Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

sasa utampa mtu uenyekiti hata lugha hajui

Nyerere kaja mjini kama teacher nyie shoboshobo zenu mkamuomba hadi mkamlazimisha aache kazi mtamlipa
 
sasa utampa mtu uenyekiti hata lugha hajui

Nyerere kaja mjini kama teacher nyie shoboshobo zenu mkamuomba hadi mkamlazimisha aache kazi mtamlipa
- Uongo kina Kleist Sykes na Abdulwahid Sykes wote hao English wanaijua vizuri Sana
 
Walimchagua kwa sababu waliona ana akili kuwazidi
 
Vunja bei ni mfalme wa mabwege kuliko yule bwege aliyempiga mtu risasi 7
 
Wazaliwa wa Bara huwaona wazaliwa wa Pwani, wakuja, lihoya!
[emoji23]nilienda Nyamongo nikaitwa LIHOYA! Kutuliza nikaambiwa Sisi tunapenda kuita watu oyaah!

Makavu tu naulizwa wewe umetokea wapi, mwingine akadakia huyo ni lihoya!
Hahaha oya lihoya
 
Wewe kama ni mzaramo utakuwa ni mganga wa kienyeji, huo ndio ujinga mkuu wa wazaramo.
Kwako mtu anayefuata utamaduni kutumia tiba za asili ni ujinga? basi wewe utakuwa mjinga mara mbili ya nilivyodhania.

Unafahamu kwamba kutokuwa na uhakika na jambo then unakuja na conclusion juu ya hilo jambo tayari ni non sequitur?
Kitendo cha kufanya hivyo tayari ni logical fallacy namaanisha ujinga kwa jina lingine.

Au unataka kuniambia kwakua kila ndege ana mabawa basi kila kiumbe chenye mabawa ni ndege?
 
  • Inaonekana hujui historia
  • Historia ya Mji wa Kilwa, Kwa ufupi kilichotokea ni kwamba Wareno waliuchoma Moto mji wa Kilwa na Ndiyo ikawa mwanzo wa kuanguka Dola la Kilwa
  • Kilwa, hakuna Washamba, Kwa sababu ni ukanda ule ule wa wastaarabu!
Kwahiyo hapa hakuna mjadala wowote?
Basi sawa.
 
Dela bila nguo ya ndani halafu anatembea mtaani uwiii? Duu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ni maamuzi yao mkuu yasiyovunja sheria za nchi, ni kama wavaa jeans au vipensi vifupi vya nylon which technically ni mbaya zaidi sababu huyu atakuwa anatembea na nguo ya ndani pekee lakini afadhali huyu anayevaa nguo ya nje bila ya ndani.
 
Ni kawaida ya wazaramo wakishashiba pombe ya mnazi tu ni kutukana watu.

Ungekuwa sio mjinga usingeandika kijinga, lkn kwa kuwa u mjinga ndo maana wadhani kuwa hata watu wa bara ni Wajinga kama wewe ulivyo mjinga na uzaramo wako.

Bwashee hao watu wa bara wapo kila nchi, ila wazaramo mkitoka sana basi mwisho wenu Chalinze wajinga nyie 😂
 
- Ww ni Mzembe, Siku hizi Mashoga wapo Makabila yote Tanzania Hadi hao wakurya mnaowaona ni wababe Mashoga wapo wengi tu
God kaoge anatoka bunda tayari hana malinda.
Agrey, james delicious, Rio sio wa Pwani.
Halafu bara sio kila kabila kazi kazi kuna wazembe kibao kama makabila ya Singida. Nna jamaa yupo Songea kashindwa kulima vibarua wanacheza dubu + double kick.
Pia Pwani tungekua wavivu gape lingeonekana tu. But sionagi gape kati ya bara na pwani. Levels zile zile kwa mikoa mingi michache ipo poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…