nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Nani hao wavaa kandamvili na vikoi ?Wakati mnawaona Mungu watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani hao wavaa kandamvili na vikoi ?Wakati mnawaona Mungu watu.
Huoni Dosa Azizi alikimbilia Mlandizi lakini Rupia akabaki Kariakoo na nyumba zake hazikutaifishwa wakati wa Azimio la Arusha maana alichangia sana kupatikana kwa uhuru wa TanganyikaKwa Nini DOSSA Azizi aliitwa BENKI? na John Rupia hakuitwa BENKI?
Wapwani wengi akili hawana. Shule wamesoma wabara na ndo ambao wanapata kazi na kujenga dar. Pwani wanawezq tu kuongea sana na ngoma na kutiana.Kwa hiyo Wasafwa pale Mbeya mjini, Mbeya vijijini ni wapuuzi maana waliojenga pale ni wageni na sio kabila mwenyeji?
Elewa wageni huenda sehemu na mitaji, fursa ya kazi, Biashara pamoja na connection.
Hawa wapo Bara, tatizo ni nini? Mji wao uendelezwe na wageni?
-Hujui history, tajiri na mfadhili wa harakati za Kipigania Uhuru alikuwa ni Dosaa Azizi.Huoni Dosa Azizi alikimbilia Mlandizi lakini Rupia akabaki Kariakoo na nyumba zake hazikutaifishwa wakati wa Azimio la Arusha maana alichangia sana kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika
Kwa hiyo mwalli kwenda mkoleni ndio KOSA?Wacha watuone hivyo lakini ukweli ni kwamba bila hao wanaowaita wa bara hadi leo wangekuwa nyuma sana kimaendeleo ndio maana pwani yote waliopo ni waliotoka bara.
Hawa jamaa wa pwani ni wavivu mno mno hawana plan hata ya kesho.Akiamka asubuhi hajui mchana atakula nini wao kununua unga robo anaweza songa ugali hajui atapata mboga wapi kama ni jirani anakuja na kibakuli kukuomba mboga amalizie ugali wake.
Hata kwenye ma hospitali wanawake wa pwani wanaojifungua wanakabiliwa na upungufu mkubwa mno wa wekundu wa damu.
Hawajasoma na hata maendeleo ya shule hata matokeo shule za bara ndio zinaongoza.Najua zipo shule zinazoongoza hapa Dar lakini wamiliki ni wabara.
Mimi binafsi siwezi oa mwanamke wa pwani hata kama mahari ni jogoo akili ya maendeleo hakuna wao wanawaza kushindana kuvaa Khanga za mafumbo na kucheza ngoma.Mkazi wa pwani hata asome lakini unakuta ile element ya uswahili bado ipo.Yupo mkubwa mmoja wa serikali marehemu namuhifadhi alishaombaga ruhusu kwa boss wake kuwa watoto wanakwenda kuchezwa ngoma.
Maraisi kutoka pwani ndio waliofungua nchi hii kiuchumi.Wacha watuone hivyo lakini ukweli ni kwamba bila hao wanaowaita wa bara hadi leo wangekuwa nyuma sana kimaendeleo ndio maana pwani yote waliopo ni waliotoka bara.
Hawa jamaa wa pwani ni wavivu mno mno hawana plan hata ya kesho.Akiamka asubuhi hajui mchana atakula nini wao kununua unga robo anaweza songa ugali hajui atapata mboga wapi kama ni jirani anakuja na kibakuli kukuomba mboga amalizie ugali wake.
Hata kwenye ma hospitali wanawake wa pwani wanaojifungua wanakabiliwa na upungufu mkubwa mno wa wekundu wa damu.
Hawajasoma na hata maendeleo ya shule hata matokeo shule za bara ndio zinaongoza.Najua zipo shule zinazoongoza hapa Dar lakini wamiliki ni wabara.
Mimi binafsi siwezi oa mwanamke wa pwani hata kama mahari ni jogoo akili ya maendeleo hakuna wao wanawaza kushindana kuvaa Khanga za mafumbo na kucheza ngoma.Mkazi wa pwani hata asome lakini unakuta ile element ya uswahili bado ipo.Yupo mkubwa mmoja wa serikali marehemu namuhifadhi alishaombaga ruhusu kwa boss wake kuwa watoto wanakwenda kuchezwa ngoma.
Serikari iliifanyia figisu ikafa.Wataenda kulogana SAA ngapi?
Uchawi uliopo hapo Tukuyu kwa wanyamanyafu,Wataenda kulogana SAA ngapi?
DAR imeanza kujengwa siku nyingi kabla hata Nyerere hajawahi dhani atafika Dar. Acheni kujidanganya. Mshindwe kujenga huko vijijini uje ujenge sehemu ambayo tayari ilishajengwa?Wapwani wengi akili hawana. Shule wamesoma wabara na ndo ambao wanapata kazi na kujenga dar. Pwani wanawezq tu kuongea sana na ngoma na kutiana.
Huo uchawi walinunua Pwani, bara hakuna uchawi kiasili.Uchawi uliopo hapo Tukuyu kwa wanyamanyafu,
Tunduma kwa Wanyamwanga,
Mbozi kwa wanyiha
Ileje kwa wandali
Sumbawanga kwa wafipa
Wapimbwe wa katavi
Wamanyema wa Kigoma
Wakonongo, wakimbu na wasumbwa wa Tabora.
Wasukuma wa Gamboshi
Wakelewe wa visiwa vya ukelewe na ndugu zao wakala.
Usukumani mabinti huogeshwa dawa za mvuto tangu wangali miaka 7, matokeo yake wanaoongoza kwa mimba za utotoni.
Utafananisha na Kanda ya pwani.
Msisahau hata Ng'wanamalundi alikuwa mchawi mkubwa sana.
Acheni kujitweza wakati hamna hizo twezo za kujivunia.
N.B Wasukuma huwa wanachanja chale mwili mzima na wafipa hutembea wamening'iza hirizi kwenye shingo zao
Hao wanaume wa Kinyakyusa kulelewa na wanawake ndio sifa Yao.Hao wanaoshinda saluni kujipodoa na kujiuza Kama wanawake?!
Nguvu nyingi akili kisoda... Kulimishwa kuliko gombe?!
Kuongea kiluga luga kugonga maneno kwa vile kiswahili sio lugha mama yenu?!
Tuwe wakweli ... Mtu wa bara Ni .mjanja ..si mvivu ila anastaarabika akija pwani..Dar..nk..
Hapa umetoa hoja za msingi mkuu.Serikari iliifanyia figisu ikafa.
Tanga bandari yake ilifungwa na reli ilikuwa haitumiki kwa miaka kadhaa mpaka mbuyu uliota kati kati ya reli.
Bagamoyo ilisinyaa kwa sababu nguva kubwa ilipelekwa Dar es salaam
Kuwa karibu na mji mkubwa muda mwingine ni rahana, kwa sababu Vijana wengi walihamia Dar es salaam.
Kutokuanzishwa kwa bandari za kimkakati katika miji ya sadan, Bagamoyo, kilwa.
Kuivunja na kuiua Bandari iliyopo mkoani Lindi, kukachangia kuua ule mje.
Kutelekezwa na kutohudumiwa kwa bandari ya mtwara.
Miundombinu mibovu ya Barabara kuelekea kusini kabla hajaingia Mkapa.
Kuhamishia Mali zote dar es salaam, kama Sasa inavyofanywa Dodoma.
Kuchajiwa Kodi mara mbili mzigo unaopitia bandari ya unguja au pemba.
Kutelekezwa kimiundombinu kwa kisiwa Cha mafia, kisiwa Cha jaja, koma , kwale
Kuna mmakonde Malaba ambaye ni WA pwani mfano mwanamuziki pasha.Kama Wamakonde wana ujanja gani,ishirini Mmakonde anasema ichirini
Dossa the "Bank" Aziz, huyu jamaa alikua kimwaga sana...anagawa hela hovyo.-Hujui history, tajiri na mfadhili wa harakati za Kipigania Uhuru alikuwa ni Dosaa Azizi.
- Awali nilikuuliza swali Kwa nini DOSSA Azizi aliitwa BENKI na Rupia hakuitwa BENKI?
Na alikuwa anachangiwa chakula na wafanyabiashara ndogondogo kutoka Magomeni mpaka MsimbaziSahihi
Wakoloni walikuwa wazungu pekee? Wengine walikuwa “wenzetu”?Wewe jamaa zero kabisq, et watu wa pwani hata vita hawawezi, Vita vya Maji maji walipigana akina nani?... nyie mijitu ya bara ndio mlikuwa mbumbumbu hamkuyaona waliyoyaona watu wa pwani
Mlikuwa loyal kwa wakoloni. Wakat watu wa pwan kitambo walipinga kuchukuliwa maeneo yao na mzungu.
Watu wa pwan hata mzungu alivua kofia, wakipewa mbegu za mazao ya biashara walime kwa lazima wao walikuwa wanazichemsha kwanza ndio wanapanda.
Huu ni ukweli maeneo ambayo waarabu walikaa ustaarabu uliingia mapema Sana tofauti na maeneo Kama shinyanga
Ndio ulivyokaririshwa, Rudi kwenu sigimbiMko maneromango mjini mmtuachia sisi wabara
Nitoke kwetu Mimi nikafanye kazi za kitwana usukumani Tena simiyu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Umeajiriwa kuchunga ng'ombe we choka mbaya tu