Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Kwa Nini DOSSA Azizi aliitwa BENKI? na John Rupia hakuitwa BENKI?
Huoni Dosa Azizi alikimbilia Mlandizi lakini Rupia akabaki Kariakoo na nyumba zake hazikutaifishwa wakati wa Azimio la Arusha maana alichangia sana kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika
 
Wapwani wengi akili hawana. Shule wamesoma wabara na ndo ambao wanapata kazi na kujenga dar. Pwani wanawezq tu kuongea sana na ngoma na kutiana.
 
Huoni Dosa Azizi alikimbilia Mlandizi lakini Rupia akabaki Kariakoo na nyumba zake hazikutaifishwa wakati wa Azimio la Arusha maana alichangia sana kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika
-Hujui history, tajiri na mfadhili wa harakati za Kipigania Uhuru alikuwa ni Dosaa Azizi.
- Awali nilikuuliza swali Kwa nini DOSSA Azizi aliitwa BENKI na Rupia hakuitwa BENKI?
 
Kwa hiyo mwalli kwenda mkoleni ndio KOSA?

Ila ninyi huku vibinti vinaozwa na miaka 9 ni sahihi?

Ile chagulaga ndio sahihi? Mpaka inasababisha mauaji.

Nyumba Nthobo ipo sahihi? Mwanamke Kuoa wanawake wengine?

Bila migodi pale Geita, wale wasukuma wangekuwa na hari Gani?

Iringa mjini ni mji ulioanzishwa na wageni kifupi wazungu walioweka Kambi Yao ya jeshi pale na kujenga miundombinu.

Maendeleo mengi yaliyopo mikoani ni nguvu ya serikari ya Sasa na ya kikoloni.

Kwa nini reli ya kusini iling'olewa kipindi Cha baba haambiliki?

Kilwa ilikuwa ni miliki kubwa kabisa ya kibiashara pwani ya afrika mashariki, je wabara ndio walisaidia?

Acha ulimbukeni.
 
Maraisi kutoka pwani ndio waliofungua nchi hii kiuchumi.

Baba Haambiliki, wafanyakazi walistahafu bila kuwa hata na kibanda Cha kujihifadhi.

Mwinyi, kila kitu ruksa na watu wakaacha kutembea Vidali wazi.

Mkapa: Sina haja ya kumuelezea huyu mtu kwenye masuala ya kiuchumi.
Kifupi ndio kipindi miji ya Tanzania ilianza kukua.

Kikwete: Ndio kipindi serikari ya Tz ikaanza kuwekeza kujenga miji yake, Na Dar es salaam kuwa Jiji la 9 kwa ukuaji Duniani.

Magufuli: matukio ya mauaji Kanda ya ziwa yakaanza kutamalaki nchi nzima na kuharibiwa uchumi wa Mtz mmoja mmoja.

Samia: kila mtu anaanza kuona mwelekeo.
 
Wataenda kulogana SAA ngapi?
Serikari iliifanyia figisu ikafa.

Tanga bandari yake ilifungwa na reli ilikuwa haitumiki kwa miaka kadhaa mpaka mbuyu uliota kati kati ya reli.

Bagamoyo ilisinyaa kwa sababu nguva kubwa ilipelekwa Dar es salaam

Kuwa karibu na mji mkubwa muda mwingine ni rahana, kwa sababu Vijana wengi walihamia Dar es salaam.

Kutokuanzishwa kwa bandari za kimkakati katika miji ya sadan, Bagamoyo, kilwa.

Kuivunja na kuiua Bandari iliyopo mkoani Lindi, kukachangia kuua ule mje.

Kutelekezwa na kutohudumiwa kwa bandari ya mtwara.

Miundombinu mibovu ya Barabara kuelekea kusini kabla hajaingia Mkapa.

Kuhamishia Mali zote dar es salaam, kama Sasa inavyofanywa Dodoma.

Kuchajiwa Kodi mara mbili mzigo unaopitia bandari ya unguja au pemba.

Kutelekezwa kimiundombinu kwa kisiwa Cha mafia, kisiwa Cha jaja, koma , kwale
 
Wataenda kulogana SAA ngapi?
Uchawi uliopo hapo Tukuyu kwa wanyamanyafu,

Tunduma kwa Wanyamwanga,

Mbozi kwa wanyiha

Ileje kwa wandali

Sumbawanga kwa wafipa

Wapimbwe wa katavi

Wamanyema wa Kigoma

Wakonongo, wakimbu na wasumbwa wa Tabora.

Wasukuma wa Gamboshi

Wakelewe wa visiwa vya ukelewe na ndugu zao wakala.

Usukumani mabinti huogeshwa dawa za mvuto tangu wangali miaka 7, matokeo yake wanaoongoza kwa mimba za utotoni.

Utafananisha na Kanda ya pwani.

Msisahau hata Ng'wanamalundi alikuwa mchawi mkubwa sana.

Acheni kujitweza wakati hamna hizo twezo za kujivunia.

N.B Wasukuma huwa wanachanja chale mwili mzima na wafipa hutembea wamening'iza hirizi kwenye shingo zao
 
Wapwani wengi akili hawana. Shule wamesoma wabara na ndo ambao wanapata kazi na kujenga dar. Pwani wanawezq tu kuongea sana na ngoma na kutiana.
DAR imeanza kujengwa siku nyingi kabla hata Nyerere hajawahi dhani atafika Dar. Acheni kujidanganya. Mshindwe kujenga huko vijijini uje ujenge sehemu ambayo tayari ilishajengwa?
 
Wa kijijini akienda wilayani ataonekana mshamba

Wa wilayani akienda mkoani ataonekana mshamba

Wa mkoani akienda dar ataonekana mshamba

Na wa dar akienda EMIRATES n.k ataonekana mshamba tena sio kidogo, though sio wote
 
Huo uchawi walinunua Pwani, bara hakuna uchawi kiasili.
 
Hao wanaume wa Kinyakyusa kulelewa na wanawake ndio sifa Yao.

Mwanamke ndio hufanya kazi kumtafutia mwanaume

Kuanzia kule ikuti, matema, Tukuyu, isyonje, uyole ndio tabia zao.

Ndio maana wanawake zao ni Malaya waliopitiliza, akikutambulisha kwa Mumewe kuwa wewe ni kaka yake, ujue umeandaliwa kupewa papuchi.

Tuwape heshima akina sekela, Tusekelege kwa wema wao
 
Hapa umetoa hoja za msingi mkuu.
Kula gwala!!
 
Kama Wamakonde wana ujanja gani,ishirini Mmakonde anasema ichirini
Kuna mmakonde Malaba ambaye ni WA pwani mfano mwanamuziki pasha.

Halafu Kuna mmakonde chale na Mmakua wa chitoholi huko ambako ni bara tu.
Mfano Mwanamuziki Harmonize

Halafu jiografia ya Mtwara imetenganishwa na milima

Sijui ulikuwa unamuuliza mmakonde wa wapi?
 
-Hujui history, tajiri na mfadhili wa harakati za Kipigania Uhuru alikuwa ni Dosaa Azizi.
- Awali nilikuuliza swali Kwa nini DOSSA Azizi aliitwa BENKI na Rupia hakuitwa BENKI?
Dossa the "Bank" Aziz, huyu jamaa alikua kimwaga sana...anagawa hela hovyo.
Akafulia.
 
Wakoloni walikuwa wazungu pekee? Wengine walikuwa “wenzetu”?
 
Umeajiriwa kuchunga ng'ombe we choka mbaya tu
Nitoke kwetu Mimi nikafanye kazi za kitwana usukumani Tena simiyu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Umegundua sibahatishi kwanza nashukuru. kwa Hilo.

Ila huku wenye kushikilia nyadhifa sio wasukuma, ni waswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…