Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Ndiyo maana wanatufungulia vizibo Bar na kutuuzia kwa buku mbili
 
Comment ya Kwanza na ya pili imebeba dharau ya Hali yaa juu sn😅..watu mnaoishi sehemu za joto kwenye maji ya chumvi mna dharau sn Ila mnachojua ni kuvaa misuli na kucheza bao la kete kwenye vijiwe vya kahawa huku maendeleo mkipishana nayo
Maendeleo yalianzia Pwani pia. Kwako wewe maendeleo ni nini?
 
Nasikia Nyerere alitaka kwenda na kaptura mkutano wa UN , wazee wa pwani walimshauri kwamba Yakheee sio ustaarabu kuonyesha utupu.....
 
Ndio maana wakija zanzibar wanauziwa tv laki tano wanaona wamepata bei rahisi wakati sisi wazawa tunanunua laki mbili tu
Hapo kwenu ni issue za Kodi kuwa chini, ndio maana vitu ni bei Chee na sio sababu nyingine, ni kisiwa pia

Ila sisi wa huku pwani ambao sheria za Kodi zipo applied kote yaani kuanzia Tanga , kisiju mpaka mtwara ndio tunaozungumziwa hapa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tajiri zaidi alikuwa Rupia ambaye ni ngosha wa Shinyanga
 
Wewe usijitoe ufahamu. TAA hakikuwa chama cha kupigania uburu. Ilikuwa ni chama cha starehe tu. Alipoingia mbara toka kanda kuu ya ziwa akakibadilisha kuwa TANU na kuwa chama cha siasa hasa.
 
Wewe toa uongo wako hapa hakuna msukuma anayedharaurika kwao. Uwe na adabu kwa kabila kuu
 
Watu wa Pwani ni watumwa wa watu wa Bara. Sisi ndio miamba ya ya Pwani yote kwa sasa.
Ninyi ni watwana Toka kale mpaka Sasa, acha kebehi ndugu.

Halafu unapoizungumzia bara , utaje kabisa hapa hiyo Kanda unayoigusa
 
Wewe toa uongo wako hapa hakuna msukuma anayedharaurika kwao. Uwe na adabu kwa kabila kuu
Yaani Mimi niseme uongo ili nipate nini?

Nipo huku Kanda ya ziwa najionea?

Kwanza wasukuma si wamoja, wanabaguana wenyewe kwa wenyewe

Yaani Mnyeng'weli wa mwanza anambagua Msukuma wa Maswa Ng'wananzegela.

Mnyantuzu wa bariadi, Itilima, ikungulyabashashi, Lugulu,Gambosi, Lalago mpaka hapo Nyaumata hapendani hata kidogo na msukuma wa Shinyanga.

Wale wa Shinyanga wanawabagua wa Geita

Kule Geita hawawapendi hata kidogo wanaotoka chato,

Unabisha nini Sasa?

Kama ninyi mlivyolowea huko pwani, nasi tukija huku mnatupa ufalme
 
Halafu huku watu wanaoongea kiswahili Cha kutoka Kanda ya Mashariki hasa pwani na Dar es salaam wanafikiria wote ni wasomi. Bisha na hili?

Halafu wanadhani wote ni Wazaramo kumbe Kuna wandengereko, Wanyagwata, Wanyangalio, Wakwere na Wajaja

Bila kusahau ndugu zetu Wasegeju, wabondei, wadigo, wamatumbi,na wangindo
 
Hiv waafrica walianza kuwa wastaarabu baada ya kuja wazungu na waarabu?
 
Taja huo ustaarabu.
Tunavyojua waarabu ndio walianza kuuza waafrika kama nyanya ntole kwenye masoko, walileta ustaarabu wa kuwafanya wanawake waonekane duni mbele ya mwanaume.
leta ushahidi wa ulisemalo tena sio picha za kuchorwa bali ni picha halisi hlf tuone mwarabu na mzungu nani alifanya hiyo biashara
 
Wapwani ndo akina AMINA , ZULFA , MUHAMMAD, nk

Kama ndo hao mbona ni washamba tu....
1.wanapenda kula kinoma anii
2.wanapenda ngono kinoma
3.wanapenda kulewa hadi so poa
4. Ni maboya tu
5.ni maboya tu
6. Mafala tu
7. Jinga jinga tu
Ngoja waje utawapisha humu jukwaani🏃
 
Kwanza hao kina Sykes siyo wazaramo bali ni wakimbizi toka South Africa
  • sheikh takadiri?
  • DOSSA Azizi?
  • Mshume kiate?hao walikuwa wa wa wapi? 75% ya Wapigania Uhuru walikuwa ni Watu wa Pwani na walikuwa Ni Muslim
 
Wewe usijitoe ufahamu. TAA hakikuwa chama cha kupigania uburu. Ilikuwa ni chama cha starehe tu. Alipoingia mbara toka kanda kuu ya ziwa akakibadilisha kuwa TANU na kuwa chama cha siasa hasa.
  • Sasa unaongea Nini?
  • Ukiambiwa utaje Chimbuko la TANU utaacha kuitaja TAA na AAh?
  • Nyerere alikuja kwenye TANU wakati Mambo yashawekwa sawa na kina Sheikh takadiri, Sykes,
  • Hivi unajua kuwa Dosaa Azizi ndiye alikuwa tajiri wa kipindi hicho alifadhili harakati za kupigania Uhuru Kwa Pesa yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…