Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

  • Inaonekana humjui kinjekitile ngwale, basi kinjekitile ni WA bara si ndio kayumba?
  • Kinjekitile alikuwa ni Mmatumbi wa Kilwa Kama hujui, Rudi shuleni kayumba ukapate Elimu
  • Sio kweli kwamba Nyerere alikuja kufundisha kupigania Uhuru Watu wa Pwani ni Uongo, Nyerere anaingia Ndani ya TANU/TAA akikuta misingi ishawekwa na kina Abdulwahid Sykes, Kleist Sykes,Sheikh takadiri,Mshume kiate,Dosaa azizi, nk, Nyerere aliingia Ndani ya TANU/ TAA miaka ya 1954 hivi miaka michache nchi ikapata Uhuru
  • hivi unajua kwamba Nyerere alishindwa kwenye uchaguzi Ndani ya TANU? busara ikatumika kumpa uenyekiti.
  • Watu wamejenga AA, TAA Tangu miaka ya 1920s huko
sasa utampa mtu uenyekiti hata lugha hajui

Nyerere kaja mjini kama teacher nyie shoboshobo zenu mkamuomba hadi mkamlazimisha aache kazi mtamlipa
 
sasa utampa mtu uenyekiti hata lugha hajui

Nyerere kaja mjini kama teacher nyie shoboshobo zenu mkamuomba hadi mkamlazimisha aache kazi mtamlipa
- Uongo kina Kleist Sykes na Abdulwahid Sykes wote hao English wanaijua vizuri Sana
 
  • alikuwa Don, hata huelewi Historia, kipindi hicho TANU ilikuwa na wajumbe wote waislamu mostly wa Pwani, wakamchukua Mwalimu
  • Nani kakwambia hao wazee ni wavivu? Uongoo, Kama unamjua Kuna Mzee wa Pwani anaitwa DOSSA Azizi huyu alikuwa tajiri Sana, alimiliki Hadi gari/ magari ya kifahari.
  • Nyerere aliingia kwenye TANU huku akikuta Watu wa Pwani washaanzisha Chama kimeshasimama
Walimchagua kwa sababu waliona ana akili kuwazidi
 
Vunja bei ni mfalme wa mabwege kuliko yule bwege aliyempiga mtu risasi 7
 
Wewe kama ni mzaramo utakuwa ni mganga wa kienyeji, huo ndio ujinga mkuu wa wazaramo.
Kwako mtu anayefuata utamaduni kutumia tiba za asili ni ujinga? basi wewe utakuwa mjinga mara mbili ya nilivyodhania.

Unafahamu kwamba kutokuwa na uhakika na jambo then unakuja na conclusion juu ya hilo jambo tayari ni non sequitur?
Kitendo cha kufanya hivyo tayari ni logical fallacy namaanisha ujinga kwa jina lingine.

Au unataka kuniambia kwakua kila ndege ana mabawa basi kila kiumbe chenye mabawa ni ndege?
 
  • Inaonekana hujui historia
  • Historia ya Mji wa Kilwa, Kwa ufupi kilichotokea ni kwamba Wareno waliuchoma Moto mji wa Kilwa na Ndiyo ikawa mwanzo wa kuanguka Dola la Kilwa
  • Kilwa, hakuna Washamba, Kwa sababu ni ukanda ule ule wa wastaarabu!
Kwahiyo hapa hakuna mjadala wowote?
Basi sawa.
 
Dela bila nguo ya ndani halafu anatembea mtaani uwiii? Duu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ni maamuzi yao mkuu yasiyovunja sheria za nchi, ni kama wavaa jeans au vipensi vifupi vya nylon which technically ni mbaya zaidi sababu huyu atakuwa anatembea na nguo ya ndani pekee lakini afadhali huyu anayevaa nguo ya nje bila ya ndani.
 
Kwako mtu anayefuata utamaduni kutumia tiba za asili ni ujinga? basi wewe utakuwa mjinga mara mbili ya nilivyodhania.

Unafahamu kwamba kutokuwa na uhakika na jambo then unakuja na conclusion juu ya hilo jambo tayari ni non sequitur?
Kitendo cha kufanya hivyo tayari ni logical fallacy namaanisha ujinga kwa jina lingine.

Au unataka kuniambia kwakua kila ndege ana mabawa basi kila kiumbe chenye mabawa ni ndege?
Ni kawaida ya wazaramo wakishashiba pombe ya mnazi tu ni kutukana watu.

Ungekuwa sio mjinga usingeandika kijinga, lkn kwa kuwa u mjinga ndo maana wadhani kuwa hata watu wa bara ni Wajinga kama wewe ulivyo mjinga na uzaramo wako.

Bwashee hao watu wa bara wapo kila nchi, ila wazaramo mkitoka sana basi mwisho wenu Chalinze wajinga nyie 😂
 
Ona mijitu ya bara hii inavyofanya
IMG-20220601-WA0002.jpg
 
- Ww ni Mzembe, Siku hizi Mashoga wapo Makabila yote Tanzania Hadi hao wakurya mnaowaona ni wababe Mashoga wapo wengi tu
God kaoge anatoka bunda tayari hana malinda.
Agrey, james delicious, Rio sio wa Pwani.
Halafu bara sio kila kabila kazi kazi kuna wazembe kibao kama makabila ya Singida. Nna jamaa yupo Songea kashindwa kulima vibarua wanacheza dubu + double kick.
Pia Pwani tungekua wavivu gape lingeonekana tu. But sionagi gape kati ya bara na pwani. Levels zile zile kwa mikoa mingi michache ipo poa.
 
Back
Top Bottom