Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Kweli we wa pwani maana hii uliyoandika ni taarabu tupu kasoro instruments tu
 
Mmeshaanza upwani na ubara, mtakuja uislam na ukristo, urefu na unene.

Sisi sote ni watanzania, Haijalishi upo Pwani au Bara...Washamba na wajanja wanapatikana sehemu yoyte ile..Unaweza kujiona mjanja ukaenda Kigoma ukaingizwa mjini
Uko sahihi unajua sasa kuna battle ya wanaume na wanawake
Nasubiri battle ya wafupi na warefu
 
Ustaarabu, maendeleo na hata kuvaa nguo tuu kulianzia pwani.
Swali siku hizi wabara wamesoma zaidi ya wapwani sasa huko ni kustaarabika zaidi?
NB; Kustaarabika asili yake ni "kuwa kama Muarabu."
 
Ustaarabu, maendeleo na hata kuvaa nguo tuu kulianzia pwani.
Swali siku hizi wabara wamesoma zaidi ya wapwani sasa huko ni kustaarabika zaidi?
NB; Kustaarabika asili yake ni "kuwa kama Muarabu."
Hapana hatujawa kama waarabu ila tumekuwa civilized nayo Kwa Kiswahili fasaha inajulikana kama kustaarabika
 
Ustaarabu, maendeleo na hata kuvaa nguo tuu kulianzia pwani.
Swali siku hizi wabara wamesoma zaidi ya wapwani sasa huko ni kustaarabika zaidi?
NB; Kustaarabika asili yake ni "kuwa kama Muarabu."

Acha kupofuka wewe,hao waarabu hawana freedom of worshing,demokrasia walio wengi hawajaelimika,kustaarabika huko wanakutoa wapi au kuvaa baibui,kanzu,msuli na ukaaji wakati wa kula?
 
Nahisi mleta maada kachuliwa mke na mtu wa bara sio kwa povu hilo...

hEBU TUACHANE NA UKANDA
 
Kuna kabila langu Moja lilitudhalilisha sana wakati linaingia mjini,Walikuwa walikuwa wanaweka haja zao Vichochoronii...Yaani hata uwaelekeze chooni kesho wanasahau wanakunya tena vichochoroni sasa hivi wanajiona wajanjaa.
 
Ustaarabu, maendeleo na hata kuvaa nguo tuu kulianzia pwani.
Swali siku hizi wabara wamesoma zaidi ya wapwani sasa huko ni kustaarabika zaidi?
NB; Kustaarabika asili yake ni "kuwa kama Muarabu."
Bara wamesoma ila mpaka leo wanaamini kwenye kuua albino na vikongwe, mara wapigane nondo, hadi leo wanapigiwa kampeni za kuacha ukeketaji.
 
Hakuna watu wajinga kama wakwere na wazaramo, sina shida na washamba wa bara ila kwa hawa wajinga wa pwani ndio ni sifuri kichwani.
Unataka kusema mimi mzaramo ni mjinga kuliko wewe?
Acha masikhara wewe, hebu angalia wazaramo wa JF tu pekee na michango yao tu alafu ujifananishe na unachochangia wewe.

Anza na mimi.
 
Tanzania ni nchi ya watu wote na mtu yoyote anaweza kwenda popote, means hata mimi naweza kutoka pwani dar kwenda bara nikafanye unachoita maendeleo.
Hii vita ya pwani na bara ni imagination.
 
Hiyo kweli watu wamikoani wachafu Sana yaani wakija hapa dam wanaigiza Maisha +kujiuza kwa buku 3 mipombe uzinzi tabia chafuchafu tu hata wanasiasa wa bara hovyo Sana refer to the late Jiwe ukatili roho mbaya wizi ukabaila so sad.
 
Wapwani ndo akina AMINA , ZULFA , MUHAMMAD, nk

Kama ndo hao mbona ni washamba tu....
1.wanapenda kula kinoma anii
2.wanapenda ngono kinoma
3.wanapenda kulewa hadi so poa
4. Ni maboya tu
5.ni maboya tu
6. Mafala tu
7. Jinga jinga tu
Psychologically kuweka hisia zako za maumivu public ni njia moja wapo ya kupooza conscious and unconscious mental conflict and unsureness.
Hivyo usiogope kuweka hisia zako hapa.
 
Tuchukue mfano wa JK na Jiwe? Lete majibu nipo navuta kiko
 
Naam historically civilization ilianzia pwani.
 
Pamoja na ujanja wa pwani wote akaja mzanaki mkamkabidhi inchi na akawaburuza anavyoweza sasa mna ujanja gani rudini shule
  • Kama hujui Mwl.Nyerere aliingizwa kwenye TANU na Watu wa Pwani.
  • Wapigania Uhuru 75% ni Watu wa Pwani
 
Huo ustaarabu wakuvaa misuli na madela bila nguo ya ndani ndiyo ujanja, kwasasa wanaongoza kwa umbea, uvivu, uzinzi vitoto vidogo kabisa
Binafsi napenda kuona mwanamke akiwa amevaa dela bila ya nguo ya ndani, it's so entertaining for me.
Cha msingi ni unatakiwa utambue sio wote wanavaa madela bila nguo za ndani.

Ila wanawake wa pwani ni damn!... they're good as hell.
 
Unataka kusema mimi mzaramo ni mjinga kuliko wewe?
Acha masikhara wewe, hebu angalia wazaramo wa JF tu pekee na michango yao tu alafu ujifananishe na unachochangia wewe.

Anza na mimi.
  • Mimi 'Mmatumbi' wa Kilwa, namuona Mtu wa Pwani ni mshamba tu wa kuja!
  • Kilwa ndiyo mji wa Kwanza kujitengenezea Fedha yake, Wakati wao wanabadilishana Mbuzi na Chumvi Kilwa tayari Fedha ilikuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…