Tajiri zaidi alikuwa Rupia ambaye ni ngosha wa Shinyanga
Ayaa weeeEt inasemekana wakazi wa pwani wote bila kujali jinsia wametatuliwa marinda toka wakiwa watoto
Tumewafukuza mjini waswahili wa pwani na sasa wabara ndio wenyewe.Ninyi ni watwana Toka kale mpaka Sasa, acha kebehi ndugu.
Halafu unapoizungumzia bara , utaje kabisa hapa hiyo Kanda unayoigusa
Hakuna unachokijua ! Unabahatisha tu. Tangu lini Lalago wakaishi wanyantuzu. Kajifunze upya we bado sana.Yaani Mimi niseme uongo ili nipate nini?
Nipo huku Kanda ya ziwa najionea?
Kwanza wasukuma si wamoja, wanabaguana wenyewe kwa wenyewe
Yaani Mnyeng'weli wa mwanza anambagua Msukuma wa Maswa Ng'wananzegela.
Mnyantuzu wa bariadi, Itilima, ikungulyabashashi, Lugulu,Gambosi, Lalago mpaka hapo Nyaumata hapendani hata kidogo na msukuma wa Shinyanga.
Wale wa Shinyanga wanawabagua wa Geita
Kule Geita hawawapendi hata kidogo wanaotoka chato,
Unabisha nini Sasa?
Kama ninyi mlivyolowea huko pwani, nasi tukija huku mnatupa ufalme
Hivyo vikabila vidogo vidogo tunavidharau sana sisi wasukuma tunaona ni goi goi tu hawana mbele wala nyumaHalafu huku watu wanaoongea kiswahili Cha kutoka Kanda ya Mashariki hasa pwani na Dar es salaam wanafikiria wote ni wasomi. Bisha na hili?
Halafu wanadhani wote ni Wazaramo kumbe Kuna wandengereko, Wanyagwata, Wanyangalio, Wakwere na Wajaja
Bila kusahau ndugu zetu Wasegeju, wabondei, wadigo, wamatumbi,na wangindo
Tajiri alikuwa msukuma John Rupia hao wengine walikuwa waganga njaa tu
- Sasa unaongea Nini?
- Ukiambiwa utaje Chimbuko la TANU utaacha kuitaja TAA na AAh?
- Nyerere alikuja kwenye TANU wakati Mambo yashawekwa sawa na kina Sheikh takadiri, Sykes,
- Hivi unajua kuwa Dosaa Azizi ndiye alikuwa tajiri wa kipindi hicho alifadhili harakati za kupigania Uhuru Kwa Pesa yake?
Umemfukuza nani we wakuja?Tumewafukuza mjini waswahili wa pwani na sasa wabara ndio wenyewe.
Wacha ncheke mie[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hakuna unachokijua ! Unabahatisha tu. Tangu lini Lalago wakaishi wanyantuzu. Kajifunze upya we bado sana.
Wakati mnawaona Mungu watu.Hivyo vikabila vidogo vidogo tunavidharau sana sisi wasukuma tunaona ni goi goi tu hawana mbele wala nyuma
Kina nani unao waulizaSasa mbona wao hawana maendeleo,wanazidi kuwa maskini tu
Akili za punguani hizo! Eti huyu ni wa pwani huyu ni wa bara, ustaarabu wao basi pale Kariakoo na nyumba zao za kuezeka kwa makuti enzi hizo mbona walishindwa kwenda na mabadiliko na wengi wao kusogezwa pembezoni huko.Basi hivo ndivo ilivo.
Wazaliwa wa mikoa ya pwani kihistoria wanawachukulia watu wa bara kama watu washamba tu walioukuta ustaarabu Pwani.
Kwa mfano ustaarabu wa mapishi, usafi hasa kuoga yaani hadi kuingia chooni na maji wabara inasemekana walikua hawajui maana walitumia udongo na magunzi kujitawazia.
Sasa basi mzaramo au mkwere ukijitambulisha umetoka chato au umetoka lamadi au umetoka mpitimbi akilini mwake anakuchukulia mshamba tu hata uwe umemzidi kila kitu lakini mentality yake inamweleza wewe ni mshamba.
Lakini pia watu wengi walitoka bara kwenda maeneo ya pwani kutafuta maisha kiufupi maeneo ya pwani yalianza kua miji kabla ya maeneo mengi ya bara.
Ndio maana huwezi mweleza kitu Ramadhan Dau, Sykes, JK, Mohamed Said, Rupia, hawa na wengine wengi kwanza wanafahamiana kabisa ndio maana kuna vitu ukifanya wanakuita mshamba au limbukeni.
Nadhani mlimsikia Nape akisema Boss wake mshamba au mliona polepole kujisifia v8 aliitwa mshamba, hilo kuanzia leo mlichukue.
Watu wanapenda mnanda, mchiriku watu wanapenda wacheze vanga na wanywe mnazi na huo ndio utamaduni wao.
Ndio maana hata watoto wa manzese hawachelewi kumwita vunjabei mshamba yaani pisi wanayokula watu kwa chips yeye anatumia mabilioni kuipata hapo ndio kizaazaa huanzia.
Kwa hiyo Wasafwa pale Mbeya mjini, Mbeya vijijini ni wapuuzi maana waliojenga pale ni wageni na sio kabila mwenyeji?waliojenga na wenye maisha mazuri kwa asilimia kubwa Pwani ni watu kutoka Bara. Pwani ni wapuuzii sana
Kwa Nini DOSSA Azizi aliitwa BENKI? na John Rupia hakuitwa BENKI?Tajiri alikuwa msukuma John Rupia hao wengine walikuwa waganga njaa tu