelea kufurahia mandhari.

Huwezi kumfananisha mtu wa pwani ambaye anaujua ustaarabu tokea zamani na mtu ambaye akiamka asubuhi anasafisha uso wake Kwa mkojo wa punda hata siku moja.

Watu wa pwani wazee wa vibarakashia wanywa kahawa huku wakishushia na kashata nyakati za jioni wamejivalia misuli huku wakibalizi Kwa mbaali wavuvi wanatoka baharini na samaki walionona. Wakati huo ukipita mitaani unakutana na mpishano mkali wa harufu ya chakula kinachoandaliwa Kwa ustadi wa hali juu.

Kadiri usogeavyo unapata kusikia sauti za pe pe pe pe ni wale wanaopepeta mchele,na zile za kro kro kro za wale wanaokuna Nazi. Si mtu wa pwani yule asiyeijua ladha halisi ya wali nazi.

Wakati huo kule bara ni muda wa kula mihogo na viazi Ile iliyochomwa kwenye jivu la moto. Vitoto vyao vikifukuzana na kuparamia mtu huu na ule. Na wale vijana ndo muda wao wa kurudi kuokota mabungo na wengine wakiburuza minofu ya nyumbu kutoka mawindoni.

Ama Kwa hakika watu wa pwani duniani kote ndio kielelezo cha kustaarabika.

Basi hivo ndivo ilivo.

Wazaliwa wa mikoa ya pwani kihistoria wanawachukulia watu wa bara kama watu washamba tu walioukuta ustaarabu Pwani.

Kwa mfano ustaarabu wa mapishi, usafi hasa kuoga yaani hadi kuingia chooni na maji wabara inasemekana walikua hawajui maana walitumia udongo na magunzi kujitawazia.

Sasa basi mzaramo au mkwere ukijitambulisha umetoka chato au umetoka lamadi au umetoka mpitimbi akilini mwake anakuchukulia mshamba tu hata uwe umemzidi kila kitu lakini mentality yake inamweleza wewe ni mshamba.

Lakini pia watu wengi walitoka bara kwenda maeneo ya pwani kutafuta maisha kiufupi maeneo ya pwani yalianza kua miji kabla ya maeneo mengi ya bara.

Ndio maana huwezi mweleza kitu Ramadhan Dau, Sykes, JK, Mohamed Said, Rupia, hawa na wengine wengi kwanza wanafahamiana kabisa ndio maana kuna vitu ukifanya wanakuita mshamba au limbukeni.

Nadhani mlimsikia Nape akisema Boss wake mshamba au mliona polepole kujisifia v8 aliitwa mshamba, hilo kuanzia leo mlichukue.
Watu wanapenda mnanda, mchiriku watu wanapenda wacheze vanga na wanywe mnazi na huo ndio utamaduni wao.

Ndio maana hata watoto wa manzese hawachelewi kumwita vunjabei mshamba yaani pisi wanayokula watu kwa chips yeye anatumia mabilioni kuipata hapo ndio kizaazaa huanzia.
Wacha watuone hivyo lakini ukweli ni kwamba bila hao wanaowaita wa bara hadi leo wangekuwa nyuma sana kimaendeleo ndio maana pwani yote waliopo ni waliotoka bara.
Hawa jamaa wa pwani ni wavivu mno mno hawana plan hata ya kesho.Akiamka asubuhi hajui mchana atakula nini wao kununua unga robo anaweza songa ugali hajui atapata mboga wapi kama ni jirani anakuja na kibakuli kukuomba mboga amalizie ugali wake.
Hata kwenye ma hospitali wanawake wa pwani wanaojifungua wanakabiliwa na upungufu mkubwa mno wa wekundu wa damu.
Hawajasoma na hata maendeleo ya shule hata matokeo shule za bara ndio zinaongoza.Najua zipo shule zinazoongoza hapa Dar lakini wamiliki ni wabara.
Mimi binafsi siwezi oa mwanamke wa pwani hata kama mahari ni jogoo akili ya maendeleo hakuna wao wanawaza kushindana kuvaa Khanga za mafumbo na kucheza ngoma.Mkazi wa pwani hata asome lakini unakuta ile element ya uswahili bado ipo.Yupo mkubwa mmoja wa serikali marehemu namuhifadhi alishaombaga ruhusu kwa boss wake kuwa watoto wanakwenda kuchezwa ngoma.
 
watu wa pwani wamelegea hadi kuongea wanalegeza sauti
sikiliza jitu la mbeya likiongea utajua huyu ni mwanaume anaongea
viazi vinalimwa mbeya umaarufu wa chips dar

mmepewa sana mimba kwa ajili ya chips
shukuruni sana wachaga na wakinga la sivyo mpaka leo kariakoo kungekuwa na nyumba za udongo
Hao wanaoshinda saluni kujipodoa na kujiuza Kama wanawake?!

Nguvu nyingi akili kisoda... Kulimishwa kuliko gombe?!

Kuongea kiluga luga kugonga maneno kwa vile kiswahili sio lugha mama yenu?!

Tuwe wakweli ... Mtu wa bara Ni .mjanja ..si mvivu ila anastaarabika akija pwani..Dar..nk..
 
Watu wa pwani wamestaarabika kwasababu mzungu na mwarabu alikuwa lazima akanyage aridhi ya pwani kabla ajafika maeneo mengine, n
bahari ndio ilikuwa the main and only entrance ya walioleta ustaarabu pwani (mzungu & mwarabu)

Tukitaja sehemu za pwani zote kuanzia dar,bagamoyo, zanzibar,tanga, kilwa... pote uko kulichamka kwasababu wazungu walikuwa lazima wafike hapo kabla ya kusambaa sehemu nyingine

Lakini pamoja na ustaarabu wote wa watu wa pwani na pamoja privilage yote waliyopata kutoka kwa wazungu na warabu, watu wa pwani walishindwa kujiheshimisha kwenye nyanja nyingi kama vile elimu na maendeleo. Mwisho wa siku walishindwa hata kuendeleza miji yao mpaka alipokuja mtu wa bara kumpa changamoto

Kwasababu wa pwani wengi wanajua ustaarabu tu lakini elimu na maendeleo yao ni zero basi wanabaki kuwa machawa na wataalamu wa kusagiana kunguni, yani maneno mengiiii lakini vitendo sifuri

Watu wa pwani mlikuwa mna kila resources za kuwafanya ma giant kwenye nchi hii, lakini mlishindwa kuzoyumia hizo resources kwasababu ya umwinyi na uvivu wenu na watu wabara walovyotia maguu kuanzaa kutumia hizo resource mnaanza kujimwambafai nyie ndo wajanja na mna ustaarabu! Endelee kujimwambafai uku maeneo yenu yanachukuliwa na watu wa bara
Safi sana kama ujumbe wataudharau, bado wataendelea kuwa wajinga tu
 
Ukweli ni huo Mkuu,

Bara ni shamba na dunia ilianza kuchangamka maeneo ya pwani tokea kitambo.

Wakati watu wa pwani wanajenga miji yao na kuishi pamoja kule sigimbi ndio kwanza watu walikuwa wanagombea mapango na mawe yaliyolainika Kwa ajili ya makazi.

Wengi wao wakiishi katika koo zao pasi na kuchanganyika na watu wengine.

Unakuta Kila ukoo na chaka lake,ustaarabu utatokea wapi. Unakuta binadamu anatoa harufu Kali ya beberu,mwili wake umefunikwa Kwa vipande vya ngozi (lubega) huyo ndo mtawala wao na wale watawaliwa wameficha pale mbele kwenye kiwanda Cha kuchakata watoto Kwa kipande Cha ngozi huku makalio yakiendelea kufurahia mandhari.

Huwezi kumfananisha mtu wa pwani ambaye anaujua ustaarabu tokea zamani na mtu ambaye akiamka asubuhi anasafisha uso wake Kwa mkojo wa punda hata siku moja.

Watu wa pwani wazee wa vibarakashia wanywa kahawa huku wakishushia na kashata nyakati za jioni wamejivalia misuli huku wakibalizi Kwa mbaali wavuvi wanatoka baharini na samaki walionona. Wakati huo ukipita mitaani unakutana na mpishano mkali wa harufu ya chakula kinachoandaliwa Kwa ustadi wa hali juu.

Kadiri usogeavyo unapata kusikia sauti za pe pe pe pe ni wale wanaopepeta mchele,na zile za kro kro kro za wale wanaokuna Nazi. Si mtu wa pwani yule asiyeijua ladha halisi ya wali nazi.

Wakati huo kule bara ni muda wa kula mihogo na viazi Ile iliyochomwa kwenye jivu la moto. Vitoto vyao vikifukuzana na kuparamia mtu huu na ule. Na wale vijana ndo muda wao wa kurudi kuokota mabungo na wengine wakiburuza minofu ya nyumbu kutoka mawindoni.

Ama Kwa hakika watu wa pwani duniani kote ndio kielelezo cha kustaarabika.
We jamaa unaongea kinyama[emoji3]
 
Sema ushoga ustaarabu gani??!!!mishoga kibao ipo pwani, na kama hujui wewe dar imejengwa na watu kutoka mikoani kama hujui tafuta hotel kubwa zote uliza wametokea wapi??!mbona tanga , lindi na pwani umasikini wa kumwaga kuliko bara ingia mbeya, arusha, mwanza, nk uone maendeleo kiazi wewe tena kote huko utaona waislam wengi masikini sana tembea uone wewe mfano iringa tu nenda kajionee
Usibishane nao sana,wao wanaishia kufanya vibarua kwa Wahindi na Waarabu na kuongea majungu tu.Hukuti mtu wa bara anapanga foleni kwa Bakhresa anasubiri apewe hela za msaada
 
Alafu akaja ngosha kutoka Chattle,akawa anawafokea na kuwaburuza wakaufyata
Kwani ametoboa!?.....ngosha mkoyi katumia nguvu nyingi kisha akaumwa stress,ikampa umauti!

Siku hizi mzigo mzito hawapewi akina ngosha. Tunabeba wenyewe. Wakina ngosha wanachemka😄

Mwadera nkoi, Ulimola?
 
watu wa pwani wamelegea hadi kuongea wanalegeza sauti
sikiliza jitu la mbeya likiongea utajua huyu ni mwanaume anaongea
viazi vinalimwa mbeya umaarufu wa chips dar

mmepewa sana mimba kwa ajili ya chips
shukuruni sana wachaga na wakinga la sivyo mpaka leo kariakoo kungekuwa na nyumba za udongo
Nyumba nyingi Kariakoo zimeuzwa kwa Wahindi na Waarabu mwanzoni mwa miaka ya tisini baadae wazawa wakastuuka wakawa wanajenga kwa ubia. Wakinga,wachaga,wapemba na wengineo wengi wanakodisha fremu tu! Na wengi wamekuja hivi karibuni ukiondoa wapemba.
watu wa pwani wamelegea hadi kuongea wanalegeza sauti
sikiliza jitu la mbeya likiongea utajua huyu ni mwanaume anaongea
viazi vinalimwa mbeya umaarufu wa chips dar

mmepewa sana mimba kwa ajili ya chips
shukuruni sana wachaga na wakinga la sivyo mpaka leo kariakoo kungekuwa na nyumba za udongo
Nyumba nyingi Kariakoo zimeuzwa kwa Wahindi na Waarabu mwanzoni mwa miaka ya tisini baadae wazawa wakastuuka wakawa wanajenga kwa ubia. Wakinga wachaga wapemba na wengineo huwa wanapanga fremu tu.
 
Umenikumbusha hadithi fulani, jamaa alipata mke wa ujana wake akaoa pwani.

Jamaa alikuwa hamjui mchumba wake( bado hajamkula), sasa siku ya fungate jamaa akakuta mtoto bado bikra, jamaa hakuamini akafurahi sana akajiona mshindi na mjanja.

Baada ya fungate jamaa akakutana na baba mkwe wake wake, kwanza akamshukuru sana kwa kumlea binti na zaidi akamshukuru baba mkwe kwa kumkuta binti yake ni bikira. Yule mzee akamwambia jamaa aache ushamba wa bara asimshukuru yeye bali akawashukuru wanaume waliokuwa wanamla kisamvu cha kopo bintiye.

Jamaa wa bara hakuelewa wala hakutaka kujua baba mkwe wake alimaanisha nini ila yeye aliendelea kuifurahia bikira.
Chai
 
Tumewafukuza mjini waswahili wa pwani na sasa wabara ndio wenyewe.
Wewe ndo wale wa mikoani wanaosemaga......"unajua kule kwetu Dar haya mambo hamna"

Psychologically, you are ashamed to say where is your orgin. Na njia pekee uonekane mjanja ni kusema ni wa Dar na ku-deny ukweli kwamba hauna asili ya Pwani.
 
Sio Tanzania tu, hata UK, watu wa London huwaona wenzao wanaotokea North kuwa ni Washamba. Miji ya North ni Kama Liverpool, Manchester, Leeds, Newcastle n.k

Watu wa North UK Accent zao huwa ni ngumu kidogo kuliko wa London ambao wanaongea soft Accent except wa Essex ambao wanajifanya ma Gangsters.
 
Halafu huku watu wanaoongea kiswahili Cha kutoka Kanda ya Mashariki hasa pwani na Dar es salaam wanafikiria wote ni wasomi. Bisha na hili?

Halafu wanadhani wote ni Wazaramo kumbe Kuna wandengereko, Wanyagwata, Wanyangalio, Wakwere na Wajaja

Bila kusahau ndugu zetu Wasegeju, wabondei, wadigo, wamatumbi,na wangindo
Umewasahau wazigua. Ndugu zetu kabisa hao.
 
Wacha ncheke mie[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Hapa Lalago ambapo Kuna njia panda ya kwenda kwimba na meatu kama unatokea maswa kwenye hili rough road.

Kuna masalia ya waarabu na mji uliotapakaa umasikini kweli kweli

Kuna magofu tu kila sehemu na nyumba za kizamani

Unaanza kuwakana ndugu zako

Kwanza hizi ng'ombe ni za kinyarwanda?

Watu tunatembea ndugu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]🥲
Umeajiriwa kuchunga ng'ombe we choka mbaya tu
 
Back
Top Bottom