Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Alafu akaja ngosha kutoka Chattle,akawa anawafokea na kuwaburuza wakaufyata

Alafu akaja ngosha kutoka Chattle,akawa anawafokea na kuwaburuza wakaufyata
Bwana wee sasa hivi wanashindana na dada zao kujipondoa kuvaa vimodo hivi mtoto toka umalila mbeya vijijini uko anaweza paka poda kweli wewe wangalie tu wanojiita watoto wa mijini kina juma likole😂😂😂
 
Ustaarabu ni nini? Kufanya kama wanavyofanya wazungu na waarabu? Asilimia kubwa ya vijana wa Pwani, wa kiume na wa kike wanafumuliwa nyuma..ndo ujanja huo?
 
Mkuu umetumwa nini? Sio kwa mikazo hii.
 
Bwana wee sasa hivi wanashindana na dada zao kujipondoa kuvaa vimodo hivi mtoto toka umalila mbeya vijijini uko anaweza paka poda kweli wewe wangalie tu wanojiita watoto wa mijini kina juma likole😂😂😂
🤣🤣🤣 Yaani wanaume wanashinda barber shop wakisuguana uso na kujipodoa,alafu wanajiita wajanja🚮😆😆
 
ni nini kilifanya mpaka miji kama kilwa, bagamoyo na tanga kushindwa kupiga hatua na ili hali miji hiyo ilikuwa mashuhurii kweli kweli
 
Watu wa pwani wao wanakula mnafu, pweza na, ngisi na dagaa mchele ndiyo mboga zao
 
Sasa huko si ndo kwa manamba?? Mijitu inashindia mihogo mibichi kama nguruwe[emoji3][emoji3],pwan ni kwa waungwana hatitaki vurugu
sikia nikwambie usiyejua mkoani hakuna shida ya chakula
hiyo mihogo unayosema wewe inaanzia mtwara inapita pwani dar es salaam hadi tanga
bara hawashindii mihogo kwa mantiki hiyo nguruwe ni watu wanaokula mihogo na pwani ndio kwenye mihogo hivyo watu wa pwani ndio nguruwe
 
Mtu wa pwan anatumia akili siyo mvivu,hafanyi kazi za manamba,ninyi watu wa bara ni manamba mlikiwa mnatumikishwa kwenye mkonge kwa malipo ya ugali sasa ulitaka mtu wa pwan afanye hizo kazi sheikh??
na katika historia vita fupi duniani ilipiganwa zanzibar siku moja tu watu wa pwani wakaanza kulalamika yakhee vita si hatuwezi twaweza kunywa gahawa
 
Vyoo unavyosema vipi vile vya passport size mtu akiwa karibu anakuonea? Bara vyoo vinajengwa kama chumba cha kulala tena kwa tofari na kufunika kabisa sio pwani manyasi
 
watu wa pwani wamelegea hadi kuongea wanalegeza sauti
sikiliza jitu la mbeya likiongea utajua huyu ni mwanaume anaongea
viazi vinalimwa mbeya umaarufu wa chips dar

mmepewa sana mimba kwa ajili ya chips
shukuruni sana wachaga na wakinga la sivyo mpaka leo kariakoo kungekuwa na nyumba za udongo
 
Bara wamesoma ila mpaka leo wanaamini kwenye kuua albino na vikongwe, mara wapigane nondo, hadi leo wanapigiwa kampeni za kuacha ukeketaji.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Binafsi napenda kuona mwanamke akiwa amevaa dela bila ya nguo ya ndani, it's so entertaining for me.
Cha msingi ni unatakiwa utambue sio wote wanavaa madela bila nguo za ndani.

Ila wanawake wa pwani ni damn!... they're good as hell.
Dela bila nguo ya ndani halafu anatembea mtaani uwiii? Duu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Vyoo unavyosema vipi vile vya passport size mtu akiwa karibu anakuonea? Bara vyoo vinajengwa kama chumba cha kulala tena kwa tofari na kufunika kabisa sio pwani manyasi
Bara mnakunya porini tusidanganyane...halafu mnajichamba Kwa magunzi au majani wengine wanajiburuza chini kwenye mchanga. We ukienda bara ukimuona mtu amebeba majani halafu anazama kichakani jua anaenda kukata gogo.
 
Vyoo unavyosema vipi vile vya passport size mtu akiwa karibu anakuonea? Bara vyoo vinajengwa kama chumba cha kulala tena kwa tofari na kufunika kabisa sio pwani manyasi
Bara hamjengi vyoo kabisa,ndo maana hata kampen ya mrisho mpoto "nyumba ni choo" ilijikita mikoa ya bara hususan kanda ya ziwa,pwani choo ni ustaarabu sheikh,choo ni maji ndo maana walau kisima lazima kiwepo kwnye nyumba hata kama hajiwezi!![emoji1787]
 
Ww,uwepo wa kisima ni utaratibu ulionza na waarabu kwamba lazima aghalabu kuwepo na kisima kwa kila nyumba kwa ajili ya kutawadha unapotaka kusali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi unajua wanaume/watu wa pwani Wana Tabia za kike/wanaume wa Dar mmewasahau?kazi kuchekacjheka,kujichubua,kurembua,mashoga woote wanatoka pwani,wanajambishwa na vitoto vidogo,yaani panya rodi[emoji1787][emoji1787].[emoji706][emoji706]
Nilitaka nishangae ushoga usitajwe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…