Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Comment ya Kwanza na ya pili imebeba dharau ya Hali yaa juu sn[emoji28]..watu mnaoishi sehemu za joto kwenye maji ya chumvi mna dharau sn Ila mnachojua ni kuvaa misuli na kucheza bao la kete kwenye vijiwe vya kahawa huku maendeleo mkipishana nayo
Wasomi wa bara hutumia vigezo gani kuyapima maendeleo?[emoji23][emoji23]
 
Tanganyika = Tanga (huu mji/Jiji) na nyika (porini/eneo baki la nchi yetu)
Hao ni wajerumani enzi hizo.
 
Maendeleo yapi tena hayo[emoji1787][emoji1787]
 
Wazaliwa wa mikoa ya Pwani, ujanja wao ni kuuza ardhi kwa watu wawili wawili au watatu.
Halafu wao kuhamia Mbagala, Kimanzichana naKimbiji.
Jiji la Dar maeneo mapya yote utamtafuta na kumpata kwa shida sana mwenyeji wa Dar.
 
Sasa watu wa bara ndio wananunua makazi ya pwani hivyo wenyeji hawana ujanja zaidi ya kusogea nje ya miji(shamba)hapo washamba ninani maana mtu wa mjini wa ..1970...hawezi kuwa wa mjini wa sasa.
Mkuu hivi unafahamu Tanzania ni free country na wananchi wote wanaweza kwenda popote ndani ya nchi na kufanya chochote?
Means hata mimi naweza kwenda kununua eneo bara ila sema bara ni.......... well you know!
Na watu wanaoununua maeneo ambayo unaita shamba sasa hivi baadae yatakuwa na thamani kubwa zaidi sababu hata kariakoo ilikuwa shamba! je unadhani nani mshamba hapo?

Nilikuwa nataka kusema "this is a nonsense ideology" lakini kwakuwa mimi ni gentleman na mstaarabu basi sitosema hivyo.
 
Tanga-Nyika.....wakielewa tu hilo jina hakuna atakayebisha.
 
  • Mimi 'Mmatumbi' wa Kilwa, namuona Mtu wa Pwani ni mshamba tu wa kuja!
  • Kilwa ndiyo mji wa Kwanza kujitengenezea Fedha yake, Wakati wao wanabadilishana Mbuzi na Chumvi Kilwa tayari Fedha ilikuwepo
Kijana kwa kutumia akili yako ya kawaida unaweza kuniambia kati ya Dar es Salaam (place of peace-sehemu ya amani), mji mkubwa Tanzania na east Africa na la saba kwa ukubwa Africa nzima pia moja ya jiji linalokuwa kwa kasi zaidi duniani ukilinganisha na kilwa, wapi kuna washamba na kusiko na maendeleo?

Alafu technically kilwa ni pwani vilevile.
 
  • Inaonekana hujui historia
  • Historia ya Mji wa Kilwa, Kwa ufupi kilichotokea ni kwamba Wareno waliuchoma Moto mji wa Kilwa na Ndiyo ikawa mwanzo wa kuanguka Dola la Kilwa
  • Kilwa, hakuna Washamba, Kwa sababu ni ukanda ule ule wa wastaarabu!
 
Hatuwez kuizungumzia suala la elimu na Maendeleo Kwa watu wa pwani bila kuutambua mchango wa uislamu. Uislam na elimu hii inayoleta mafanikio ya maisha ya sasa (elimu dunia) ni vitu viwili tofauti. Hiki ndicho kilichosabbisha waislam wengi kutokea pwani ndicho hicho kimesbabisha pwani kutoa wasomi wachache. Elimu hii ililetwa na wazungu kupitia mishenari ambao na uislam havikai sehem moja
 
Tanga-Nyika.....wakielewa tu hilo jina hakuna atakayebisha.
Tanga na Nyika wote ni samaki toka ziwa Tanganyika na ndio asili hasa ya jina Tanganyika haihusiani na mji wa tanga
 
ukiwaambia ukweli kama huu wanakasirika tu
 
Naomb niulize kidogo pwan mnayo iongelea ni ipi mm najuwa pwan ni miji iliyo kalibu n bahari mfano tanga dar es salaam na miko mingine au pwani ni zanzibar
 
Fafanua mkuu walikuwa wanaliwa kivipi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…