Watu wa pwani wamestaarabika kwasababu mzungu na mwarabu alikuwa lazima akanyage aridhi ya pwani kabla ajafika maeneo mengine, n
bahari ndio ilikuwa the main and only entrance ya walioleta ustaarabu pwani (mzungu & mwarabu)
Tukitaja sehemu za pwani zote kuanzia dar,bagamoyo, zanzibar,tanga, kilwa... pote uko kulichamka kwasababu wazungu walikuwa lazima wafike hapo kabla ya kusambaa sehemu nyingine
Lakini pamoja na ustaarabu wote wa watu wa pwani na pamoja privilage yote waliyopata kutoka kwa wazungu na warabu, watu wa pwani walishindwa kujiheshimisha kwenye nyanja nyingi kama vile elimu na maendeleo. Mwisho wa siku walishindwa hata kuendeleza miji yao mpaka alipokuja mtu wa bara kumpa changamoto
Kwasababu wa pwani wengi wanajua ustaarabu tu lakini elimu na maendeleo yao ni zero basi wanabaki kuwa machawa na wataalamu wa kusagiana kunguni, yani maneno mengiiii lakini vitendo sifuri
Watu wa pwani mlikuwa mna kila resources za kuwafanya ma giant kwenye nchi hii, lakini mlishindwa kuzoyumia hizo resources kwasababu ya umwinyi na uvivu wenu na watu wabara walovyotia maguu kuanzaa kutumia hizo resource mnaanza kujimwambafai nyie ndo wajanja na mna ustaarabu! Endelee kujimwambafai uku maeneo yenu yanachukuliwa na watu wa bara